Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
I ain't no saint.You better "purchase" some angels for your posts,fella!Code of conduct ni outcome ya kazi ulizozichagua. You want to play out of rules just quit
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I ain't no saint.You better "purchase" some angels for your posts,fella!Code of conduct ni outcome ya kazi ulizozichagua. You want to play out of rules just quit
Ku-socialise kuna faida zake.Mambo ya kijima na kuogopwa hadi unajiogopa nao ni upuuzi.Kiongozi ni vema akawa kiongozi anayeeleweka.Watu wana akili za kindezi wanarukia akili kubwa
Duh !, Mkuu Shemeji Tate Mkuu, kusema kweli vi swala ni vitamu ajabu!. Mimi mwenyewe nilikuwa navitafuna sana!, unfortunately siku hizi, nimekuwa mzee sana siwezi kuwinda, na meno pia ya kutafuna sina, ila bado mara moja moja wanaingia mbugani kuangalia tuu wanyama na kula kwa macho tuu!.Dah! Wewe kama mimi aisee! Yaani ni kawaida sana mara moja moja nikipata upenyo, huwa naenda kwenye mbuga ya wanyama, kuwinda swala, kwa ajili ya kitoweo.
Maana hakuna namna. Unakuta mtu hunywi pombe! Huvuti sigara!! Hivyo unajikuta tu umekuwa jangili wa swala.
Ku rap club sio uhuni na wala dhambi. Ni sawa na kushuhudia churchYaani, mambo mengine unashindwa ucheke au ukae kimya.
Angalia umri na majukumu, na hadhi, halafu anaenda club ku-rap. Maneno haya aliyasema akifanya intavyuu na Dar24
Nadhani hawa viongozi wawe wanapewa strict code of conduct
Hivi wewe ni yuleyule Pascal Mayalla niliyekuwa namjua kwa kutoa nondo safi au siyo wewe?What is a problem na mtu kwenda club ku rap?!. Kipaji hakina umri!. Mimi mwenyewe nakwenda 60 na mara moja moja napanda club na rap, kwenye bendi napanda stejini na kuimba Georgina!, na humu JF nimewaletea rap kibao tuu!.
Miongoni mwao ni hizi Kwa Wapenzi wa Muziki: "Bado tunapanda, Tunapanda milima, Najua tutafika, Tutafika lazima!"
na Umechoshwa na Ujinga, Umasikini, Maradhi, Rushwa na Ufisadi?!, 25/10 "Give It, "Just One More Try!" Na hapa Muziki wa Hip Hop bongo umetokea mbali-Tujikumbushe kidogo
Hivyo kipaji hakina umri!.
P
Hakuna ukonki wowote.Hiyo ni aina ya sadists katika maisha ya watu.Jibu konki kabisa,DC analipwa kwa kodi zetu lazima awe serious huyu paschal mayala anakula kwa jasho lake hata akiamua kutembea uchi sawa tz
sahihi kabisa that's leadershipKu-socialise kuna faida zake.Mambo ya kijima na kuogopwa hadi unajiogopa nao ni upuuzi.Kiongozi ni vema akawa kiongozi anayeeleweka.
Kuwa serious ndo kuwaje?Jibu konki kabisa,DC analipwa kwa kodi zetu lazima awe serious huyu paschal mayala anakula kwa jasho lake hata akiamua kutembea uchi sawa tz
Ukiwa kiongozi, vitu vingine havihitaji kutungiwa sheria, ukiwa mkuu wa wilaya uko kwenye matazamio ya kwenda mbele na wewe ni sura ya nchi.
Masha aliyekuwa anashinda Rose Garden Yuko wapi?
Hahaha, wahuni wa Kawe wanateteanaShida kubwa ni Ile hakuna tofauti kati ya anaenda club na asiyeenda club ikija kwenye ufanisi na utendaji kazi.
Watu8 ameuliza ni katika mazingira Gani ameeleza kwenda kwake club? Naona watu wanadonoa donoa baadhi ya sehem za interview yake vipande wanavyotaka na kuviweka hapa.
Kuwa Kiongozi haimfanyi asiwe binadam japo Kuna namna anatakiwa kuwa mwangalifu anavyoenenda anapokua kwenye hiyo nafasi.
Waungwana wameuliza pia ni namna Gani kwenda club inaathiri ukuu wa wilaya au nafasi yake kazini?
Sijajua unamaanisha Nini unapisema "wahuni" ila tafadhali jikite kwenye kutoa maelezo niliyokuomba ufafanuzi.Hahaha, wahuni wa Kawe wanateteana
JK alimshindwa yule kilaza wa kagera😂, lile dingi sijui tatizo niniHuyu Kasesela sijawahi kumwamini ni mropokaji ropokaji sana kama yule RC wa Kagera Chalamila!.Hawachuji maneno kabisa!
AsanteWhat is a problem na mtu kwenda club ku rap?!. Kipaji hakina umri!. Mimi mwenyewe nakwenda 60 na mara moja moja napanda club na rap, kwenye bendi napanda stejini na kuimba Georgina!, na humu JF nimewaletea rap kibao tuu!.
Miongoni mwao ni hizi Kwa Wapenzi wa Muziki: "Bado tunapanda, Tunapanda milima, Najua tutafika, Tutafika lazima!"
na Umechoshwa na Ujinga, Umasikini, Maradhi, Rushwa na Ufisadi?!, 25/10 "Give It, "Just One More Try!" Na hapa Muziki wa Hip Hop bongo umetokea mbali-Tujikumbushe kidogo
Hivyo kipaji hakina umri!.
P
Hii inaonyesha how immoral most of our leaders are.Kiongozi una rap!?Unthinkable.Yaani, mambo mengine unashindwa ucheke au ukae kimya.
Angalia umri na majukumu, na hadhi, halafu anaenda club ku-rap. Maneno haya aliyasema akifanya intavyuu na Dar24
Nadhani hawa viongozi wawe wanapewa strict code of conduct