Wasomi wetu Tanzania wanagombea na kina Kishimba na Msukuma wanabwaga kwny masanduku ya kura wanakuja kulia lia wanataka Katiba mpya iwazuie la Saba kugombea, kwanini Wazuiwe wakati uchaguzi ni wa wote kama hao Wananchi hawawataki wasomi kwanini muwalazimishe ?Uongozi ni Karama, sio elimu tu. We ona ata Bungeni mle, Kishimba STD 7 ana uwezo mkubwa wa hoja na uthubutu/uzalendo kuliko Mwigulu PHD
Wasomi badala ya kujiuliza kwanini hawauziki kwa Wapiga kura wanataka wapate mteremko kwa kuweka vizingiti kwa wale wa lasaba wazuiwe kugombea.
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app