Kasesela: Nikiwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa, nilikuwa naenda club ku-rap

Duh !, Mkuu Shemeji Tate Mkuu, kusema kweli vi swala ni vitamu ajabu!. Mimi mwenyewe nilikuwa navitafuna sana!, unfortunately siku hizi, nimekuwa mzee sana siwezi kuwinda, na meno pia ya kutafuna sina, ila bado mara moja moja wanaingia mbugani kuangalia tuu wanyama na kula kwa macho tuu!.
P
 
Yaani, mambo mengine unashindwa ucheke au ukae kimya.

Angalia umri na majukumu, na hadhi, halafu anaenda club ku-rap. Maneno haya aliyasema akifanya intavyuu na Dar24

Nadhani hawa viongozi wawe wanapewa strict code of conduct
Ku rap club sio uhuni na wala dhambi. Ni sawa na kushuhudia church
 
Hivi wewe ni yuleyule Pascal Mayalla niliyekuwa namjua kwa kutoa nondo safi au siyo wewe?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Jibu konki kabisa,DC analipwa kwa kodi zetu lazima awe serious huyu paschal mayala anakula kwa jasho lake hata akiamua kutembea uchi sawa tz
Hakuna ukonki wowote.Hiyo ni aina ya sadists katika maisha ya watu.
 
Ukiwa kiongozi, vitu vingine havihitaji kutungiwa sheria, ukiwa mkuu wa wilaya uko kwenye matazamio ya kwenda mbele na wewe ni sura ya nchi.

Masha aliyekuwa anashinda Rose Garden Yuko wapi?

Shida kubwa ni Ile hakuna tofauti kati ya anaenda club na asiyeenda club ikija kwenye ufanisi na utendaji kazi.

Watu8 ameuliza ni katika mazingira Gani ameeleza kwenda kwake club? Naona watu wanadonoa donoa baadhi ya sehem za interview yake vipande wanavyotaka na kuviweka hapa.

Kuwa Kiongozi haimfanyi asiwe binadam japo Kuna namna anatakiwa kuwa mwangalifu anavyoenenda anapokua kwenye hiyo nafasi.

Waungwana wameuliza pia ni namna Gani kwenda club inaathiri ukuu wa wilaya au nafasi yake kazini?
 
Afadhali yake alikuwa anarap mwenzake Sabaya alikuwa busy kuteka na kufilisi wachaga,Bashite alikuwa busy kuwafilisi waarabu huku hayati Mayanga akikomaa kukausha hazina ya taiga kuwahonga akina chapombe waitara wakubali kuunga mkono juhudi za kuidivert Tz kwenda makabulini Chato
 
Hahaha, wahuni wa Kawe wanateteana
 
Asante
 
Yaani, mambo mengine unashindwa ucheke au ukae kimya.

Angalia umri na majukumu, na hadhi, halafu anaenda club ku-rap. Maneno haya aliyasema akifanya intavyuu na Dar24

Nadhani hawa viongozi wawe wanapewa strict code of conduct
Hii inaonyesha how immoral most of our leaders are.Kiongozi una rap!?Unthinkable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…