Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.
Free Amina Now....!!!! Free Amina Now.... Free Amina Now...

inakuwaje mtu mzima anyamazishwe kuzungumza kama mtoto mdogo, tena mtu huyo Mbunge wa Jamhuri ya Muungano? Kwanini wamnyang'anye simu na kusingizia ati amechanganyikiwa? ....
 
mwana kijiji na wewe kwa kuturusha roho!!!

hebu tupatiye hayo yaliojiri, maana si bure unalo jambo
 
Ukisoma huu mtiririko hapa,kwenye magazeti,jinsi baba yake Amina alivyokwenda kuongea na waandishi wa habari,yote hii inaashiria kuwa ni kweli Zitto na Amina walichangamkiana.Sasa issue iliyobaki sio suala la ukweli tena,kwa sababu Zitto hawezi kuja hapa na kukubali kuwa kweli alichangamka na Amina.Simple,anatumia philosophy ya Clinton..."deny..deny..deny!!" Hata Amina mwenyewe hawezi kukubali hadharani(then inapoteza maana nzima ya wao kufanya siri in the 1st place) Yeye Amina mtu atakayeweza kukubali kwake ni mumewe tu,ili amsamehe.Sasa mimi naona tuachaneni ni hili,wamefanya,au hawajafanya.Cha kuongelea hapa ni interpretation ya hili suala kwenye society yetu.Je,inachukuliwa kama mke kamsaliti mumewe? Au Amina kakitia aibu chama chake? Au pia Zitto kakitia aibu chama chake kwa kitendo hicho?
 
Nasikia zamani kidogo naibu waziri,mwenyekiti uvccm taifa na mbunge wa songea mjini alishapiga hapo kwa bintiye chifupa,sasa sijuhi alinogewa ama laa kiasi cha kwamba sasa anamwonea wivu kabwe,lakini kubwa zaidi tayari ameshamwandaa mrithi wake katika cheo cha uenyekiti kwa kuwa kwa mujibu wa taratibu za UVCCM jamaa 2008 atakuwa umri umepitiriza,haruhusiwi kugombea,kasi ya bintiye chifupa hasa alipoanza kutumia mgongo wa madawa ya kulevya na kupewa publicity kubwa na vyombo vya ipp kwa sababu ambayo kila mmoja wenu anaifahamu,ilimtisha sana naibu waziri hivyo akaanza kutumia misuli yote kuhakikisha anazuia ama kuchafua move nzima ya huyo kabinti ikiwemo ya watendaji wa UVCCM ngazi za mikoa na wilaya na pia alitamka katika mkutano wa kuchagua chipukizi mkuu dodoma,lakini zaidi naibu waziri bado anatishwa na kikosi cha kazi cha watu wa clouds akina kusaga,watoto wa mjini na endapo wangeungana na mpakanjia-uenyekiti ulikuwa mweupe,sasa game imeanza upyaaa,lakini mwakani tutaona mambo.Lakini yote kwa yote kama anategemea nafasi hiyo na anatoa uroda kirahisi namna hiyo,nadhani si vyema kumpa uongozi ambayo yeye anatakiwa kutoa maamuzi ya mwisho,aendelee kukaa katika vikao vya uchangiaji kama bunge
 
Ningelikuwa gazeti la udaku ningetoa kichwa cha habari cha namna hiyo.

Waheshimiwa wameonyesha wazi kuwa vyama tofauti si uadui. Jamaa kawazidi
kete kweli wana CCM.

Wivu umewajaa CCM na wananza kurusha mabomu hovyo hovyo.

Tulia tu ndugu zangu, mwali muoe nyie, uroda wafaidi wengine, hii wapi na wapi?
 
Heshima kwa wote!
Mimi wacha niendelee kuwa mpole kwani hapa inaonekana kuna moto unataka kuwaka kwani naona moshi unaonekana,
Ombi langu wana JF Tuwe na moyo wakuchagia kwa nguvu katika mijadala mingine kama tulivyofanya katika mjadala huu tusije tukaishiwa pumzi baada ya mjadala huu.
 
lakini tukisoma mtiririko wote wa habari sijui kama wenzangu mmegundua kwamba hakuna hata sehemu ambayo amina amekataa kura uroda na kabwe,kwani sehemu zote yeye amebase katika kuangalia alikoangukia siyo alikojikwaa kwa maana anamtuhumu zaidi naibu waziri na mjumbe wa kamati kuu ya ccm ndiyo mnoko aliyesababisha alimwe taraka,lakini ameshindwa kueleza kuwa yeye ajatoa uroda kwa chadema bali hizo ni fitina,nadhani kuna mengi ambayo yamejificha nyuma ya pazia,ninaamini anafahamu ukweli jinsi ulivyo na kamwe unapokuwa katika mazingira hayo kamwe uwezi kupinga hovyo hovyo kwani watu wanaweza kuweka mambo hadharani
 
bigman, mtumwitu et al, ndio maana alitaka kuzungumza hadharani! Wajanja wamempiga mkwara dingi (alipigiwa simu na kiongozi mmoja wa juu wa serikali) ambaye alimhakikishia kuwa it is a "lose lose situation". Wakamwambia mzee Chifupa amcontrol mwanae na mzee alipombana Amina ambaye alikuwa amepania kwenda hadharani ilibidi atumie vitisho vya "Kama kweli mimi ni baba yako, na unataka radhi yangu".... Amina tangu jana amebakia kulia, kusema sema ovyo.. na hali yake kiafya ya akili ina utata! Ndio maana lazima tupige kelele Amina aachiliwe, hili siyo suala la chama ni suala la mtu mzima na akili zake na kama aliweza kufanya utangazaji, kuzungumza bungeni, na kufanya mambo yake bila baba "kumsimamia" nyuma, wamuachilie binti huyo azungumze!! Kama pensheni kila mtu ana ya kwake!

Uwezekano mkubwa ni kuwa Amina atapigwa mkwara wa nguvu next week kwenye kikao na sitashangaa kama CCM itaamua kumtema (sijui kama atapoteza Ubunge au la)!

This story is as fluid as it can get....
 
Itaongezeka kuwa tamu kama CCM wataamua kumtenga maanake Bi. Amina anaweza kuwataja wote waliokwisha anguka naye akiwa mke wa mtu...
Yangu macho na scandal za namna hii zimepata nafasi sasa hivi maanake najua kuna nyingi zinakuja!
 
Ningelikuwa gazeti la udaku ningetoa kichwa cha habari cha namna hiyo.

Waheshimiwa wameonyesha wazi kuwa vyama tofauti si uadui. Jamaa kawazidi
kete kweli wana CCM.

Wivu umewajaa CCM na wananza kurusha mabomu hovyo hovyo.

Tulia tu ndugu zangu, mwali muoe nyie, uroda wafaidi wengine, hii wapi na wapi?


I like this,

Wabunge wa CCM na wa CHADEMA wana ushirikiano wa karibu sana. Laiti kama ushirikiano huu ungalikuwa na manufaa kwa taifa
 
Nimefuatilia thread hii tangu ilipoanza, wengi wanamwandika zaidi AC kama ndiye mkosaji peke yake wakati starehe imewahusisha wote wawili. Bado tunamsububiri Mh. Zitto aje humu afafanue kisa hiki, kimya chako inatoa tafsiri nyingi.

Huko nyuma Mh. Zitto alitangaza kustaafu siasa; je, hii ndiyo style yenyewe ya kutokea?
 
Sam umesubiriwa sana uchangie has ile thread ya AC na Zitto, hata hivyo tunayataka mafaili ya en; iwapo utakawia, wengine tuliyatunza yale ya bcs tutayaweka vipandevipande.

tafadhali weka dossier kamili!
 
Jamani kijana wetu Zitto kapotelea wapi?

Zitto ni huko Kigoma hakuna mtandao au ndio umejichimbia mpaka mambo yapoe?

Kumbuka meneno ya Salim, uongo ukiachiwa urudiwe mara nyingi, hugeuka kuwa ukweli. Mwanzoni asilimia ndogo waliamini, kadri unavyokaa kimya
na wengine wengi wanazidi kuamini.
 
Ningelikuwa gazeti la udaku ningetoa kichwa cha habari cha namna hiyo.

Waheshimiwa wameonyesha wazi kuwa vyama tofauti si uadui. Jamaa kawazidi
kete kweli wana CCM.

Wivu umewajaa CCM na wananza kurusha mabomu hovyo hovyo.

Tulia tu ndugu zangu, mwali muoe nyie, uroda wafaidi wengine, hii wapi na wapi?

Na mie ningekuwa na langu la udaku nigeongeza chumvi kwa heading kama "Mbunge wa CHADEMA amruka ukuta mbunge wa CCM",halafu ningeweka na sub-heading "Yasemekana mbunge huyo wa CCM anapendelea sana kurukwa ukuta"
 
1.Nina matatizo na huyo aliyeweka mambo haya hadharani siyo kwa nia ya kulinda heshima ya Bwana Mpakanjia, bali kwasababu za kisiasa. That is called DIRTY POLITICS.

2.Kwa kweli ni ubinafsi na kukosa utu kutembea na mke/mume wa mtu. Mbaya zaidi ikiwa mwanamke/mwanaume huyo tayari ana watoto katika ndoa yake.

3. Tabia ya UGONI si jambo la kufumbia macho katika jamii yetu. Viongozi ambao tamaa zao za ugoni zinaathiri utendaji wao wa kazi waepukwe kama ukoma.

4.Tusiwaige Wamarekani kwasababu walikuwa na Raisi mwenye sex scandals. Wenzetu mfumo wao wa utawala na uongozi tayari umekomaa. Zaidi they have all kinds of checks and balance. Kutokana na hali hiyo Marekani, tofauti na Tanzania, wanaweza kuchagua Raisi wa hovyo-hovyo bila kupata madhara makubwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom