Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Toka huu mjadala wa Richmond kurudi tena,baada ya muheshimiwa Rowassa kuonyesha dalili za kutaka nafasi ya uraisi.Nashangaa kuona makundi/watu wanaomshutu Lowassa hayatokeni serikalini au makada wakuu wa CCM..

Napata hofu kumwona hata Nape yuko kimya..kinana yuko kimya.Wasira kimya serikali yote ikokimya.. Hata kamati ya mwakyembe iko kimya... sasa najiuliza huyu fisadi anayejitapa kila kona kwa kusema mwenyeushaidi ampeleke mahakani sasa wanaogopa nini kumpeleka mahakani ili sisi wananchi na taifa linusurike na huyu fisadi na ikiwezekana afilisiwe mali zake kufidia hasara kubwa.

Imefikia point fisadi huyu alisema tatizo haikuwa Richmond tatizo lilikuwa ni uwaziri mkuu... bado serikali imekaa amkumchukulia hatua yoyote ile...Duuu!!! sitaki kuamini kabisa.

Serikali toweni tamko naikiwezekana Lowassa apelekwe mahakani na awekewe pingamizi la kutogombea nafasi ya uraisi.. uwezo.uwo mnao sababu mnaujuwa ukweli wote.. ila mnaamuwa kukaa kimya.nini mnakificha hamtaki wananchi tukiwe?????.

Naamini taasisi na wanaharakati kama wangekuwa wanaujuwa ukweli wangeshamfungulia mashtaka,ila maskini hawana ushaudi wowote inapelekea wamegeuza wananchi ndiyo mahakama.. sababu wamebakia kumwongelea lowassa kwenye TV..magazeti..na kwenye makonganano ya siasa.. ushauri wangu kwao nendeni serikalini kudai ushaidi wote wa ufisadi wa richmond na lifikisheni mahakani... lakini kuropoka kwenye TV mimi wa ambaye sijafika hata darasa la saba hujanisaidia kitu.

Kwa picha inayoendelea toka nyuma mpaka sasa... inapelekea tutaamini Lowassa alitolewa kafara katika ili swala la Richmond.

SERIKALI WEKENI WAZI UFISADI WA RICHMOND .... HICHO KIGUGUMIZI CHA NINI??? NAWASHAURI HAO VIBARAKA MNAOWATUMIA KUENEZA HUO UVUMI KWAMBA LOWASSA FISADI HAITA WASAIDIA KAMWE... NDUGU ZETU WANGAPI WAKO JELA!!! LOWASSA NI NANI KATIKA NCHI HII..

KAMA HUU UFISADI NA NYIYE MLISHIRIKI BASI HII DHAMBI ITAWATAFUNA...

MAJIBU TUNAYATAKA KABLA YA FOMU ZA URAISI HAZIJARUDISHWA NA LOWASSA AFUNGULIWE MASHTAKA...

VINGINEVYO TUTAFANYA MAHAMUZI MAGUMU YA KUMPELEKA LOWASSA MADARAKANI OCTOBER.

TUMECHOKA NA POROJO MUDA WA VITENDO UMEFIKA.

Subiri arejeshe fomu ndiyo utafahamu.
 
Mkuu nakupa jibu sasa, RICHMOND =KIKWETE, kosa la Lowassa ni kutojiudhuru alipo kuwa anashinikizwa kutia sahihi.
 
Mkoa Jimbo CHAMA
Mara
Rorya CDM
Tarime Mjini CDM
Tarime Vijijini CDM
Musoma Vijijini CDM
Butiama CDM
Bunda Mjini CDM
Mwibara CDM
Musoma Mjini CDM
Bunda Vijijini CDM
Simiyu
Bariadi CDM
Maswa magharibi CDM
Maswa mashariki CDM
Kisesa CDM
Meatu CDM
Itilima CDM
Busega CUF
Shinyanga
Msalala CDM
Kahama Mjini CDM
Kahama Vijijini CDM
Shinyanga Mjini CDM
Kishapu CDM
Ushetu CDM
Mwanza
Ukerewe CDM
Magu CDM
Nyamagana CDM
Kwimba CUF
Sumve CUF
Buchosa CDM
Sengerema CDM
Ilemela CDM
Misungwi CDM
Geita
Bukombe CDM
Busanda CDM
Nyang'wale CDM
Chato CDM
Mbogwe CDM
Kagera
1 Karagwe CDM
2 Kyerwa CDM
3 Bukoba Mjini CDM
4 Bukoba Vijijini CUF
5 Nkenge NCCR
6 Muleba Kaskazini CDM
7 Muleba Kusini CDM
8 Biharamulo CDM
9 Ngara NCCR
Mbeya
Lupa CDM
Songwe CDM
Mbeya Mjini CDM
Kyela CDM
Rungwe CDM
Busekelo CDM
Ileje NCCR
Mbozi Mashariki CDM
Momba CDM
Mbeya Vijijini CDM
Tunduma CDM
Viwawa CDM
Iringa
1 Ismani CDM
2 Kalenga CDM
3 Mufindi kaskazini CDM
4 Mufindi Kusini NCCR
5 Iringa Mjini CDM
6 Kilolo CDM
7 Mafinga Mjini CDM
Njombe
1 Njombe Kaskazini CDM
2 Lupembe CDM
3 Wanging'ombe CDM
4 Makete CDM
5 Ludewa CDM
6 Makambako CDM
Rukwa
1 Nkasi Kusini CDM
2 Kwela CDM
3 Nkasi Kaskazini CDM
4 Sumbawanga Mjini CDM
5 Kalambo CDM
Tanga
1 Handeni Mjini CUF
2 Handeni Vijijini CUF
3 Kilindi CDM
4 Pangani CUF
5 Tanga Mjini CUF
6 Muheza CDM
7 Bumbuli CUF
8 Mlalo CUF
9 Lushoto CUF
10 Korogwe CDM
11 Korogwe Vijijini CDM
12 Mkinga CUF
Kilimanjaro
Rombo CDM
Same Magharibi CDM
Same mashariki CDM
Vunjo NCCR
Moshi Vijijini CDM
Moshi Mjini CDM
Hai CDM
Siha CDM
Arusha
1 Arumeru Mashariki CDM
2 Arumeru Magharibi CDM
3 Arusha Mjini CDM
4 Longido CDM
5 Monduli CDM
6 Karatu CDM
7 Ngorongoro CDM
Manyara
1 Simanjiro CDM
2 Mbulu Vijijini CDM
3 Hanang CDM
4 Babati Mjini CDM
5 Babati Vijijini CDM
6 Kiteto CDM
7 Mbulu Mjini CDM
Dar es Salaam
Ubungo CDM
Kawe CDM
Kinondoni CUF
Ukonga CDM
Ilala CDM
Temeke CUF
Kibamba CDM
Mbagala CUF
Pwani
1 Bagamoyo CUF
2 Chalinze CDM
3 Kibaha Mjini CDM
4 Kibaha Vijijini CDM
5 Kisarawe CUF
6 Mkuranga CUF
7 Rufiji utete CUF
8 Mafia CUF
9 Rufiji Kibiti CUF
Morogoro
Kilosa CUF
Mikumi CDM
Morogoro Kusini CDM
Morogoro Kusini Mashariki CUF
Kilombero CDM
Mlimba CDM
Mvomero CDM
Ulanga Magharibi CDM
Ulanga Mashariki CDM
Morogoro Mjini CDM
Dodoma
Kondoa Mjini CUF
Kondoa Vijijini CUF
Chemba CUF
Kibakwe NCCR
Kongwa CDM
Dodoma Mjini CDM
Bahi CDM
Chilonwa CDM
Mtera NCCR
Singida
1 Iramba magharibi CDM
2 Iramba mashariki CDM
3 Singida kaskazini CDM
4 Singida Mashariki CDM
5 Singida Magharibi CDM
6 Manyoni magharibi CDM
7 Manyoni Mashariki CDM
Tabora
1 Bukene CUF
2 Nzega Mjini CDM
3 Nzega Vijijini CUF
4 Igunga CDM
5 Igalula CUF
6 Tabora Kaskazini CUF
7 Urambo CDM
8 Kaliua CUF
9 Ulyankulu CDM
10 Sikonge CDM
11 Tabora Mjini CUF
12 Manonga CDM
Katavi
1 Mpanda Mjini CDM
2 Mpanda Vijijini CDM
4 Katavi CDM
5 Nsimbo CDM
6 Kavuu CDM
Kigoma
1 Buyungu NCCR
2 Mhambwe NCCR
3 Kasulu Mjini NCCR
4 Kasulu Vijijini NCCR
5 Kigoma Kaskazini CDM
6 Kigoma Kusini NCCR
7 Kigoma Mjini CDM
8 Manyovu NCCR
Ruvuma
1 Tunduru Kaskazini CUF
2 Peramiho CDM
3 Mbinga Magharibi/Nyasa CDM
4 Mbinga Mashariki/Mbinga CDM
5 Namtumbo CUF
6 Songea Mjini CDM
7 Tunduru Kusini CUF
8 Madaba CDM
9 Mbinga Mjini NCCR
Mtwara
Newala Mjini CUF
Newala Vijijini CUF
Tandahimba CUF
Mtwara Vijijini CUF
Nanyamba CUF
Nanyumbu CUF
Lulindi NLD
Masasi NLD
Ndanda NLD
Lindi
1 Mtama CUF
2 Kilwa kaskazini CUF
3 Kilwa kusini CUF
4 Lindi mjini CUF
5 Ruangwa CUF
6 Nachingwea CUF
7 Liwale CUF
8 Mchinga CUF
Mhe. John Mnyika
Kny. Katibu Mkuu – CHADEMA
Mhe. Shaweji Mketo
Kny. Katibu Mkuu – CUF
Mhe. Nderakindo Kessy
Kny. Katibu Mkuu – NCCR
Mhe. Masudi I.
 
wewe ni richmond tu ndio hoja yako? tanzania kila mtu ni mwizi ila ccm ndo mwisho wake hata twiga, simba, tembo, wanalijua hilo bado wwe tu.
 
"Nimesononeka sana,nimefadhaika sana,mnahutubia nchi nzima na kusema waziri mkuu amefanya hivi ameFanya vile bila kumsikiliza,nadhani they have a wish which has to be done,tatizo ni UWAZIRI MKUU,imeonakana in waziri mkuu amefanya hivi amefanya vile kwa hiyo tumuondelee heshima take.Kwa niaba ya serikali yangu na kwa heshima ya chama changu,nimemwandikia rais barua ya kuachia ngazi"
Haya in maneno ya lowasa wakati anajiuzulu,kama nimekosea napokea marekebisho.
Sasa tuanzie hapa in kwa nini alisema tatizo ni UWAZIRI MKUU?kulikuwa kuna nini kwenye huo uwaziri mkuu?
(2)Alisema anajiuzulu kwa heshima ya chama chake na serikali take,kwa nini ajiuzulu kulinda heshima ya chama chake na serikali take na siyo kuwajibika?
(3)Hali ingekuwaje kama lowasa asingejiuzulu?
Tujadili kwa facts bila matusi na kama huna cha kuchangia pita tu
 
Hata mwakyembe alisema kama tunge
amua kuweka kila kitu wazi serikali
ingeanguka ikimaanisha muhusika
siyo lowassa ni kikwete
 
toa utumbo hapa.leta mambo ya msingi na yenye tija.kuna faida gani kuyajaili sasa.ajira na mshiko ndio dili.mangi na pesa:samaki na maji.
Swala LA lowasa in LA msingi has a tunapoelekea katika uchaguzi in ukizingatia ni mgombea urais kwa nini tusiyajadili na watanzania wakaelewa?
 
Swala LA lowasa in LA msingi has a tunapoelekea katika uchaguzi in ukizingatia ni mgombea urais kwa nini tusiyajadili na watanzania wakaelewa?

Nipe jibu kwanini jk, mwakyembe, hawamshtaki lowasa mahakamani, na lowasa kashahama chama? Na lowasa amesema mwenye ushahidi apeleke mahakamani. Why?
 
Nikwambie mtumwa wa siasa?
Wakati flani wa ujana wangu nilipomuona mama yenu (mke wangu) akiwa binti sikusikiliza habari za watu wa pembeni ambao waliniambia; oooh wewe achana naye huyo ni malaya anajiuza, wengine waliniambia, oooh huyo aliachika kwa mabwana zaidi ya wanne na hata mmoja alidiriki kusema mie namjua huyo binti ameathirika huyo, hivyo uwe makini!.

Kwa nini lakini ilikuwa hivyo? Kumbe kwa sababu wengi walikataliwa naye na ikawa sababu ya kumpaka tope, nilipojaribu kutupa ndoano doooh Mashaalah kama ubwabwa na maharage.

Mpaka leo nipo naye na anasifa tofauti na zile za kale nilizopewa. TAFAKARI.
 
Hebu mwenye report kamili ya kamati ya mwakyembe aiweke hapa. Nimejaribu kuitafuta hapa sijaipata nimepata mapendekezo yao tu..!
 
Hebu mwenye report kamili ya kamati ya mwakyembe aiweke hapa. Nimejaribu kuitafuta hapa sijaipata nimepata mapendekezo yao tu..!

Hata ikiwekwa hapa itakusaidia nini? kwani kashfa zote za nchi hii zinaihusu CCM na sasa hivi Lowasa hayupo CCM yupo CHADEMA, Hivyo kashfa za EPA, RADA FEKI,RICHMOND, KAGODA, MEREMETA, ESCROW, upotevu wa Billion 252 Wizara ya Magufuli yote hayo yamebaki CCM kwani hadi tunavyoliongelea hili suala sasa hivi hakuna aliyewahi kukamatwa na kushitakiwa kwa matukio hayo. Kwa hiyo Kashfa zote hizo muhusika mkuu ni kikwete kwani ndiye aliyekuwa na dhamana ya kuwachukulia hatua wote waliohusika na wizi huo.
 
Eti magamba wanasema el fisadi. How come bhana? Kuliko mkulu,? Kuliko pombe?
 
Back
Top Bottom