Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga kati ya mambo ya kipyyzi waliyowahi kufanya hili ndo la kwanza, pumbav.u kweli uongozi wa manji,. Bora nibaki na watoto wa home mbeya city
Wanafanyaga mambo ya ovyo mengi sana.Unaweza ukadhani timu yao nzuri ila subiri mechi za kimataifa ambapo hawawezi kuhonga timu pinzani jinsi watakavyofanywa.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hao MCC pale walipoishia ndiyo mafanikio yao ya juu, hawatazidi hapo zaidi ya kuporomoka. Enzi zake Moro United waliongoza ligi zaidi ya nusu msimu lakini mwisho waliangukia pua. Nafasi haitoshi ningeandika habari za Reli Morogoro, Sigara na Nyota Nyekundu.
Barthez, Dida , Kaseja, Yondan, na Chuji kweli Yanga ni SIMBA VETERANS siku mkifungwa na Simba msiseme Wamehujumu timu wakati Mnajihujumu wenyewe
Hakuna golikipa nisiyemwamini kama Kaseja awapo langoni. Sijui Yanga wanampapatikia wa nini?
Tiba
Huko jangwani si bure kuna watu wanatumia ma.ta.ko kwenye kufanya maamuzi
Hakuna golikipa nisiyemwamini kama Kaseja awapo langoni. Sijui Yanga wanampapatikia wa nini?
Tiba
Je unajuaaaa chimbuko la yanga ni vibaka na wavuta bangi kutoka uswahilini na chimbuko la simba ni vijana waliokuwa wakiishi mitaa ya uzunguni hivyo bado timu hizo zinaadhiliwa na asili hiyo.
ukifanya kitu adui yako akasifia inabidi ujisahihishe na kutafakali.ila naishukuru timu yangu makini yenye uongozi makini kwa uamzi wao makini ambao umewaumiza sana simba kwakua wanajua madhala yake
Hakuna golikipa nisiyemwamini kama Kaseja awapo langoni. Sijui Yanga wanampapatikia wa nini?
Tiba
Acha kukurupuka na mikamasi hiyo, kwa taarifa yako mimi ni mshabiki, mkereketwa na mfurukutwa wa Yanga lakini hilo halinifanyi kuwa kipofu.
Kaseja ni ushuzi tu.
Steveachi Morogoro Wazima Lakini? Bibi Mzima? Tutafutane Kijana! Je Umeuona Huo UTAFITI? Ukitaka Akili na Maarifa Hamia Kwa Wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club. Viti tumeng'oa ili Kuleta Discipline na Isitoshe hata hiyo Fine Yenyewe Ya Tsh Milioni 25 Kwa Mapedeshee Wa Simba ni Kitu Kidogo Mno. Na Nyie Yanga hebu Mnunulieni Mzee Akilimali hata Nguo za Kubadilisha Kwani Anachojua Yeye ni Kuroga tu na Kuongea Huku Akimwaga Mvua Ya Mate Kwa Waandishi wa Habari!
Acha kukurupuka na mikamasi hiyo, kwa taarifa yako mimi ni mshabiki, mkereketwa na mfurukutwa wa Yanga lakini hilo halinifanyi kuwa kipofu.
Kaseja ni ushuzi tu.
Hahahahahahaaa,Mkuu umeua vibaya,Mzee Akilimali anakusikia na lazima akuroge,sasaaa,mapedeshee wa Simba wana mihela halafu usajili ni wa buku 2,halafu ujue hao ndio wanaompa kiburi Kaseja ndio maana anauletea jeuri uongozi wenu na kuwagawa wachezaji wa Simba