Matokeo yameshajulikana. hakuna Mtanzania ataempigia mtu kura kwa fedha zake, watu fedha watakula na Urais hawampi.
Nani ataekubali kuongozwa na mgonjwa asiyeweza hata kuweka maneno sawa? Labda ni misukule tu.
Matokeo yameshajulikana. hakuna Mtanzania ataempigia mtu kura kwa fedha zake, watu fedha watakula na Urais hawampi.
Nani ataekubali kuongozwa na mgonjwa asiyeweza hata kuweka maneno sawa? Labda ni misukule tu.
Ukweli haufichiki kamwe, sasa tumemjua mchawi nani. Na Lowasa kaweka wazi tu, toka andoke mbona mikataba mingi mibovu imesainiwa na hakuna mkubwa kama yeye aliejiuzulu au ni kivuli chake ndo kilisaini? Naamini hapa ni mwanzo tu ngoja angie ikulu tuyajue mengi.
kusoma hapa nilipasuka kwa kicheko.. ha ha ha.....akatoka nje kuwasiliana kwa saa moja,kisha akarejea na kuniambia "nimewasiliana na mamlaka ya juu,na ameagiza mkataba huu usivunjwe"
POLENI WATANZANIA
Ni kweli tuna haki watanzania kulaumu alikuwa wapi kuyasema kama alikuwa akituhurumia watanzania lakini pia tunahaki ya kuhoji kwanini serikali haikuchua hatua ya kumshitaki alipotuhumiwa kama fisadi? Hapo pia akili ya kuambiwa changanya na zako.
Let's assume kwamba alichosema Lowassa ni kweli.
Maana yake ni kwamba Lowassa alishirikiana na mamlaka kulitia hasara taifa.
Hiyo mamlaka haigombei urais. Anayegombea ni Lowassa.
Mtu aliyeshirikiana na mamlaka kulitia hasara taifa hafai kuwa Rais.
Kwenye Richmond tumemkamata, kuna mangapi kafanya hatujayashtikia.
Kiujumla utetezi alioutoa Lowassa kajimaliza mwenyewe kwa kukiri kuhusika. Mimi nilifikiri atasema hajahusika...
Chama kilichoshirikiana kulitia hasara taifa hakifai kutupatia rais. Lowassa aliwajibika, alijiuzulu hamna adhabu ingene yoyote unayoweza kumpa. Kwa mtazamo wako yeye ana Richmond, CCM na Magufuli wake wana eskrow, meremeta, epa, tangold, iptl, twin tower etc etc etc mlolongo mrefu sana na mengine chungu mbovu ambayo hatujayashtukia. Angalau Lowassa amekiri nyie CCM mmekiri nini? Au hamhusiki vyote hivyo alifanya Lowassa?
Ni jambo gumu sana pale 'adui' yako anakaa kimya, maana hujui atatoka kivipi?
Nyie Team lowassa tumeanza kuwaita
#Teamdodoki
Sio kwa jambo kama hili, wala si kwa muda kama huu, na wala si kwa kiwango kama hiki! Ikulu wanajua ajaye ni Lowassa, Kikwete ndo anaondoka. Hivyo wanaweka akiba ya maneno! Umenielewa??!!
mnajua kujipa moyo