raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Mwachie mungu atakulipaMImi pia ni mhanga, natokea usharika wa Mwenge na malipo nilifanyia kupitia account ya usharika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwachie mungu atakulipaMImi pia ni mhanga, natokea usharika wa Mwenge na malipo nilifanyia kupitia account ya usharika
KKKT hasa malasusa ni matapeli huku konde tumewakataa siku nyingiKwa kawaida taasisi kama KKKT huwa inafanya mambo yake kwa usahihi kulinda heshima yake. Yawezekana mpango wa kanisa ni mzuri ila watekelezaji wameenda kinyume na maadili.
Hutatatua tatizo kwa kukimbia ukweliMada ingeeleweka bila kuingiza lugha za mtaani sijui utapeli mara feki
Ubishi usio na maanaKuna zaidi ya hayo maelezo
Sina ujinga huoMwachie mungu atakulipa
Jumla ya mauzo ni zaidi ya 7 billion hadi leo ni miaka 12 kanisa limeshindwa kutufikisha kwenye ardhi tuliyolipia. Tafsiri yake nini nini?Mada ingeeleweka bila kuingiza lugha za mtaani sijui utapeli mara feki
Pole dearMImi pia ni mhanga, natokea usharika wa Mwenge na malipo nilifanyia kupitia account ya usharika
Hili neno rais muislamu lina ukakasi kwa namna lilivyotumika hapa hata kama ni kweli ndio imani yake.Viongozi wa KKKT wanaharibu, halafu baadae wafunge safari kwenda Ikulu kumblackmail rais muislamu awape ardhi ya serikali ili kuficha magumashi yao!
Si muumini wa kanisa hilo lakini naamini huwezi tapeliwa mpaka hapo. Umelipa 500,000 kwenye akaunti inayofahamika ya taasisi, jina la akaunti uliandika la taasisi, una bank slip ya malipo yenye mhubiri wa kupokea pesa kwa tarehe husika. Unatapeliwaje?MImi pia ni mhanga, natokea usharika wa Mwenge na malipo nilifanyia kupitia account ya usharika
Sio tuu mpaka wawakane ila pia hata muda. Miaka 12 kweli, mi naona wamewatapeli. Tena nilikuwa kiluvya wakati huo nakumbuka hizo plopaganda za kihuni zilikiwa zikihubiriwa kanisaniSi muumini wa kanisa hilo lakini naamini huwezi tapeliwa mpaka hapo. Umelipa 500,000 kwenye akaunti inayofahamika ya taasisi, jina la akaunti uliandika la taasisi, una bank slip ya malipo yenye mhubiri wa kupokea pesa kwa tarehe husika. Unatapeliwaje?
Kuna upande haujafanya kazi yake vizuri au kanisa ndio limetapeliwa na kwa vyovyote litawajibika kuwarejeshea pesa endapo mambo hayataenda sawa. Unaweza kuta taasisi ndio imepigwa na wahuni ingawa yawezekana walikuwa na nia nzuri tu kuelekea waumini wake
Ila ikiwa pamoja na ushahidi mlio nao kanisa limekataa kuhusika na mpango huo, hapo mtakuwa na haki ya kuilaumu taasisi ya dini kwa utapeli.
Ni uzembe wao hao waumini kuwaabudu watu na kutochukua hatuau. Kiongozi wa taasisi ya dini akiharibu lazima achukuliwe hatua na aadhibiwe.Sio tuu mpaka wawakane ila pia hata muda. Miaka 12 kweli, mi naona wamewatapeli. Tena nilikuwa kiluvya wakati huo nakumbuka hizo plopaganda za kihuni zilikiwa zikihubiriwa kanisani
KKKT once again.Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani limeingia kwenye kashfa kubwa ya utapeli baada ya makanisa yake ya Kijitonyama, Salasala, Mwenge, Ubungo na Mbezi Beach kuwauzià waumini wake mashamba feki yaliyopo Bagamoyo.
Mashamba hayo yenye zaidi ya heka 15,000 yalikuwa yakiuzwa kwa shilingi laki tano na sitini elfu kwa heka ambapo heka zote zilizopangwa kuuzwa ziliuzwa na baadhi ya waumini wengine hadi leo hawajawahi kupewa wala kuonyeshwa mashamba yao.
Malipo ya mauzo ya mashamba hayo yalifanyika kupitia account za kanisa hilo, kumbe ardhi inayouzwa ni mali ya Ranch za Taifa huku kanisa hilo likijua fika uhuni huo.
Katika kijiji cha Fukayose, Ranch imesema itaachia heka mia tu kwa kijiji. Kwenye kijiji cha Fukayose Ranch ina heka 3000.
Heka nyingine zimesambaa kwenye vijiji mbalimbali wilayani Bagamoyo.
View attachment 2639510
Limekuwa la hovyo mnooKanisa la hovyo sana kila siku drama
Wajinga ndio waliwaoLimekuwa la hovyo mnoo
Hahahaha sio kweli, sisi wa Mabibo Kwa Mchungaji Chuma tulinunua ila sio Kwa style hioUsharika wa Mwenge tukutane hapa. MCHUNGAJI KANANSIA ndio alikuwa kinara wa udalali wa utapeli huu
Embu soma coment za wadau walio tapeliwa humuSijui kama hii taarifa inaukweli,pale Ushirika wa Ubungo Kibangu, nikweli hiyo project ipo na waliolipa tayari wana mashamba huko Bagamoyo na siyo utapeli kama Uzi huu labda sharika nyingine
Nimeziona na namm nimezungumza kile ninachokijua na kukishuhudia, siwezi kuthibitisha hayo ya wengineEmbu soma coment za wadau walio tapeliwa humu