johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Umenikumbusha mafishNi GSM hapo hakuna kesi,pia habari ya huyu bwana haieleweki.Yamenaswa wapi?wakati TRA ndiyo wanaothaminisha mzigo?jee hayakulipiwa kodi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenikumbusha mafishNi GSM hapo hakuna kesi,pia habari ya huyu bwana haieleweki.Yamenaswa wapi?wakati TRA ndiyo wanaothaminisha mzigo?jee hayakulipiwa kodi?
ufisadi upo tangu na tangu cha msingi nikujitahidi kuwanyoosha ila kuuondoa kabisa haiwezekani kuna watu wamezaliwa kuvunja sheria na kupiga dili shortcut wanachange mbinu kila sikuMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza uchunguzi kubaini kashfa ya kontena tisa zenye namba za kulipia kodi TZDL 16-10-25830 zilizoingizwa nchini na Kampuni ya Silent Ocean Ltd ambazo zilinaswa na kitengo cha "Fast Team" cha TRA zikiwa na bidhaa mbalimbali za vipuri vya magari, viatu vya ngozi na nguo za kifahari...
Hivi bado watu wanaendelea na hii michezo?? Hawaoni juhudi za Rais wetu na namna alivyo serious na mapato hasa bandarini?
Ipo kila sababu ya kumuunga mkono Rais wetu katika kuyakabili mambo kama haya.. Waliohusika waadhibiwe tu..maana hakuna namna!
Ni kampuni kongwe sana hii ya wale wale waliodai kwamba wamefilisikaMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza uchunguzi kubaini kashfa ya kontena tisa zenye namba za kulipia kodi TZDL 16-10-25830 zilizoingizwa nchini na Kampuni ya Silent Ocean Ltd ambazo zilinaswa na kitengo cha "Fast Team" cha TRA zikiwa na bidhaa mbalimbali za vipuri vya magari, viatu vya ngozi na nguo za kifahari...
Hivi bado watu wanaendelea na hii michezo?? Hawaoni juhudi za Rais wetu na namna alivyo serious na mapato hasa bandarini?
Ipo kila sababu ya kumuunga mkono Rais wetu katika kuyakabili mambo kama haya.. Waliohusika waadhibiwe tu..maana hakuna namna!
Watu wengine hawana huruma kabisa. Pamoja na kunufaika miaka yote bado tu wanatamaa!!Haya mambo unayaogopa wewe, wenyewe wanayaona ni madogo sana kwakuwa mitandao yao ni minene, ulimwelewa aliposema "makaburi mengine yakifukuliwa ni ngumu kuyafukia"
Huoni hata aibu kusema hivyo?trasnparency ipi unayoitaka weweUfisadi unachipua sana awamu hii kwa sababu ya kuondoa transparency
Inachipua awamu hii? Au umekosea kuandika?Ufisadi unachipua sana awamu hii kwa sababu ya kuondoa transparency
Kama ni wso imekuwaje wakamaywe?Ni hao hao ma-CCM tu!
Cdm Wataenda UN kwa miguuSikio la kufa ?? Labda tuingize sheria za kichina kwamba ukipatikana na kashfa Kama hizi unakula chuma faster
Sisi wengine hatujakuelewa. Kama Tanzania ni ya wapiga dili, ndiyo maana hawahitaji transparency na matangazo live? Akili matope tupu.Tuache bla bla tuseme ukweli, Tanzania ni nchi ya wapiga dili, ujanja ujanja mwiingi, hakuna uzalendo au mnaleta proganda eti Hakuna Transparency, eti hakuna Bunge LIVE, Pamoja na Bunge Live mbona nchi ilikuwa inapigwa sana.