Kashfa ya makontena TRA tena: Ni ya Silent Ocean

Kashfa ya makontena TRA tena: Ni ya Silent Ocean

C3MX6oYWMAIVVab.jpg
 
Ufisadi unachipua sana awamu hii kwa sababu ya kuondoa transparency
Out of point. Jinga lao wewe. Fisadi mnaye huko mmempa hifadhi. Subiri ichupuke kwenu. Hii hii habari kama ni kweli sikiza mziki wake toka kwa Mr President JPM. Angekuwa fisadi wenu angedai posho yake yaishe. Subiri muziki wa hilo suala kama lina ukweli. Kama Mbowe anatumbuliwa nani atabaki? Mmeisha hamna kitu tena.
 
Kwa kiasi kikubwa ufisadi umedhibitiwa awamu hii...kuliko awamu iliyopita acha mihemuko
unaona imedhibitiwa sababu hakuna report za mara kwa mara haswa kutoka kwa wabunge na vyombo vya habari, inawezekana ni mkubwa sana unafanyika ila ni wa chinichini na unadhani kuna mtu atamfunga paka kengele.
 
Out of point. Jinga lao wewe. Fisadi mnaye huko mmempa hifadhi. Subiri ichupuke kwenu. Hii hii habari kama ni kweli sikiza mziki wake toka kwa Mr President JPM. Angekuwa fisadi wenu angedai posho yake yaishe. Subiri muziki wa hilo suala kama lina ukweli
Frustrated & mentally disappointed.....

Who are you? Kuniita Mimi jinga kama ulivyo mpumbavu wewe?.......

Kiufupi lazima utambue kuwa hakuna mwana ccm au zao la Ccm anayeweza kupambana na mafisadi...........

Wapo wapo tu kama mapazia......

Sio fisadi Lowassa au mhonga nyumba za serikali pombe.............

Utasubili sana kama akili yako ilivyo fupi na ya kipumbavu.............
 
Hahaaaa akili yako mbovu. Fisadi umemhifadhi huko halafu unapiga kelele fisadi fisadi. MR PRESIDENT JPM ndio kiboko yenu. Mbowe yuko wapi leo? Kelele alizokuwa anapiga bungeni ni tofauti na matendo yake. Narudia tena huna akili na uko out of point kama wale wanyama tukiwaitaga humu tunapigwa ban. Hamna akili ya kufikiri. Hakuna kama awamu hii mtashika adabu tu. Mtoeni Ben kwanza ndio mcomment mengine. Mmegeuka Pwagu na Pwaguzi kama unawajua maana ni kinuka mkojo wa juzi tu wewe huna unalojua. Nakuambia tena hiyo habari ya TRA kama hamkuchonga kama kawaida yenu subiri mziki wake ndio utamjua JPM ni nani
 
Wewe mwanamke ligi huiwezi .......

Akili yako ilivyo ya kipumbavu unafikiria kukombolewa na pombe mwizi.......

Siko out of point wala nini nakwambia ukweli Magufuli ni fisadi na lowassa ni fisadi .........

Wote ni liabilities hawana uwezo wa kupambana na Rushwa.............

Bahati mbaya u naamini kila anayeikosoa serikali basi ni mwanachama wa chadema............

Akili kama hizi ni za kipumbavu na ni fupi kama upeo wako ulivyo Mdogo kuamini mkombozi wako ni huyo fisadi anayejipa tenda za Kujenga uwanja wa ndege ,msd,Shule na jengo la TRA kijijini kwao chato.........

Fanya kazi update pesa achana na kutetea wezi hao ........

Na upumbavu wako mwisho Lumumba bishana na bavicha na uvccm wenzio .....

Hana ubavu narudia hana ubavu

Lugumi
Uda,
IPTL

Yote yapo ndani ya uwezo wake lakini kaufata kama sio mwizi na yeye nini ?...
 
ungejua mkewe alivyowekwa ndani masaa 7,ndio utajua huyu mzee wa 5 hataniwi,mzee wa 2 ndio alienda kupiga goti juu ya hii inshu,mzee wa 4 aligoma kwenda kuongea na mzee 5 baada ya kuona itakuwa noma na kashfa,ila yamemezwa kimya kimya na hakuna alojaribu kuripoti chochote....
Hakuwekwa ndani. ! Japo wa 5 alijikasirisha baada ya kubamiziwa mlango wa peupe
 
Hakuna liwalo ni Muwacheni Apumzike. Kafanya na ataendelea.
 
Eti unapambana na ufisadi huku mahakama yao hajapelekwa hata mmoja na anawafahamu!!
Hakuna jipya ngoja niendelee na dili zangu.
 
Kudhibiti forodha bandarini ni dhima isiyotekelezeka. Hakuna binadamu asiyependa fedha kwa hiyo hapo tukubali tumeshindwa
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza uchunguzi kubaini kashfa ya kontena tisa zenye namba za kulipia kodi TZDL 16-10-25830 zilizoingizwa nchini na Kampuni ya Silent Ocean Ltd ambazo zilinaswa na kitengo cha "Fast Team" cha TRA zikiwa na bidhaa mbalimbali za vipuri vya magari, viatu vya ngozi na nguo za kifahari...

Hivi bado watu wanaendelea na hii michezo?? Hawaoni juhudi za Rais wetu na namna alivyo serious na mapato hasa bandarini?

Ipo kila sababu ya kumuunga mkono Rais wetu katika kuyakabili mambo kama haya.. Waliohusika waadhibiwe tu..maana hakuna namna!
Mbona Lugumi kimya au kwa kuwa ni wateule wake
 
Back
Top Bottom