Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Ni ushamba kuamini masters au PHd ndio uongozi; Dunia imebadilika kinachohitajika ni intelligence na creativity siyo masters
Wanaotumbuliwa kila siku wana masters ya darasani ila wanakosa masters ya uongozi na Utawala
Kama form four aliweza kuwaongoza masters means anawazidi maarifa. Roho za korosho wakaona wamrudishe kwenda kufundisha wakiamini ndio mwisho wa kupumua kwake kumbe kazi siyo riziki ; anaweza akapiga chini ualimu na akaingia kwenye siasa kisha akawa mbunge na hata waziri
Ogopeni kuzaliwa na bahati