Karne ya 21 Katibu Mkuu wa CWT alikuwa mwalimu wa Daraja la 3A?

Karne ya 21 Katibu Mkuu wa CWT alikuwa mwalimu wa Daraja la 3A?

Uongozi ni Karama, sio elimu tu. We ona ata Bungeni mle, Kishimba STD 7 ana uwezo mkubwa wa hoja na uthubutu/uzalendo kuliko Mwigulu PHD
Wasomi wetu Tanzania wanagombea na kina Kishimba na Msukuma wanabwaga kwny masanduku ya kura wanakuja kulia lia wanataka Katiba mpya iwazuie la Saba kugombea, kwanini Wazuiwe wakati uchaguzi ni wa wote kama hao Wananchi hawawataki wasomi kwanini muwalazimishe ?

Wasomi badala ya kujiuliza kwanini hawauziki kwa Wapiga kura wanataka wapate mteremko kwa kuweka vizingiti kwa wale wa lasaba wazuiwe kugombea.

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
CWT ni laana!!

Walimu wapo darasani wana Masters kiongozi wao mkuu kama Katibu mkuu ni form four grade 3A?

Tena anateuliwa kuwa mkuu wa Wilaya akaringa!!
Waliopata digrii feki karne hii wanapenda sana kujikweza.Uongozi ni kipaji.Unaweza ukawa na hata digrii 10 lakini uongozi wa nyumba kumi huuwezi.
Mwenye grade A anahitaji mambo machache tu kuweza kuwaongoza wenye master wa karne ya 21
 
alifanyiwa staha ya kufukuzwa kistaarabu CWT akakataa, ulitaka Mamlaka ifanyaje ?…imemheshimu sana na kama ingekuwa zama za JPM halafu akatae heshma aliyopewa na Rais …

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Hili suala la kiofisi, kwa nini taarifa hii imekuwa public ?. Watu wa utumishi wajitafakari.
 
Tulipofika nchi inaongozwa na fomfoo feliaz... Prezoo fomfoofelia alikawa karani, ma Mp fomfoofeliaz walikuwa walimu wacheti!! Sasa Cwt inashangaza Nini?
 
CWT ni laana!!

Walimu wapo darasani wana Masters kiongozi wao mkuu kama Katibu mkuu ni form four grade 3A?

Tena anateuliwa kuwa mkuu wa Wilaya akaringa!!
Hao grade 3A ndio wengi na ndio wapiga kura wa hicho chama. Kupenya mtu tofauti sehemu nyingi imekuwa ngumu.
 
Ufafanuzi tafadhali maana wengine hatuelewi kwenye hizo kada za ualimu madaraja yake yapoje, labda kwa kifupi inakuwaje maana barua inaonesha ni mwandamizi daraja A, si wengine tukiona mwandamizi ndio tunajua mbobezi

Labda tugusie kidogo madaraja ya ualimu yapoje walau kwa ufupi tu, utatusaidia wengi humu

Mwalimu Mwandamizi Daraja la A ni daraja IA na siyo 3A kama huyu mrusha post anavyowadanganya kwa sababu ya umbumbumbu amwake wa kuelewa. Mwalimu Mwandamizi maana yake ni Senior Teacher na mshara wake wa Mwalimu mwandamizi daraja la IA unaanzia 2, 800,000 plus. Kwa hiyo mpuuzeni huyu mtoa post kwani yeye alipoona mwamimu mwandamizi IA akakurupuka haraka akidhani ni 3A ambao ni mshahara anaoanza na mtumishi awe nwalimu au siyo mwalimu.
 
Nadhani humjui huyo jamaa umekurupuka tu,kifupi ana degree ya mlimani na ana CPA,nimesoma naye darasa moja namfahamu ni mtu smart!
Kama wewe ni mwalimu wa daraja la 3A,
ukaenda chuo kikuu kusomea course nyingine tofauti na ualimu, ukirudi kazini unadomeka kama mwalimu wa daraja la 3A.

Hata ukapata na CPA( T) bado utaitwa na kupokea mshahara wa mwalimu wa daraja la 3A.
 
CWT ni laana!!

Walimu wapo darasani wana Masters kiongozi wao mkuu kama Katibu mkuu ni form four grade 3A?

Tena anateuliwa kuwa mkuu wa Wilaya akaringa!!
Kumbuka hao walimu ndio wanaongoza kushika nafasi ya urais hapa nchini pia.

Mwalimu JK Nyerere
Mwalimu Al haji Hassan Mwinyi
Mwalimu Joseph Pombe Magufuli
Na sasa Secretary Samia Suluhu.

Niwaulize wasomi wa ma PhD, mko wapi kushika nafasi za juu za uongozi?

Hamuoni ni kiburi chenu ndicho kinawafanya Mungu awashushe halafu mnasingizia ushirikina?
Mnajua nchi kama Guinea na Burkina Faso marais ni akina nani?Kama ninyi ni wasomi kweli mmeshindwa kuchambua vitu hivi vidogo?

Hivi mnajua Uingereza imewahi kuwa na waziri mkuu mwenye Diploma na tena sio zamani?
Ndio maana tunawadharau wasomi wetu maana mnadhani vyeti ndivyo vinaongoza wakati anayeongoza ni mtu
 
Back
Top Bottom