Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.
Nyie watu vp?mmerogwa yaani mnataka bunge letu tukufu likae na kmjadili huyu bibie na mumewe mambo yao ya UNYUMBA???ama kweli Tanzania inapotea sioni sababu ya huyu jamaa kumuandikia spika wa bunge barua eti amuonye Zitto,alichotakiwa ni kumuarifu mtu kama kwa sasa Amina si mke wangu tena basi aishie hapo sasa tena hii ya bunge kuacha kutunga sheria na kujadili personal life ya mtu kwa kweli ni kioja .
Suala la kuacha na kuachwa sio kwamba hawa ndio wameanza
Nakuomba mh Spika tupilia mbali mambo haya ya kike na kufanya shughuli ambazo zitatuletea maendeleo
ni hayo tu
 
Eee bwana kama kunamtu anajua kuchora katuni naomba anichoree katuni kama ile ya Zero halafu iwe hivi. Mwalimu anamuuliza mwanafunzi ataje kazi za Bunge na mwanafunzi ajibu Kazi ya bunge ni kusimamia ndoa za watu. Mwalimu anauliza ni zipi kanunu za bunge? Mwanafunzi anajibu kanuni za bunge ni kuwa familia za wabunge ziko chini ya spika. Mwalimu: Kazi ya mbunge ni nini? Mwanzfunzi: Kazi ya mbunge ni kuwawakilisha wananchi wasiozini: Ni ipi sifa ya kuwa mbunge wa viti maalumu? Mwanafunzi: Asiwe mchoyo na awenatabasamu kwa wateuzi. Mwalimu Kiongozi bora wa CCM anasifa gani? Mwanafunzi: Kiongozi bora wa sisiemu awe na majungu.
Hii naamini imetawachanganya vijana wetu huko mashuleni hasa somo la uraia kwani kazi za bonge sasa hazifahamiki.
 
Nyie watu vp?mmerogwa yaani mnataka bunge letu tukufu likae na kmjadili huyu bibie na mumewe mambo yao ya UNYUMBA???ama kweli Tanzania inapotea sioni sababu ya huyu jamaa kumuandikia spika wa bunge barua eti amuonye Zitto,alichotakiwa ni kumuarifu mtu kama kwa sasa Amina si mke wangu tena basi aishie hapo sasa tena hii ya bunge kuacha kutunga sheria na kujadili personal life ya mtu kwa kweli ni kioja .
Suala la kuacha na kuachwa sio kwamba hawa ndio wameanza
Nakuomba mh Spika tupilia mbali mambo haya ya kike na kufanya shughuli ambazo zitatuletea maendeleo
ni hayo tu

Mhhh...punguza munkari.Nani hapa karogwa hadi kutaka bunge limjadili AC?Mumewe ndio alomwandikia Spika,na sijaona hoja ya mwanaJF yeyote anayemtaka Spika ajadili hoja hiyo.Au ulikuwa unamaanisha Mpakanjia karogwa?
 
jemba j. ARE YOU SERIOUS.....KWELI NASIKIA MTU MZIMA KAPITA PIA....LAKINI LABDA SIJAELEWA HIYO PICHA...UNAMAANISHA ...ANAOLEWA MKE WA.....[IDADI]...WA MTU MZIMA?? FAFANUA KAKA..
 
PM

Hiyo picha ni creation ya Mchungaji Munishi. Ingawa viongozi wetu ni wachanuaji wa wake za wenzao, hii picha haikuwa na maana kuonhshea kuwa AC ni "small house" ya JK inagawa hatujui usiku mambo yyao wanayafanyaje. Wakati naishi pale Sinza nilikuwa na bahati kubwa sana ya kumwona JK akihangaikia maumbile yake mpaka watoto wa kile walikuwa wakijitoea "kumhudumia.:
 
Duh Umenikumbusha mbali sana
 
Namnaani Guuest House....au Maeneo Ya Mtoni ...teh Teh Na Pale Nyuma Ya Sabasaba....wanaojua Hayo Machimbo ...alikua Hakosi Kuvinjari....!!!!
Sinza....kuna Aliyevunjiwa Nyumba...
 
Zitto: Nimejeruhiwa lakini sijakata tamaa

KASHFA ya ufuska inayowaandama wabunge wawili vijana, Zitto Kabwe wa CHADEMA na Amina Chifupa wa CCM, imebadili kwa kiasi kikubwa mwenendo wa maisha yao, kila mmoja kwa staili yake.

Zitto, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, ambaye hivi karibuni alikaririwa na gazeti hili akieleza kuwa atapambana kwa uwezo wake wote kukabiliana na wimbi la tuhuma zinazoelekezwa kwake, zikimhusisha kuwa na uhusiano usiofaa na Amina, sasa anaonekana kukata tamaa.

Katika kile kinachoonekana kuelemewa, Zitto tayari amekwishaanza maandalizi ya kukiacha kiti cha ubunge na amesisitiza kauli yake aliyoitoa mapema mwaka huu akiwa mkoani Shinyanga kuwa hatagombea tena ubunge, ingawa amesema hakusudii kuachana na siasa.

Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, juzi katika ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam, huku akisisitiza kutohusika na tuhuma hizo, Zitto alisema katika kipindi kifupi cha tuhuma hizo, ameshuhudia mchezo mchafu na wa kusikitisha wa siasa za hapa nyumbani za kuchafuana kwa lengo la kuwania madaraka.

.........Taarifa zisizo rasmi licha ya kutolewa na watu wa karibu na Amina zimeeleza kuwa, kwa siku kadhaa sasa amekuwa katika hali ya kuchanganyikiwa na amezuiliwa katika chumba maalumu nyumbani kwa wazazi wake.

http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/5/20/habari2.php
 
Jamani naona umekuwa mfumu dume umetawala. humu na Tanzania Daima kumekuwa na kampeni ya kumjenga Zitto na hapo hapo kumharibia Amina.
ZITTO ni mshenzi sana kamchezea Muhonga na sasa yuko na AC. hafai kuwa katibu wa chadema wala diwani. bora mumchukue mrema.
 
Mzee Kifimbo,
Kama hali ndiyo hiyo hivi tutapona? na hizo chaguzi ndogo nani atakayezilipia?
 
ZITTO ni mshenzi sana kamchezea Muhonga na sasa yuko na AC. hafai kuwa katibu wa chadema wala diwani.[/QUOTE]

Kifimbo, huo ni udaku mwingine. Tueleze umesikia au umeshuhudia? Waweza kujikuta watengeneza pesa kwa kuuza habari hii kwa magazeti ya udaku provided chanzo cha habari yako ni sahihi.

Hata hivyo umetumia neno baya (kamchezea), unataka kutueleza kuwa kana kwamba hilo tendo (kama lipo) linafanywa na mtu mmoja.

Katika hili Mrema wa TLP anaingiaje? Nadhani you want us to believe that Mreema is more potential than Zitto sijui umetumia criteria gani kufikia uamuzi huo.

Otherwise I doubt your integrity kwa sababu unahitimisha kuwa Zitto na AC kuwa ni kweli wana uhusiano usio sawa. Furthermore, nalazimika kukuchukulia kuwa unaleta siasa kwa kutushawishi kuwa Mrema ni mpinzani bora zaidi.
 
Jamani naona umekuwa mfumu dume umetawala. humu na Tanzania Daima kumekuwa na kampeni ya kumjenga Zitto na hapo hapo kumharibia Amina.
ZITTO ni mshenzi sana kamchezea Muhonga na sasa yuko na AC. hafai kuwa katibu wa chadema wala diwani. bora mumchukue mrema.

Mzee Kifimbo,
Heshima yako mzee.
Sina hakika sana kama kwa kauli yako hii unajua unachotaka kutuambia.
Kwa harakaharaka nimeona kama unataka kusema kuwa kwa kuwa Zitto kakumbwa na hili basi HASTAHILI kuwa kiongozi.
Ni sawa kwa maana ya kuwa hayo ni mawazo yako; shida yangu ni kuwa, uko realistic kweli? Ni yupi kiongozi, (tusemee viongozi wa juu wa serikal) ambaye anaweza leo kusimama kifua mbele akasema yeye hana kashfa ya ngono?

Raisi wetu mwenyewe ni ngonoist namba moja, na kura tumempa, asilimia 80..basi tuanze nae, ajoindoe kwenye uongozi akifuatiwa na wenzake wengi tunaowajua ambao bahati yao nzuri yao hayajafumuka, halafu tumalizie mimi na wewe..cos am sure we are all guilty of some sort of a crime/misdeeds/immoralities
Tusiwe wepesi kuwatupia wenzetu madongo wakati sisi wenyewe wachafu..
Ingekuwa hizi ni zile enzi za Yesu hapa asingebakia mtu ikiwa leo Yesu angesema aliye msafi na awe wa kwanza kuwatupia mawe.

wengine wetu humu hata leo AC akichombeza tunaingia line..sasa kelele ya nini..
Sisi tusome na kuandika kwa kufurahisha genge sio kujitia usafi ambao hatuna
 
By that time Nyenzi atakuwa amesharudisha forum, tutaendelea kukata issue tu.
 
wengine wetu humu hata leo AC akichombeza tunaingia line..sasa kelele ya nini..
Sisi tusome na kuandika kwa kufurahisha genge sio kujitia usafi ambao hatuna[/QUOTE]

Nakusoma Bwana kaka,
Inawezekana kuna wengine humu wanayo yasio semeka,Ni wachafuuu...........
Au ndio swala la 'mwenye kukutwa na ngozi ndio mla nyama.........'
 
Anaweza akawa alikuwa anajua toka zamani, akajipa moyo kuwa akimuoa atabadilika, kumbe wapi! Ama jamaa kamchoka! Si wajua mapenzi ya wanaume yapungua as time goes wakati ya wanawake ni vice versa!
 
wengine wetu humu hata leo AC akichombeza tunaingia line..sasa kelele ya nini..Sisi tusome na kuandika kwa kufurahisha genge sio kujitia usafi ambao hatuna[/quote]

Kwi kwi kwi....kasoro mie tu nayekaribiana na POPE mwenyewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom