Kashfa ya makontena TRA tena: Ni ya Silent Ocean

Kashfa ya makontena TRA tena: Ni ya Silent Ocean

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza uchunguzi kubaini kashfa ya kontena tisa zenye namba za kulipia kodi TZDL 16-10-25830 zilizoingizwa nchini na Kampuni ya Silent Ocean Ltd ambazo zilinaswa na kitengo cha "Fast Team" cha TRA zikiwa na bidhaa mbalimbali za vipuri vya magari, viatu vya ngozi na nguo za kifahari...

Hivi bado watu wanaendelea na hii michezo?? Hawaoni juhudi za Rais wetu na namna alivyo serious na mapato hasa bandarini?

Ipo kila sababu ya kumuunga mkono Rais wetu katika kuyakabili mambo kama haya.. Waliohusika waadhibiwe tu..maana hakuna namna!
ufisadi upo tangu na tangu cha msingi nikujitahidi kuwanyoosha ila kuuondoa kabisa haiwezekani kuna watu wamezaliwa kuvunja sheria na kupiga dili shortcut wanachange mbinu kila siku
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza uchunguzi kubaini kashfa ya kontena tisa zenye namba za kulipia kodi TZDL 16-10-25830 zilizoingizwa nchini na Kampuni ya Silent Ocean Ltd ambazo zilinaswa na kitengo cha "Fast Team" cha TRA zikiwa na bidhaa mbalimbali za vipuri vya magari, viatu vya ngozi na nguo za kifahari...

Hivi bado watu wanaendelea na hii michezo?? Hawaoni juhudi za Rais wetu na namna alivyo serious na mapato hasa bandarini?

Ipo kila sababu ya kumuunga mkono Rais wetu katika kuyakabili mambo kama haya.. Waliohusika waadhibiwe tu..maana hakuna namna!
Ni kampuni kongwe sana hii ya wale wale waliodai kwamba wamefilisika
 
Haya mambo unayaogopa wewe, wenyewe wanayaona ni madogo sana kwakuwa mitandao yao ni minene, ulimwelewa aliposema "makaburi mengine yakifukuliwa ni ngumu kuyafukia"
Watu wengine hawana huruma kabisa. Pamoja na kunufaika miaka yote bado tu wanatamaa!!

Hawa ni kama sikio la kufa!
 
Jamani wakuu hawa wanastahili kutaifishwa kwa kama wahujumu uchumi maana document zinasoma tofauti na vilivyomo.
 
Wazee wa madili hawawez kuacha kabisa japo kidoogoo imepungua!
Kikubwa tuishi maisha yetu halisi tuache kulazimisha!.
 
wanamfadhili mkuu wa mkoa fulani hivi anayejifanyaga kwamba ni mchapaaa kaaaaziii na mtukufu
 
Kwani kuna mechanism yoyote imewekwa wasifanye mchezo wao...?
 
Tuache bla bla tuseme ukweli, Tanzania ni nchi ya wapiga dili, ujanja ujanja mwiingi, hakuna uzalendo au mnaleta proganda eti Hakuna Transparency, eti hakuna Bunge LIVE, Pamoja na Bunge Live mbona nchi ilikuwa inapigwa sana.
Sisi wengine hatujakuelewa. Kama Tanzania ni ya wapiga dili, ndiyo maana hawahitaji transparency na matangazo live? Akili matope tupu.
 
Back
Top Bottom