Kaseja atua yanga kwa milioni 40


Unalaana ya kulala na mama yako kitanda kimoja na kuamka asubuhi ukiwa umemloesha nyuma(njia ya haja kubwa)
 
Acha kukurupuka na mikamasi hiyo, kwa taarifa yako mimi ni mshabiki, mkereketwa na mfurukutwa wa Yanga lakini hilo halinifanyi kuwa kipofu.

Kaseja ni ushuzi tu.

ajajua hilo mkuu msamehe bure..
 
Haya mchukueni galasa huyo, tukiwafungeni mtasema kahongwa?
 
Ha ha ha...Biashara kichaa ishafanyika! Mwanangu Kaseja tunakuaminia! Mshiko piga kimiani hakuna yeyote anayeweza kuachia mihela kama 'iyo'.Hakuna kukabana koo hapo eti urudishe kama walivyomsulubu Ngassa!! ila wenye akili tushajua gogoro ushawapelekea hata hapa jukwaani(JF) tunawaona wanavyobishana wenyewe kwa wenyewe.
Bado kuna wengine wanaibuka matata sana!! Kuna dogo matata sana anaitwa Abuu Hashimu!! Baada ya muda si mrefu wataanza kumtamani tunawasubili watuletee mihela!!Ha ha haa - Maumivu yakizidi pata ushauri wa daktari!!
 
Ivi kuchangia kwa kutukana maana yake ni kwamba unauchungu sana na timu ama?
 
Rejea post ya GENTAMYCINE na utafiti wake wa ukilazalaza, comment hapo ndipo tutakuelewa.

mkuu kama utafiti wake ndo huu, ilikuwa ni kumwambia atupe vielelezo vya utafiti wake, akishindwa, sheria za JF ziko wazi kuhusu kusema uongo, sasa kujibu kwa matusi nadhani si busara
 
Last edited by a moderator:
mkuu kama utafiti wake ndo huu, ilikuwa ni kumwambia atupe vielelezo vya utafiti wake, akishindwa, sheria za JF ziko wazi kuhusu kusema uongo, sasa kujibu kwa matusi nadhani si busara

Sijakosea kusema wewe ni mmoja wa Wanasimba ninaowakubali. Good post, keep it up Chief.
 

ninachoshukuru mimi ni kwamba Mbeya city sio kama Moro utd,sigara,nyota nyekundu,MCC tumekuja kivyetuvyetu,pia unafananisha kwenye negative tuu,kwanini usilinganishe na Banyambala Tukuyu strs mwaka walipochukua mwaka 1986?
 
mkuu kama utafiti wake ndo huu, ilikuwa ni kumwambia atupe vielelezo vya utafiti wake, akishindwa, sheria za JF ziko wazi kuhusu kusema uongo, sasa kujibu kwa matusi nadhani si busara

huyo jama gentamycene nadhani kakosea jukwaa,simuelewi kabisa
 


Gentamycine !! Hivi we ni mwanariadha , na kama ndio utakuwa unakimbia mbio ndefu sana, punguza maelezo mengi !! Inaonekana unayajua maisha ya kaseja kuliko nafasi yako ya kujiinua kiuchumi , yanga wameamua hayo kwa maslai yao , acha ushabiki !! Kaseja kishachota mpunga , kama atamgawia huyo shemeji utatuambia maana inaonekana unaiweza kazi ya CHABO!!
 
Mimi ni Shabiki wa Simba SC.
Lakini sikupendezwa na kitendo cha kumtema Kaseja ghafla vile na baadhi ya watu wanasema kuwa dili la kwenda Lupopo FC lilibanwa na baadhi ya viongozi wa hovyo wa SSC.
sasa,kwa kuwa Yanga wamemwokoa kaseja,nitapunguza kuichukia Yanga,na naungana na PM wetu kuwa ssc tupigwe tu.
 
huyo jama gentamycene nadhani kakosea jukwaa,simuelewi kabisa

Mi mwenyewe namshangaa huyu jamaaa atakuwa mpiga chabo hatari !! Sport forum yeye analeta mambo binafsi !! Mi kaniudhiiii !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…