Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.
sidhani kama kuna uchawi hapo....huyo jamaa anaumwa toka enzi ya ajali kule moro!....nadhani majeraha[ya mwili na akili]yamemchosha!

kama kuna uchawi....tusubiri tuone kama mchinja atachinjwa!.

hii ni ndogo ndogo tu!
 
Nimekuwa naifuatilia hii habari ya Amina na Kabwe kwa wiki nzima sasa, It just tastes little off, kama walimtumia AC kama mtego wa kumnasa ZK, na jamaa akaamua kula kizigo basi hicho kitendo kitakuwa kimewaumiza waungwana wengi ndani ya CCM, kama ilivyokuwa issue ya Diana na Al Fayed au Jackie O na Aristotle.
Patamu ni kwamba kuna maneno mengi tu kuwa AC ametembea na baadhi ya wanene ndani ya ccm na serikalini/bungeni sasa imagine leo hii afanye press conference na kweli alipue bomu supposedly lipo ndoa ngapi zitakuwa hatarini au wangapi wamemwambia nini na je kamwaga siri zote kwa Zitto? I bet they decided to raise the stakes, and since credibility is the only currency that means anything on this kind of playing field, They have assumed Amina knows a lot and they are afraid she will come out and put everything out in the air so before she does that the gang of humanoids who would make up a full chapter of darwin's theory. are going to use any means possible to make sure she doesn’t say anything and put some lives or careers in jeopardy.

Lakini swali la kujiuliza Wangapi CCM wamefanya mandundu hayo na hakuna aliyeair their dirty laundry in the public? Kila siku tunasikia machangudoa wanakimbilia Dodoma wakati wa bunge na wanadai kuna kuwa na biashara kweli kweli. Kwa mfano kuna mwanamama mmoja ndani ya ccm(alikuwa mbunge kipindi hicho na mpaka sasa ni mbunge) inasemekana aliliwa uroda na jamaa bwana mdogo ofisini lakini hiyo issue ilifichwa na hata wakati wa kura za maoni mpinzani wake yule mama hakuitaja kabisa sasa sijui ni kwa sababu jamaa aliyemla uroda alikuwa nobody ama kwa sababu mama alikuwa naye analiwa na mnene?(niliipata kutoka kwa wapelelezi wa Chama by the way wanajua uchafu wa kila mtu anayewania nafasi ndani ya CCM)

Ninachojaribu kusema hapa ni kuwa Amina/Zitto wamekuwa victims wa dirty, ruthless game ndani ya CCM, hawa wote wawili wana promising future kwenye ulingo wa siasa na mmoja wao tayari ameonekana adui kisa anaonesha nia ya kutaka kujiendeleza katika wigo wa siasa. Kilichopo kama kweli mzee Zitto kala kizigo(Kimenona kweli kweli kama nguva) amuombe msamaha Bwana Medi na wananchi, ila kama hawajatengua amri ya sita watoke wote wawili(Amina na Zitto) kwa wakati mmoja wakanushe na baada ya hapo aliyeimwaga hii stori awajibishwe both kwenye chama na kwenye serikali.
 
Do we real need to waste our time kujadili ujinga huu ? Moderator huu ni udaku ondoa weka kule kapuni .
 
acha hizo

humu kuna topiki inayowataka watu WAMPIGIE KURA huyo MWENDA UCHI (MISS UNIVERSE) NA HUJASEMA KITU
HEBU TUTOKEE SIE huwezi kucheza bao nenda ndani kaangalie TV
 
Katika ustaarabu wetu waafrika nje ya hizi siasa, nafikiri Zitto anatakiwa kumwona bwana Medi.. wanasema - man to man!
Nadhani kama kutakuwepo na suluhu kati ya Zitto na Medi nadhani EN ataonekana mchawi tu...
 
Mimi nina wasi wasi sana kuweza kukubaliana na tuhuma hizi kwamba hawa wawili wanamahusiano ya kimapenzi kati yao, nasema hivi kwa sababu imekuwa ni kawaida yetu sehemu mbali mbali za public mwanaume akionekana anazungumza na mwanamke tafsiri inakuwa ni ya kimahusiano ya kimapenzi, kuwa na mtazamo huu ni dalili tosha kwamba jamii imebobea sana katika ngono. Na ndiyo maana imekuwa ni vigumu kwetu sisi waswahili kutovumilia mwanamke akivaa kimini sote tunakuwa malijali na kumtamani kingono ngono. Hawa Zitto na Amina wana sifa nyingi tu, kwanza ni vijana, wana mvuto wote wanakubalika katika kundi lao la vijana wamelichangamsha sana bunge kwa hoja zao nzito. Baadhi ya haya niliyoyataja hapo juu ni obvious wapenda ngono lazima wawahisi kitu fulani ikiwa wangeonekana pamoja, bungeni nako kuna katabia fulani kama vile makuli wafanyavyo bandarini. Ikiwa kungekuwa na ushahidi wa moja kwa moja kuwa walikutwa chumba cha hoteli fulani basi mimi singekuwa na shaka juu ya ngono. Ni mara ngapi watu wamekuwa wakikutwa na wake za watu wakipata lunch hapa jijini. Kuna waziri fulani katika awamu iliyopita ambaye alishughulikia masuala ya "uongozi bora" kashfa ile ya yeye na changu-colour, mbona haikuwa hivi na kwanini iwe kwa hawa wanaohisiwa tu. Hata ndugu yangu Mpakanjia ameharakisha mno kumkabidhi ile hati kwani amesahau kwamba alimvugia hata masomo pale Tam-mbaza kwa mshiko wake. Viwango alivyonavyo huyu binti Meddy utakuja juta, ungekuwa Mkristo ningesema samehe saba mara sabini yaani bila kuchoka kwani kwa kuhisi tu inaonyesha huna msimamo. Upande mwingine wewe ndiye msaliti wa kwanza kwani uliamua kuoa kwa siri bila Amina kujua tena inasemekana ulifunga ndoa ile usiku kumbuka ulikiuka maadili ya dini yako kwani ilikuwa ni suala la kupata ridhaa toka kwa mkeo na ungeoa sasa kwa hisia tu na wewe unadhani Amina kakusaliti. Mrudie Mkeo unapoteza muda wako Meddy.
 
Ukiona hata Nchimbi anafikiria kuwa Rais ujue ile nchi tuna ukame wa kutisha wa viongozi!
 
Huyo aliyepiga picha ya video kupitia simu yake ya mkononi anatakiwa baada ya kuondolewa immunity ashitakiwe kama mtu muuaji kwani kama ni ujasusi mbovu hapo ameonyesha just imagine kwa kuonyesha nia yake kutaka kugombea uenyekiti wa UVCCM tumbo limekuwa moto. Hizo ni dalili za umbea. Nani hajui kwamba mshenga mkuu wa huyu binti ni Captain John Komba kama wewe chairman uliona mwenendo mbovu wa huyu binti kwanini usimuone Komba akamuonya huko huko bungeni kama hukuwa na nia ya kuvunja ndoa? Sasa umeona matokeo yake. Kweli kusoma kwako kumeondoa busara yaani huna busara. Waone hawa vijana na uwaombe msamaha kwani ume attempt kuua kabisa hata hivyo hatujui kama hujaua kabisa mimi si mwana sheria.
 
acha hizo

humu kuna topiki inayowataka watu WAMPIGIE KURA huyo MWENDA UCHI (MISS UNIVERSE) NA HUJASEMA KITU
HEBU TUTOKEE SIE huwezi kucheza bao nenda ndani kaangalie TV

.....umesema ustaadh wangu!. watu husahau kama barazani huwamo maskhara,udaku,habari muruwa,na mengine kadhaa yenye kujenga!

hivi tukiwa serious sana hata kusema si tutashindwa!tutakuwa watu wa kununa na kukemea tu!
 
huu kamchezo mchafu nnaomba ukome, mtu ukiwa mada huipendi tushambizana mara kibao acha, usifungue hasa tafuta inayokuridhisha sasa huyu anaetaka mada ihamishwe ndo mdaku.

hapa mada hufa yenyewe ikiwa ni udaku, zile moto huondoshwa kwa hatari yake.

tuwe fair tusijipendeleee, halafu hawa wanataka mabadiliko kweli? ikiwa wanashindwa kuwavumilia wenzao???????????????????
 
Siasa ni mchezo mchafu na wanasiasa wote wanaelewa hilo. Kuna rafu, magoli ya kuotea, refa kununuliwa na kamati za ufundi zimo!

Kosa walilofanya Zitto na AC ni kujisahau hadi wakaangukia kwenye mtego wa washindani wao na hiyo imewagharimu sana kisiasa. Hata kama wamesingiziwa!

Iweje mtu unajilengesha hadi unajikuta kwenye kashfa nzito, tena kashfa yenyewe ni ya ugoni na mke/mchumba wa mtu?

Tunasubiri wote wawili wajitokeze na kueleza kama kweli 'walikandamizana' au la. Mie siamini kama AC amezuiliwa asiseme, sana sana anasubiri vumbi litulie ndio atoke hadithe tofauti.

Mh. Zitto ni mdau hapa JF; tunakusubiri!
 
Do we real need to waste our time kujadili ujinga huu ? Moderator huu ni udaku ondoa weka kule kapuni .
Murangira are you serious? wabunge wafanye mchezo mchafu eti udaku?

Huu sio udaku, hawa ni wawakilishi wa wananchi na watanganyika wana haki ya kujua upuuzi unaofanywa na wawakilishi wao.
 
What a joke? Mtu mmoja anaingia na majina tofauti anajitukana baadaye anajijibu tena kwa lugha tofauti?

Samvula, na Mtumwitu, respect kwa kuweka mambo yanapotakiwa, the kitchen is tooo hot, wote tunajua mlango uko wapi!

Ndio maana ninasema kuwa sisi wananchi ni wasaniii kama viongzi wetu!
 
Wa kualaumiwa zaidi ni sisi wananchi na hasa wasomi wetu kwa kujitenga na siasa. Kwa muda mrefu wasomi wengi Tanzania wamejitenga na siasa wakidhani siasa ni kwa ajili ya watu waliokwepa au walisoshindwa shule. Matokeo yake makada wengi katika vyama mbalimbali vya siasa (sio CCM tu) ni watu ambao shule iliwapiga chenga, sanasana shule zao walisoma kwa ubabaishaji. Lakini ukweli ni kwamba inapokuja kwenye swala la kugombea uongozi, itabdi viongozi watokane na makada haohao!

Nimekuwa nikifuatilia makada wa vyama hapa UK, wengi wao wana shule tena kutoka kwenye vyuo vya Oxford and the likes. Kwenye vyama vikubwa hapa kama huna shule ya kueleweka hukatizi huko juu! It's time wasomi wetu wakachangamkia siasa.

Hata hapa kwenye forum wengi wetu ni wakosoaji at best na walalamikaji at worst, lakini uliza wangapi hapa ni wanachama wa vyama vya siasa Tanzania. Maybe a handful!

Sasa Mzee ES, niembie, hivi Nchimbi ana sifa gani za kuwa kiongozi zaidi ya kuwa kada wa siku nyingi katika CCM? AU kwa maneno mengine, hebu nisaidie huyu bwana ana kadira gani hasa kwa CCM na nchi yetu?
 
Jamani,'
Kuna thread hapa imeondolewa ya Makamba na Mangula ambapo Mzee ES kanikashifu kwa kunihusisha katika ugomvi wake na Mugishagwe. Nataka nimjibu huyo mwenye tabia za kupeleka personal info za watu kwa wana forum kuwa mimi sina uhusiano na Mugishagwe. I do not know him from Adam. If Mr.ES you have a beef with me personally take it with me. You know me. Niko hapa kujadilia issues na si personal things. Leave me out of your vendeta with Mugishagwe.
 
Mzee Es,
Mzee wangu hapa inabidi niingilie maanake nyote wangu na maswala haya uncle umevuka!..No way bob huwezi kumtukana Jasusi kiasi hicho wakati unafahamu kabisa Jasusi hawezi kuwa kundi la watu wasiokuwa na heshima..na hasa kwako. Mnaweza kukwaruzana ktk hoja lakini hawezi kwenda personal!
 
Rumour has it kwamba kabla ya tukio hili la AC na Zitto Mpakanjia alishatia timu Dom wakati kikao cha bunge kinaendelea kumsaka "mbaya" wake (sio Zitto).Ni Naibu Waziri flani.....(sio Nchimbi).
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom