Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Mbegu ya uzazi anaweka nani?Wanawake wa Tanzania wana akili nyingi kuliko wanaume wakizaa na wenye akili wa nje ndipo wanatoa mitoto genius sana .Wanaume wanatakiwa kujitathimini kama kuna dawa ya kuongeza akili waitafute
Ha hahahaha,ni katika kujifariji tualikuwa mtanzania 🤣🤣🤣
Tanzania kubwa ,na itasaidia Nini Kwa Tanzania na Watanzania? Au shobo tu Kama kawaida ya Watanzania kushobokaMama yake asili ya Tanzania wewe
Watanzania Kwa shobo wako vzrUpumbavu mtupu , huyo ni mmarekani na hakuzaliwa Tanganyika.
akili tunazo nyingi hadi zimekua too much, changamoto ni kwenye kuzitumia.Wanawake wa Tanzania wana akili nyingi kuliko wanaume wakizaa na wenye akili wa nje ndipo wanatoa mitoto genius sana .Wanaume wa Tanzania wanatakiwa kujitathimini kama kuna dawa ya kuongeza akili waitafute haraka
Tumeupiga mwingi!!!!Hii ni Habari Njema kwa watanzania kwamba mkurugenzi mpya wa FBI Kash Patel mama yake alikuwa Mtanzania na baba yake ni Mganda
Tembeeni vifua mbere 😄
Hao wanawake wa kiganda na kinyarwanda hawatoa viongozi wakubwa kidunia kama wanawake wa kitanzania waliotoa kiongozi huyo wa FBI na waziri mkuu wa UingerezaInawasaidia Nini Watanzania?
Mkipata Rais au PM ambae Mama ake ni Mnyarwanda au Mganda mumsifie pia
Hahahaha, kwahy huyu atawasaidia Watanzania na wamama wakitanzania? Aisee hongereni wa Mama wakitanzania mko vzrHao wanawake wa kiganda na kinyarwanda hawatoa viongozi wakubwa kidunia kama wanawake wa kitanzania waliotoa kiongozi huyo wa FBI na waziri mkuu wa Uingereza
Hao wana uwezo tu wa kuzaa local leaders wa nchi zetu za kiswahili tu
Usitarajie makubwa sana toka kwenye matumbo yao hao waganda na wanyarwanda .Hata mawazo yao tu yako local local tu kuwaza kuolewa na kuzaa na African Local people tu hawaendi beyond hao.Hamna kitu
Mwanaume ndio maana akiwa na akili nusu kaputi na toto linatoka hivyo .Garbage in garbage outMbegu ya uzazi anaweka nani?
Kumbe wanaume wakitanzania mbengu hazina akili , hahahaha ndio maana mnapaka mkongoMwanaume ndio maana akiwa na akili nudu kaputi na toto linatoka hivyo .Garbage in garbage out
Ssbabu mojawapo ya Tanzania kutoendelea kunachangiwa kwa asilimia kubwa na wanaume Mbegu wanazoingiza hazins akili nyingi.Zile mbegu sio kuingiza tu kabla kuingiza na kuzalisha jiulize kwanza wewe akili ziko nyingi kichwani ilo usichangie kuzalisha kizazi cha watu wenye akili ndogo nchini
Hilo haina maana yoyote. Huyo MarekaniHii ni Habari Njema kwa watanzania kwamba mkurugenzi mpya wa FBI Kash Patel mama yake alikuwa Mtanzania na baba yake ni Mganda
Tembeeni vifua mbere 😄
Hahahahaakili tunazo nyingi hadi zimekua too much, changamoto ni kwenye kuzitumia.
Wanaume wa Africa wengi wana shida hiyo ndio maana nchi za kiafrika kuendelea ni vigumuKumbe wanaume wakitanzania mbengu hazina akili , hahahaha ndio maana mnapaka mkongo
Hahahaha,umenifunza kitu hapaWanaume wa Africa wengi wana shida hiyo ndio maana nchi za kiafrika kuendelea ni vigumu
Matatizo yote unayoona Afrika tatizo ni mbegu wanazoweka wanaume kwa wanawake wanazalisha mitoto ya ajabu ajabu kiakili hara ikipata uongozi shida tupu na nchi haziendi kimaendeleo
[emoji23]Hahahaha
Sana, wakiambiwa uraia pacha huwa wanajitoa ufahamu mtu akifanikisha mambo yake wanasema huyu ni wa kwetu pia, ujinga mtupu.Watanzania Kwa shobo wako vzr
Sana, wakiambiwa uraia pacha huwa wanajitoa ufahamu mtu akifanikisha mambo yake wanasema huyu ni wa kwetu pia, ujinga mtupu.