Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Wasiwatanie hao waambieni mnapiga mnada kanisa mnawauzia waislamu au mnajenga kumbi ya starehe muone kama hamjapewa mashamba yenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Matangazo yalitolewa kwenye mimbale ya Kanisa, notice board za kanisa, mchungaji wa kanisa akahusika, waumini wakahusika na account ya Kanisa nayo ikahusika hapo tayari Kanisa ndiyo limehusika.
Hizo parties nimezitaja ndiyo zinakamilisha kanisa lakini!Bado nasisitiza kuna maelezo ya ziada, hakuna Kanisa kwa ujumla wake linafanya hayo
Hizo parties nimezitaja ndiyo zinakamilisha kanisa lakini!
Huko Bagamoyo zamani ilikuwa Mwenyekiti wa kijiji fake, mihuri fake, balozi fake, makaratasi fake wajumbe fake, kumbe haikuishia hapo hata makanisa nayo yamenasa kwenye mtego wa fake, yameacha kazi zake za msingi yanajiingiza kutafuta fedha haramuKanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani limeingia kwenye kashfa kubwa ya utapeli baada ya makanisa yake ya Kijitonyama, Salasala, Mwenge, Ubungo na Mbezi Beach kuwauzià waumini wake mashamba feki yaliyopo Bagamoyo.
Kwani hela zikiingia kwenye account ya kanisa, ni muhuni gani awezaye kuzitoa, kama sio kanisa lenyewe?Hakuna Kanisa linafanya haya, atakuwa ni muhuni Mmoja wa Kanisan, muwage mnaheshimu watu na kutosema vitu ambavyo hamna ushahidi navyo
Kanisa linasema halihusiki, lakini kanisa ndilo lilitafuta mashamba, ndilo lilikuwa ninayauza, na malipo yalikuwa yanaingia kwenye account ya kanisa. Risiti ambazo watu wamelipa kupitia benki zipo.Kanisani Naamini Angepata Ufafanuzi
Utadaiwa usharika ambao ndio account yake ulipokea malipoKkkt halipoi
Jipu limekaa pabaya unamdai vipi baba mchungaji 😀
Kwa hiyo hizo sharika tano za Dar ndio zinakufanya uipakazie Dayosisi nzima ya Mashariki na Pwani? It's not fair.Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani limeingia kwenye kashfa kubwa ya utapeli baada ya makanisa yake ya Kijitonyama, Salasala, Mwenge, Ubungo na Mbezi Beach kuwauzià waumini wake mashamba feki yaliyopo Bagamoyo.
Heka nyingine zimesambaa kwenye vijiji mbalimbali wilayani Bagamoyo.
View attachment 2639510
Hahahah na wewe ulipigwa kule Fukayosi?Duuh yalikuwa fake yale mashamba na watu wameyanunua bwana
Washarika wa Ubungo tujuane kwa Mch Oscar Mlyuka
Msharika mwenzangu..Usharika wa Mwenge tukutane hapa. MCHUNGAJI KANANSIA ndio alikuwa kinara wa udalali wa utapeli huu
Tumeacha kuutafuta uzima wa milele leo kanisani watu wako busy kutafuta mademu, madanga na utajiriYesu alikataza biashara kanisani.
Sasa waumini wanaoamini mafundisho ya wanadamu na yasiyo ya Mungu ndo wanavuna mabua kila kukicha
Mmh yaani kanisa kama kanisa,emu tafuta habari kwa usahihi,hakuna kitu kama hicho
Daah.Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani limeingia kwenye kashfa kubwa ya utapeli baada ya makanisa yake ya Kijitonyama, Salasala, Mwenge, Ubungo na Mbezi Beach kuwauzià waumini wake mashamba feki yaliyopo Bagamoyo.
Mashamba hayo yenye zaidi ya heka 15,000 yalikuwa yakiuzwa kwa shilingi laki tano na sitini elfu kwa heka ambapo heka zote zilizopangwa kuuzwa ziliuzwa na baadhi ya waumini wengine hadi leo hawajawahi kupewa wala kuonyeshwa mashamba yao.
Malipo ya mauzo ya mashamba hayo yalifanyika kupitia account za kanisa hilo, kumbe ardhi inayouzwa ni mali ya Ranch za Taifa huku kanisa hilo likijua fika uhuni huo.
Katika kijiji cha Fukayose, Ranch imesema itaachia heka mia tu kwa kijiji. Kwenye kijiji cha Fukayose Ranch ina heka 3000.
Heka nyingine zimesambaa kwenye vijiji mbalimbali wilayani Bagamoyo.
View attachment 2639510
Ufafanuzi upi? Miaka 12 sasa kanisa halina mashamba ya kuwaonyesha walio yanunua? Yaani watu waliuziwa mbuzi kwenye guniaKanisani Naamini Angepata Ufafanuzi
Heka? Heka ni kitu gani jamani tena? Dah! Tunayo kazi kubwa kwenye lugha zetu hizi!Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani limeingia kwenye kashfa kubwa ya utapeli baada ya makanisa yake ya Kijitonyama, Salasala, Mwenge, Ubungo na Mbezi Beach kuwauzià waumini wake mashamba feki yaliyopo Bagamoyo.
Mashamba hayo yenye zaidi ya heka 15,000 yalikuwa yakiuzwa kwa shilingi laki tano na sitini elfu kwa heka ambapo heka zote zilizopangwa kuuzwa ziliuzwa na baadhi ya waumini wengine hadi leo hawajawahi kupewa wala kuonyeshwa mashamba yao.
Malipo ya mauzo ya mashamba hayo yalifanyika kupitia account za kanisa hilo, kumbe ardhi inayouzwa ni mali ya Ranch za Taifa huku kanisa hilo likijua fika uhuni huo.
Katika kijiji cha Fukayose, Ranch imesema itaachia heka mia tu kwa kijiji. Kwenye kijiji cha Fukayose Ranch ina heka 3000.
Heka nyingine zimesambaa kwenye vijiji mbalimbali wilayani Bagamoyo.
View attachment 2639510
Hapana toka yanaanza kutangazwa nasikia roho ilikuwa inasita sanaHahahah na wewe ulipigwa kule Fukayosi?