Distinction
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 745
- 395
wanayamaliza kimyakimya( silently) kama jina lao.Ni hao hao ma-CCM tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanayamaliza kimyakimya( silently) kama jina lao.Ni hao hao ma-CCM tu!
Ni kweli kabisa. Vyombo vya habari vikiwaogopa watawala hakuna ufisadi utakaoripotiwaUfisadi unachipua sana awamu hii kwa sababu ya kuondoa transparency
Sio watanzania kama mimi na wewe?Ni hao hao ma-CCM tu!
Out of point. Jinga lao wewe. Fisadi mnaye huko mmempa hifadhi. Subiri ichupuke kwenu. Hii hii habari kama ni kweli sikiza mziki wake toka kwa Mr President JPM. Angekuwa fisadi wenu angedai posho yake yaishe. Subiri muziki wa hilo suala kama lina ukweli. Kama Mbowe anatumbuliwa nani atabaki? Mmeisha hamna kitu tena.Ufisadi unachipua sana awamu hii kwa sababu ya kuondoa transparency
unaona imedhibitiwa sababu hakuna report za mara kwa mara haswa kutoka kwa wabunge na vyombo vya habari, inawezekana ni mkubwa sana unafanyika ila ni wa chinichini na unadhani kuna mtu atamfunga paka kengele.Kwa kiasi kikubwa ufisadi umedhibitiwa awamu hii...kuliko awamu iliyopita acha mihemuko
Frustrated & mentally disappointed.....Out of point. Jinga lao wewe. Fisadi mnaye huko mmempa hifadhi. Subiri ichupuke kwenu. Hii hii habari kama ni kweli sikiza mziki wake toka kwa Mr President JPM. Angekuwa fisadi wenu angedai posho yake yaishe. Subiri muziki wa hilo suala kama lina ukweli
Hahaaaa akili yako mbovu. Fisadi umemhifadhi huko halafu unapiga kelele fisadi fisadi. MR PRESIDENT JPM ndio kiboko yenu. Mbowe yuko wapi leo? Kelele alizokuwa anapiga bungeni ni tofauti na matendo yake. Narudia tena huna akili na uko out of point kama wale wanyama tukiwaitaga humu tunapigwa ban. Hamna akili ya kufikiri. Hakuna kama awamu hii mtashika adabu tu. Mtoeni Ben kwanza ndio mcomment mengine. Mmegeuka Pwagu na Pwaguzi kama unawajua maana ni kinuka mkojo wa juzi tu wewe huna unalojua. Nakuambia tena hiyo habari ya TRA kama hamkuchonga kama kawaida yenu subiri mziki wake ndio utamjua JPM ni naniFrustrated & mentally disappointed.....
Who are you? Kuniita Mimi jinga kama ulivyo mpumbavu wewe?.......
Kiufupi lazima utambue kuwa hakuna mwana ccm au zao la Ccm anayeweza kupambana na mafisadi...........
Wapo wapo tu kama mapazia......
Sio fisadi Lowassa au mhonga nyumba za serikali pombe.............
Utasubili sana kama akili yako ilivyo fupi na ya kipumbavu.............
Wewe mwanamke ligi huiwezi .......Hahaaaa akili yako mbovu. Fisadi umemhifadhi huko halafu unapiga kelele fisadi fisadi. MR PRESIDENT JPM ndio kiboko yenu. Mbowe yuko wapi leo? Kelele alizokuwa anapiga bungeni ni tofauti na matendo yake. Narudia tena huna akili na uko out of point kama wale wanyama tukiwaitaga humu tunapigwa ban. Hamna akili ya kufikiri. Hakuna kama awamu hii mtashika adabu tu. Mtoeni Ben kwanza ndio mcomment mengine. Mmegeuka Pwagu na Pwaguzi kama unawajua maana ni kinuka mkojo wa juzi tu wewe huna unalojua. Nakuambia tena hiyo habari ya TRA kama hamkuchonga kama kawaida yenu subiri mziki wake ndio utamjua JPM ni nani
Awashughulike wafadhili wa aliyempigia simu Live?Tuzidi kumpa nguvu Rais wetu
atuondolee upuuzi huu
Hakuwekwa ndani. ! Japo wa 5 alijikasirisha baada ya kubamiziwa mlango wa peupeungejua mkewe alivyowekwa ndani masaa 7,ndio utajua huyu mzee wa 5 hataniwi,mzee wa 2 ndio alienda kupiga goti juu ya hii inshu,mzee wa 4 aligoma kwenda kuongea na mzee 5 baada ya kuona itakuwa noma na kashfa,ila yamemezwa kimya kimya na hakuna alojaribu kuripoti chochote....
Mbowe anadaiwa kodi na TRA pia, sijui ana kadi ya CCM?Ni hao hao ma-CCM tu!
Mbona Lugumi kimya au kwa kuwa ni wateule wakeMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza uchunguzi kubaini kashfa ya kontena tisa zenye namba za kulipia kodi TZDL 16-10-25830 zilizoingizwa nchini na Kampuni ya Silent Ocean Ltd ambazo zilinaswa na kitengo cha "Fast Team" cha TRA zikiwa na bidhaa mbalimbali za vipuri vya magari, viatu vya ngozi na nguo za kifahari...
Hivi bado watu wanaendelea na hii michezo?? Hawaoni juhudi za Rais wetu na namna alivyo serious na mapato hasa bandarini?
Ipo kila sababu ya kumuunga mkono Rais wetu katika kuyakabili mambo kama haya.. Waliohusika waadhibiwe tu..maana hakuna namna!