Nasikia zamani kidogo naibu waziri,mwenyekiti uvccm taifa na mbunge wa songea mjini alishapiga hapo kwa bintiye chifupa,sasa sijuhi alinogewa ama laa kiasi cha kwamba sasa anamwonea wivu kabwe,lakini kubwa zaidi tayari ameshamwandaa mrithi wake katika cheo cha uenyekiti kwa kuwa kwa mujibu wa taratibu za UVCCM jamaa 2008 atakuwa umri umepitiriza,haruhusiwi kugombea,kasi ya bintiye chifupa hasa alipoanza kutumia mgongo wa madawa ya kulevya na kupewa publicity kubwa na vyombo vya ipp kwa sababu ambayo kila mmoja wenu anaifahamu,ilimtisha sana naibu waziri hivyo akaanza kutumia misuli yote kuhakikisha anazuia ama kuchafua move nzima ya huyo kabinti ikiwemo ya watendaji wa UVCCM ngazi za mikoa na wilaya na pia alitamka katika mkutano wa kuchagua chipukizi mkuu dodoma,lakini zaidi naibu waziri bado anatishwa na kikosi cha kazi cha watu wa clouds akina kusaga,watoto wa mjini na endapo wangeungana na mpakanjia-uenyekiti ulikuwa mweupe,sasa game imeanza upyaaa,lakini mwakani tutaona mambo.Lakini yote kwa yote kama anategemea nafasi hiyo na anatoa uroda kirahisi namna hiyo,nadhani si vyema kumpa uongozi ambayo yeye anatakiwa kutoa maamuzi ya mwisho,aendelee kukaa katika vikao vya uchangiaji kama bunge