Kasema napika vizuri kumzidi mama yake mzazi

Ni ngumu mno Wanawake wawili kumpenda mtu mmoja na wakaelewana , apo inabidi mmoja atumie busara yake vizuri na ni nadra mno wote watumie japo hutokea.
Nafikiri inatokea kwa baadhi ya watu.

Ila binafsi kama mama mkwe mtarajiwa kwa watoto wangu wa kiume, nimejifunza sana kutoka kwa mama mkwe wangu ambaye ni rafiki yangu na ana uhusiano na ukaribu zaidi na mimi kuliko mwanae.

Huyu mama ana mipaka na heshima kwa kila mtu, kila kitu anachohitaji lazima ataniuliza au kuniomba mimi. Tunawasiliana mimi na yeye kuliko mtoto wake, namuupdate mambo ya wajukuu zake, ana uhuru nao etc. Hata kukiwa na shida au akiona kitu hakiko sawa, wakwe zangu wote (baba na mama) ni wa kwanza kukikemea na ikibidi kumkosoa mtoto wao hufanya hivyo. Hawana kabisa mambo ya mtoto wetu hakosei, shida huwa ni ya mke tu (labda pia kwa sababu wanamjua mtoto wao).

Naamini mama mkwe akijua mipaka yake na mwanamke asipokuwa na kujikweza akajua mahali pake, basi mtakua na mahusiano mazuri sana.
 
Sawa ila hata ufanye nini hauwezi mzidi mama yangu kupika na hiyo mikazangizo yenu ya mafuta kibao kwako Makiwendo
 
Hizo ni saundi za kiume ili uvue chupi na usiombe hela. Uanaume ni maarifa.
Si kweli, huyu mume wangu wa zaidi ya miaka 15.
Kila kitu ambacho ni chake ninacho, down to kadi zake za benki.

Labda useme kingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…