Kash Patel Mkurugenzi Mpya wa FBI aliyeteuliwa na Rais Trump, mama yake ni Mtanzania!

Kash Patel Mkurugenzi Mpya wa FBI aliyeteuliwa na Rais Trump, mama yake ni Mtanzania!

Wanawake wa Tanzania wana akili nyingi kuliko wanaume wakizaa na wenye akili wa nje ndipo wanatoa mitoto genius sana .Wanaume wanatakiwa kujitathimini kama kuna dawa ya kuongeza akili waitafute
Mbegu ya uzazi anaweka nani?
 
Wanawake wa Tanzania wana akili nyingi kuliko wanaume wakizaa na wenye akili wa nje ndipo wanatoa mitoto genius sana .Wanaume wa Tanzania wanatakiwa kujitathimini kama kuna dawa ya kuongeza akili waitafute haraka
akili tunazo nyingi hadi zimekua too much, changamoto ni kwenye kuzitumia.
 
Inawasaidia Nini Watanzania?

Mkipata Rais au PM ambae Mama ake ni Mnyarwanda au Mganda mumsifie pia
Hao wanawake wa kiganda na kinyarwanda hawatoa viongozi wakubwa kidunia kama wanawake wa kitanzania waliotoa kiongozi huyo wa FBI na waziri mkuu wa Uingereza

Hao wana uwezo tu wa kuzaa local leaders wa nchi zetu za kiswahili tu

Usitarajie makubwa sana toka kwenye matumbo yao hao waganda na wanyarwanda .Hata mawazo yao tu yako local local tu kuwaza kuolewa na kuzaa na African Local people tu hawaendi beyond hao.Hamna kitu
 
Hahahaha, kwahy huyu atawasaidia Watanzania na wamama wakitanzania? Aisee hongereni wa Mama wakitanzania mko vzr
 
Mbegu ya uzazi anaweka nani?
Mwanaume ndio maana akiwa na akili nusu kaputi na toto linatoka hivyo .Garbage in garbage out

Ssbabu mojawapo ya Tanzania kutoendelea kunachangiwa kwa asilimia kubwa na wanaume Mbegu wanazoingiza hazins akili nyingi.Zile mbegu sio kuingiza tu kabla kuingiza na kuzalisha jiulize kwanza wewe akili ziko nyingi kichwani ili usichangie kuzalisha kizazi cha watu wenye akili ndogo nchini
 
Jamaa kagoma hata usimpige PICHA?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Mwanaume ndio maana akiwa na akili nudu kaputi na toto linatoka hivyo .Garbage in garbage out

Ssbabu mojawapo ya Tanzania kutoendelea kunachangiwa kwa asilimia kubwa na wanaume Mbegu wanazoingiza hazins akili nyingi.Zile mbegu sio kuingiza tu kabla kuingiza na kuzalisha jiulize kwanza wewe akili ziko nyingi kichwani ilo usichangie kuzalisha kizazi cha watu wenye akili ndogo nchini
Kumbe wanaume wakitanzania mbengu hazina akili , hahahaha ndio maana mnapaka mkongo
 
Kumbe wanaume wakitanzania mbengu hazina akili , hahahaha ndio maana mnapaka mkongo
Wanaume wa Africa wengi wana shida hiyo ndio maana nchi za kiafrika kuendelea ni vigumu

Matatizo yote unayoona Afrika tatizo ni mbegu wanazoweka wanaume kwa wanawake wanazalisha mitoto ya ajabu ajabu kiakili hara ikipata uongozi shida tupu na nchi haziendi kimaendeleo
 
Hahahaha,umenifunza kitu hapa
 
Back
Top Bottom