Kaseja atua yanga kwa milioni 40

Kaseja atua yanga kwa milioni 40

Yanga kati ya mambo ya kipyyzi waliyowahi kufanya hili ndo la kwanza, pumbav.u kweli uongozi wa manji,. Bora nibaki na watoto wa home mbeya city

Wanafanyaga mambo ya ovyo mengi sana.Unaweza ukadhani timu yao nzuri ila subiri mechi za kimataifa ambapo hawawezi kuhonga timu pinzani jinsi watakavyofanywa.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hata tukitolewa hapana taabu kama ninyi mlisokomezewa 5 Libolos; x1 TZ na x4 Angola, mbona mpo tu hata leo.
 
simba inawauma sana hii kitu hahahahaha hao baskeri ya mito inayoendwshwa na rage gurudumu la mbele kibadane na gurudumu la nyuma julio wanahaha kila msimu
 
Hao MCC pale walipoishia ndiyo mafanikio yao ya juu, hawatazidi hapo zaidi ya kuporomoka. Enzi zake Moro United waliongoza ligi zaidi ya nusu msimu lakini mwisho waliangukia pua. Nafasi haitoshi ningeandika habari za Reli Morogoro, Sigara na Nyota Nyekundu.

Unasahau Tukuyu walivyochukua ubingwa?Kwa sasa naweza kukukubalia kwani tunajua mchezo mchafu anaofanya --------- wenu ili mpate ushindi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hakuna golikipa nisiyemwamini kama Kaseja awapo langoni. Sijui Yanga wanampapatikia wa nini?

Tiba
 
Huko jangwani si bure kuna watu wanatumia ma.ta.ko kwenye kufanya maamuzi
 
Barthez, Dida , Kaseja, Yondan, na Chuji kweli Yanga ni SIMBA VETERANS siku mkifungwa na Simba msiseme Wamehujumu timu wakati Mnajihujumu wenyewe

Kwani hao uliowataja hawana viwango vya kuridhisha kuchezea Yanga?
 
Hakuna golikipa nisiyemwamini kama Kaseja awapo langoni. Sijui Yanga wanampapatikia wa nini?

Tiba

Inasemekana Kaseja mwenyewe kawasihi Yanga wampe nafasi ili awadhalilishe Simba! Amedai wao wamemwaga mboga, yeye atamwaga ugali na kuvunja kabisa chungu kilichopika huo ugali.
 
Huko jangwani si bure kuna watu wanatumia ma.ta.ko kwenye kufanya maamuzi

Hakuna golikipa nisiyemwamini kama Kaseja awapo langoni. Sijui Yanga wanampapatikia wa nini?

Tiba

ukifanya kitu adui yako akasifia inabidi ujisahihishe na kutafakali.ila naishukuru timu yangu makini yenye uongozi makini kwa uamzi wao makini ambao umewaumiza sana simba kwakua wanajua madhala yake
 
Je unajuaaaa chimbuko la yanga ni vibaka na wavuta bangi kutoka uswahilini na chimbuko la simba ni vijana waliokuwa wakiishi mitaa ya uzunguni hivyo bado timu hizo zinaadhiliwa na asili hiyo.

Inawezekana wewe hujui historia za timu hizi mbili, simba ni timu ya waarabu na ndiyo maana mpaka leo kama huna kaka pale huchezi mwulize kaduguda atakueleza.
 
ukifanya kitu adui yako akasifia inabidi ujisahihishe na kutafakali.ila naishukuru timu yangu makini yenye uongozi makini kwa uamzi wao makini ambao umewaumiza sana simba kwakua wanajua madhala yake

Acha kukurupuka na mikamasi hiyo, kwa taarifa yako mimi ni mshabiki, mkereketwa na mfurukutwa wa Yanga lakini hilo halinifanyi kuwa kipofu.

Kaseja ni ushuzi tu.
 
Acha kukurupuka na mikamasi hiyo, kwa taarifa yako mimi ni mshabiki, mkereketwa na mfurukutwa wa Yanga lakini hilo halinifanyi kuwa kipofu.

Kaseja ni ushuzi tu.

Ni wapenzi wengi wa Yanga hatujapenda jambo hili, lakini tayari jamaa kasajiliwa tufanyeje sasa? ndomyana kabaki na MCC lakini mimi na nyumba yangu tutaendelea kuwa Yanga.
 
Last edited by a moderator:
Steveachi Morogoro Wazima Lakini? Bibi Mzima? Tutafutane Kijana! Je Umeuona Huo UTAFITI? Ukitaka Akili na Maarifa Hamia Kwa Wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club. Viti tumeng'oa ili Kuleta Discipline na Isitoshe hata hiyo Fine Yenyewe Ya Tsh Milioni 25 Kwa Mapedeshee Wa Simba ni Kitu Kidogo Mno. Na Nyie Yanga hebu Mnunulieni Mzee Akilimali hata Nguo za Kubadilisha Kwani Anachojua Yeye ni Kuroga tu na Kuongea Huku Akimwaga Mvua Ya Mate Kwa Waandishi wa Habari!

Hahahahahahaaa,Mkuu umeua vibaya,Mzee Akilimali anakusikia na lazima akuroge,sasaaa,mapedeshee wa Simba wana mihela halafu usajili ni wa buku 2,halafu ujue hao ndio wanaompa kiburi Kaseja ndio maana anauletea jeuri uongozi wenu na kuwagawa wachezaji wa Simba
 
Acha kukurupuka na mikamasi hiyo, kwa taarifa yako mimi ni mshabiki, mkereketwa na mfurukutwa wa Yanga lakini hilo halinifanyi kuwa kipofu.

Kaseja ni ushuzi tu.

yawezekana mtusi ndio huluka yako haya endelea ukimaliza kutukana ntakuja kuongea kwa hoja
 
Hahahahahahaaa,Mkuu umeua vibaya,Mzee Akilimali anakusikia na lazima akuroge,sasaaa,mapedeshee wa Simba wana mihela halafu usajili ni wa buku 2,halafu ujue hao ndio wanaompa kiburi Kaseja ndio maana anauletea jeuri uongozi wenu na kuwagawa wachezaji wa Simba

Hakuna vilaza kama Simba kuanzia viongozi, wachezaji hadi mashabiki. Hata hapa JF nawakubali wachache sana mfano Crashwise, Masuke etc., wengine wako shallow sana! Eti utafiti, unajua maana ya utafiti?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom