Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Duh...NAPE na MAKAMBA!?Hao wasomi wakina chenge,kabudi,mdee,bulaya,mwigulu,nape,januar makamba wamelisaidia nini taifa? Bora babu yangu ambaye hakujua kusoma wala kuandika alikuwa mzalendo wa taifa lake hadi akatoa shamba lake kwa ajili wajenge shule na zahanati
Si ndio maana IGA ya bandari walisema ndioooooooViongozi wengi wa waalimu ata wa wanaowakilisha mikoa ni waalimu wa shule za msingi sio jambo la kushangaa jambo la kushangaa ni mbunge kuishia darasa la 7 wakati anaenda bungeni kupitisha mikataba na sheria ambazk zina hitaji umakini sana kuzipitia
Kwann kakataa?Nchi ya fitina, amekataa uteuzi sasa anadhalilishwa
🤣🤣🤣🙌Achana na haya mambo. Yatakuchosha bure.
Una dharau sana! Utadhani ukoo wako wote wana PhD!CWT ni laana!!
Walimu wapo darasani wana Masters kiongozi wao mkuu kama Katibu mkuu ni form four grade 3A?
Tena anateuliwa kuwa mkuu wa Wilaya akaringa!!
Uongozi ni Karama, sio elimu tu. We ona ata Bungeni mle, Kishimba STD 7 ana uwezo mkubwa wa hoja na uthubutu/uzalendo kuliko Mwigulu PHDCWT ni laana!!
Walimu wapo darasani wana Masters kiongozi wao mkuu kama Katibu mkuu ni form four grade 3A?
Tena anateuliwa kuwa mkuu wa Wilaya akaringa!!
Ni mwalimu wa shule ya msingi?CWT ni laana!!
Walimu wapo darasani wana Masters kiongozi wao mkuu kama Katibu mkuu ni form four grade 3A?
Tena anateuliwa kuwa mkuu wa Wilaya akaringa!!
Ndio hao ni wasomi au unabisha?Duh...NAPE na MAKAMBA!?
🤣🤣Kuna aliyekuwa mwenye kiti ngazi ya wilaya, ila kuandika ni shida ila kupepeta mdomo kabobea.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Ndugu CWT kuna ulaji hujawahi ona dunia hiii sikia tu .....tafuta info zake humu ....kuna 2% kila mwalimu kwa kila mwezi ....acha tenders humo ndani kofia tshirt miamvuli khanga .....za mei mosi....sikia tuu...kuna walimu zaidi 300k ....Kulikuwa na sababu ya kukataa, anyway tuwaachie ccm mambo yso
Money make people deaf and blindCWT ni laana!!
Walimu wapo darasani wana Masters kiongozi wao mkuu kama Katibu mkuu ni form four grade 3A?
Tena anateuliwa kuwa mkuu wa Wilaya akaringa!!
Walimu shule msingi wako wengi ndio maana akitokea mgombea hupita tofauti na sekondari wachache sana hupita tena nafasi za usaidizi.....wenyewe huona kama walimu sekondari wanawabeba CWT ni yaoo..yaooNi mwalimu wa shule ya msingi?
CWT ni laana!!
Walimu wapo darasani wana Masters kiongozi wao mkuu kama Katibu mkuu ni form four grade 3A?
Tena anateuliwa kuwa mkuu wa Wilaya akaringa!!
Umeniteua sitaki, sasa kosa lake nini? Akafanye kazi ambayo hakuitaka? Huenda ndoto yake haijawahi kuwa ukuu wa wilaya.alifanyiwa staha ya kufukuzwa kistaarabu CWT akakataa, ulitaka Mamlaka ifanyaje ?…imemheshimu sana na kama ingekuwa zama za JPM halafu akatae heshma aliyopewa na Rais …
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Huo uteuzi ulikuwa ni dharau na uzaririshaji kuliko hata hilo tangazo....unafuata upepo hujui yaliyomo.alifanyiwa staha ya kufukuzwa kistaarabu CWT akakataa, ulitaka Mamlaka ifanyaje ?…imemheshimu sana na kama ingekuwa zama za JPM halafu akatae heshma aliyopewa na Rais …
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Sasa kwani ugomvi ? na wao sasa kama Waajiri wamekataa ombi lake la kuongezewa ruhusa ya kuendelea kuhudumu CWT kwa awamu ya tatu. arudi darasani au aache kaziUmeniteua sitaki, sasa kosa lake nini? Akafanye kazi ambayo hakuitaka? Huenda ndoto yake haijawahi kuwa ukuu wa wilaya.
Mbona hushangai wabunge wapitisha mikataba na sheria kuwa darasa la 7 tu?
Atakuwa alilitegemea hilo maana hiyo sio kazi ya kudumu. No big deal about it. Kakataa kuonyesha kuwa sio kila mtu anataka kazi ya kuwa mwanasiasaSasa kwani ugomvi ? na wao sasa kama Waajiri wamekataa ombi lake la kuongezewa ruhusa ya kuendelea kuhudumu CWT kwa awamu ya tatu. arudi darasani au aache kazi
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app