Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka huu mjadala wa Richmond kurudi tena,baada ya muheshimiwa Rowassa kuonyesha dalili za kutaka nafasi ya uraisi.Nashangaa kuona makundi/watu wanaomshutu Lowassa hayatokeni serikalini au makada wakuu wa CCM..
Napata hofu kumwona hata Nape yuko kimya..kinana yuko kimya.Wasira kimya serikali yote ikokimya.. Hata kamati ya mwakyembe iko kimya... sasa najiuliza huyu fisadi anayejitapa kila kona kwa kusema mwenyeushaidi ampeleke mahakani sasa wanaogopa nini kumpeleka mahakani ili sisi wananchi na taifa linusurike na huyu fisadi na ikiwezekana afilisiwe mali zake kufidia hasara kubwa.
Imefikia point fisadi huyu alisema tatizo haikuwa Richmond tatizo lilikuwa ni uwaziri mkuu... bado serikali imekaa amkumchukulia hatua yoyote ile...Duuu!!! sitaki kuamini kabisa.
Serikali toweni tamko naikiwezekana Lowassa apelekwe mahakani na awekewe pingamizi la kutogombea nafasi ya uraisi.. uwezo.uwo mnao sababu mnaujuwa ukweli wote.. ila mnaamuwa kukaa kimya.nini mnakificha hamtaki wananchi tukiwe?????.
Naamini taasisi na wanaharakati kama wangekuwa wanaujuwa ukweli wangeshamfungulia mashtaka,ila maskini hawana ushaudi wowote inapelekea wamegeuza wananchi ndiyo mahakama.. sababu wamebakia kumwongelea lowassa kwenye TV..magazeti..na kwenye makonganano ya siasa.. ushauri wangu kwao nendeni serikalini kudai ushaidi wote wa ufisadi wa richmond na lifikisheni mahakani... lakini kuropoka kwenye TV mimi wa ambaye sijafika hata darasa la saba hujanisaidia kitu.
Kwa picha inayoendelea toka nyuma mpaka sasa... inapelekea tutaamini Lowassa alitolewa kafara katika ili swala la Richmond.
SERIKALI WEKENI WAZI UFISADI WA RICHMOND .... HICHO KIGUGUMIZI CHA NINI??? NAWASHAURI HAO VIBARAKA MNAOWATUMIA KUENEZA HUO UVUMI KWAMBA LOWASSA FISADI HAITA WASAIDIA KAMWE... NDUGU ZETU WANGAPI WAKO JELA!!! LOWASSA NI NANI KATIKA NCHI HII..
KAMA HUU UFISADI NA NYIYE MLISHIRIKI BASI HII DHAMBI ITAWATAFUNA...
MAJIBU TUNAYATAKA KABLA YA FOMU ZA URAISI HAZIJARUDISHWA NA LOWASSA AFUNGULIWE MASHTAKA...
VINGINEVYO TUTAFANYA MAHAMUZI MAGUMU YA KUMPELEKA LOWASSA MADARAKANI OCTOBER.
TUMECHOKA NA POROJO MUDA WA VITENDO UMEFIKA.
Mkuu nakupa jibu sasa, RICHMOND =KIKWETE, kosa la Lowassa ni kutojiudhuru alipo kuwa anashinikizwa kutia sahihi.Toka huu mjadala wa Richmond kurudi tena,baada ya muheshimiwa Rowassa kuonyesha dalili za kutaka nafasi ya uraisi.Nashangaa kuona makundi/watu wanaomshutu Lowassa hayatokeni serikalini au makada wakuu wa CCM..
Napata hofu kumwona hata Nape yuko kimya..kinana yuko kimya.Wasira kimya serikali yote ikokimya.. Hata kamati ya mwakyembe iko kimya... sasa najiuliza huyu fisadi anayejitapa kila kona kwa kusema mwenyeushaidi ampeleke mahakani sasa wanaogopa nini kumpeleka mahakani ili sisi wananchi na taifa linusurike na huyu fisadi na ikiwezekana afilisiwe mali zake kufidia hasara kubwa.
Imefikia point fisadi huyu alisema tatizo haikuwa Richmond tatizo lilikuwa ni uwaziri mkuu... bado serikali imekaa amkumchukulia hatua yoyote ile...Duuu!!! sitaki kuamini kabisa.
Serikali toweni tamko naikiwezekana Lowassa apelekwe mahakani na awekewe pingamizi la kutogombea nafasi ya uraisi.. uwezo.uwo mnao sababu mnaujuwa ukweli wote.. ila mnaamuwa kukaa kimya.nini mnakificha hamtaki wananchi tukiwe?????.
Naamini taasisi na wanaharakati kama wangekuwa wanaujuwa ukweli wangeshamfungulia mashtaka,ila maskini hawana ushaudi wowote inapelekea wamegeuza wananchi ndiyo mahakama.. sababu wamebakia kumwongelea lowassa kwenye TV..magazeti..na kwenye makonganano ya siasa.. ushauri wangu kwao nendeni serikalini kudai ushaidi wote wa ufisadi wa richmond na lifikisheni mahakani... lakini kuropoka kwenye TV mimi wa ambaye sijafika hata darasa la saba hujanisaidia kitu.
Kwa picha inayoendelea toka nyuma mpaka sasa... inapelekea tutaamini Lowassa alitolewa kafara katika ili swala la Richmond.
SERIKALI WEKENI WAZI UFISADI WA RICHMOND .... HICHO KIGUGUMIZI CHA NINI??? NAWASHAURI HAO VIBARAKA MNAOWATUMIA KUENEZA HUO UVUMI KWAMBA LOWASSA FISADI HAITA WASAIDIA KAMWE... NDUGU ZETU WANGAPI WAKO JELA!!! LOWASSA NI NANI KATIKA NCHI HII..
KAMA HUU UFISADI NA NYIYE MLISHIRIKI BASI HII DHAMBI ITAWATAFUNA...
MAJIBU TUNAYATAKA KABLA YA FOMU ZA URAISI HAZIJARUDISHWA NA LOWASSA AFUNGULIWE MASHTAKA...
VINGINEVYO TUTAFANYA MAHAMUZI MAGUMU YA KUMPELEKA LOWASSA MADARAKANI OCTOBER.
TUMECHOKA NA POROJO MUDA WA VITENDO UMEFIKA.
Swala LA lowasa in LA msingi has a tunapoelekea katika uchaguzi in ukizingatia ni mgombea urais kwa nini tusiyajadili na watanzania wakaelewa?toa utumbo hapa.leta mambo ya msingi na yenye tija.kuna faida gani kuyajaili sasa.ajira na mshiko ndio dili.mangi na pesa:samaki na maji.
Swala LA lowasa in LA msingi has a tunapoelekea katika uchaguzi in ukizingatia ni mgombea urais kwa nini tusiyajadili na watanzania wakaelewa?
Hebu mwenye report kamili ya kamati ya mwakyembe aiweke hapa. Nimejaribu kuitafuta hapa sijaipata nimepata mapendekezo yao tu..!