Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.
Kwa taarifa yenu Wapemba wanaongoza popote pale duniani kwa
kuchukuliana wanawake na kujisifu”Aka wajua eh nshanchukua nke wa fulani”

BY THE WAY nchimbi mwenyewe ndo huyu hapa

1431.jpg

anavimba MISHAVU tuuu

Ndugu yangu Samvulachole, I respect you so much and you have all the right to speak free. Hofu yangu ni kuwa kwa picha ile ya Dk. Nchimbi na comments zako kuhusiana na ile picha I think you have gone too far. Unajua si vizuri kuchukua umbo la mtu na kuligeuza kuwa kashfa; ni sawa na kumuhukumu Mungu aliyemuumba. "Muungwana akikosea huomba radhi" itakuwa vema kama utamuomba radhi Dk. Nchimbi na wote walioguswa na comments zako kuhusu picha yake kwa hilo.

Vinginevyo nakuomba Mhariri wa JF kuwa ujitahidi kutunza hadhi ya hii forum yetu.
 
Jf Natumaini Tuache Mazingaumbe,ac Na Zt Ni Watu Wenye Nyazifa Serikalini,pili Ni Watu Wanaoongoza Jamii,tatu Ni Wazazi Walioolewa Na Kuoa.
Mimi Binafsi Ningejaribu Kuwakumbusha Wa Na Jf Kuwa Siasa Ndivyo Zinavyoendeshwa U Pale Unapogusa Mahali Pa Wazee K8ila Jambo Litasukwa Ili Tuu Wakuangamize.

Nafikiri Ac Si Siku Nyingi Amekuwa Mstari Wa Mbele Kupiga Vita Wauza Unga,na Kusema Hazarani Kuwa Atawapeleka Kwenye Kianzio Cha Madawa Ya Kulevea Ili Tuwanusuru Vijana Ambao Ndiyo Taifa La Kesho.

Mimi Nijuavyo Wauza Unga Ni Vibosile Wakubwa Sana Duniani Wanaweza Kutumia Pesa Nyingi Saana Kumvuruga Huyu Bint Kwa Kuwa Tayari Wanaona Mwendo Wake Unakuwa Na Msaada Kwa Wananchi Pamoja Na Serikali,na Kuwa Msumari Kwao.

Wanaweza Kuwa Wamemtumia Bwana Mpakanjia Bila Yeye Kufahamu Dhumuni Lao.

Ushauri Wa Bure,
Masikio Ni Ya Kusikiliza Na Akili Ni Ya Kupambanua Ul
Iyoyasikia,
Tafuta Ukweli Mr Mpakanjia Usikurupuke Uapaa Hasara Na Sisi Tutakuwa Tumefanikiwa.
 
Mpaka kieleweke,

Wewe njoo na FACTS, woote sisi ni watu wazima, Utalindwa. Ila isiwe ni uzushi kama mingine tuliyowahi kuiona muda sio mrefu.

FD
 
Wakuu Mpakanjia nimemuona leo kwa Michuzi blog yuko fit kiasi. na zile fulani za kampeni ya Amina zinapatikana wapi? au Michuzi ndio dalali?

Wasiliana na Mwanakijiji kwani yeye ndiye mwanzilishi wa kampeni ya Free Amina!!
 
Moderator naomba uanzishe ka folder ka "Vibweka vya Wanasiasa " kwa sababu naona sasa wana JF mmekuwa "obsessed" na AC. Kwani yeye nani hasa ndoa yake isivunjike? Mmh au MM Mkwewe hajatulia? Mbona ya kawaida hayo. This is extremely boring!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mpaka Kieleweke:
Kwanza Hata Kwa Mungu Utapata Dhawabu Kwa Kuanika Huo Hoozo Wa Huyu Mvunja Ndoa Za Watu,pili Itakuwa Fundisho Kwa Watu Wenye Kinywa Kirefu Kama Kenge,na Watu Watatumia Macho Yao Kwa Kuzingatia Mungu Alivyooanisha Matumizi Yake.na Si Kuona Ya Wengine Kwa Umbea,unafiki,uzandiki,kiereere Kama Cha Nchimbiiiiiii?????????????????-------->>>>>>||||||++++&&###!!!nyinnnnnnnnnnnnnnn.

Huyu Nchimbi Kama Jina Anavyoitwa Anamwaribia Sana Huyu Bint Pasipo Na Sababu Yoyote,ili Mradi Mdomo Umetobolewa Sasa Matumizi Yake Yanakuwa Kama Ni Sumu Ya Ndoa Za Watu.

Haa Ukiangalia Sura Yake Ni Kama Mchimbaji Kaburi Wa Siku Nyingi Saana.

Au Naye Na Mpakanjia Ni Mmmmmmmmmmmm.tujulishwe Na Wanaomfahamu Vizuri.

Mdomo Ni Wa Kula Na Si Wa Majungu Na Kuvunja Ndoa Za Watu Wajemeniiiiiiiiiiiiiiiii.
Naondoka Asije Aka Ni Dito---------maana Nasikia Ni Kiboko Kwa Ubagamoyo
 
Mmmmm.ama Kweli Jf Ni Kiboko,mpaka Leo Thread Ya Ac Na Zt Na Mpj Imefikia 15,000 Na Ushee.
Kama Wanajf Wangekuwa Wanaxchangia Mada Zingine Kama Hizi Kwa Manufaa Ya Nchi Yetu Tungekuwa Tayari Kwenye Rekodi Ya Dunia,(geness Would)kwa Kushambulia Maovu Ya Nchi.

Na Watu Wangekuwa Wamepata Elimu Kubwa Ya Kutumikia Wananchi. Lakini Imekuwa Kama Tuna,ushuhuda Mkubwa Saana Wa Ngono.jamani Kweli Mada Hii Imeonyesha Jinsi Wajf Wanavyopenda Umbea,udaku Usiokuwa Na Msingi.ukweli Bado Fikira Tuu Mpaka Hapo??????????je Ingekuwa Kweli.mambo Yangekuwaje??????????????.

Mtu Anaumwa simu Lakini Wapi,tujibu,tuambie,ugonjwa Gani,mpaka Mnachosha.kwani Mmeambiwa Mada Ni Ya Ac,zit Tuu.na kama mtu ameshasema ninaumwa mnataka nini tena????????????.
Kumtoa Roho mpj wa watu.mwachie ya musa ayamalize mwenyewe.

Tumwache Mweshimiwa Wetu,tulimpendekeza Wenyewe,watu Awana Hata Kikomo Cha Matusi.we Wachaaaaaaaaa,/////???????? matusi Basi Mshikaji.

Ushauri:Amina Kinya Kama Ulivyo,
Zito Kama Ulijua Kufunga Mdomo Ni Heri.madhara Ni Maku???
Kusema Sema Ovyo.
Mkj Subira Yavuta Heri,sikio liliponza kichwa ,mdomo Ni Wa Kula Si Wa Kubwabwaja
Nch,fika Hapa Omba Radhi Kwa Familia Ulioikosea.dddddddd,tena zote mbili,na wajf wote.
Naomba kuwakilisha.
 
bora ulviyowakilisha maana umepost mara mbili kwa kuthibitisha kuwa wewe ndo namba moja kwa hayo ulioyaeleza, pole ndo walivyo.........
 
Wanajf Wangekuwa Wanaxchangia Mada Zingine Kama Hizi Kwa Manufaa Ya Nchi Yetu Tungekuwa Tayari Kwenye Rekodi Ya Dunia,(geness Would)kwa Kushambulia Maovu Ya Nchi.

Na Watu Wangekuwa Wamepata Elimu Kubwa Ya Kutumikia Wananchi. Lakini Imekuwa Kama Tuna,ushuhuda Mkubwa Saana Wa Ngono.

Snake leta basi hizo mada za manufaa kwa taifaa? Maana naona pia nawe utakuwa na mawa na mawazo ya kujenga, kukosoa na kunufaisha wananchi. Tunataka tuone matendo Haya leta mada na kata nyanga kwa manufaa ya taifa letu.
 
Tuafahamu kwambaq baadhi ya wanaforum hapa mnajuana binafsi, hata hivyo kumbukeni kuwa forumites wengi hatufahamiani na mtu kabisa. Forum hizi utamu wake ni pale mnapochambua jambo bila kuogopa lolote, ndiyo maana watu wengi hawatumii majina yao halisi ili kusudi wale dona la ishu bila hata kunawa. Sasa wale mnaojuana, msituharibie uhondo sisi wale ambao hatujuani na forumite yeyote. Tunataka kujadili "nukta" zinazotolewa na mtu bila kujali background yake.

Kichuguu, you are great! Unayozungumza ni hakika na ndiyo maana naanza kuwa mzito wa kuchangia katika JF maana nimegundua kuwa umakini unapungua sana na wana JF wana mambo yao binafsi ambayo wanayahamishia kwenye kijiwe chetu. WANATUHARIBIA tena WANATUDHALILISHA, zaidi ya yote WANASHUSHA HDHI YA JF na wachangiaji wote na hivyo sisi sote tunaonekana si watu makini.

Mr. Invisible utafanyaje? Yawezekana kuna mkakati wa makusudi wa kupaka matope JF na ionekane haina hoja na hatimaye kukosa wanachama wapya na wachangiaji makini.

Nawaomba wote ambao mna persona isuues na kwa kuwa inaonekana mnafahamiana, mtafute namna ya kuwasiliana na kumaliza tofauti zenu bila ya kuwabughudhi wana JF walio makini.
 
Mafuchila wapo wanaohitaji maombi,nami ni muombeaji tu kwa kweli kama uko karibu na huyu ndugu mshauri aingie kwa hii forum nitamuombea japo niko mbali kidogo na home.
 
Yote yawezekana kama EL ameweza kuukwaa upm mbona hata en anaweza kuukwaa upresident?
Tuamke sote na kuwaamsha wale wenzetu waliolala kwani kumekucha.
Amka kumekucha...amka kumekuchaa...
wimbo wa TOT.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom