Mtumishiwetu
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 196
- 346
Mwizi namba moja ni mungu wa Chato 1.5 Trillion mpaka leo kwenye repoti ya CAG Profesa Assad hatujaambiwa ziko wapi.Hiyo hoja ya Zito isubiri kwanza!
Umesema 1.5t zimepigwa kwenye mradi? Kipindi kipi hicho? Cha dhalimu au mfungua nchi?
Naona watu wanaringishia matumizi yao mitandaoni kwa kasi sana siku hizi, ndo hizo nini?
anavyojadili mambo mengine huwa anakuwa Mbunge hili ni jambo la kitaifa anatakiwa atupe maoni yake kuhusu jambo hiliZitto ni mbunge?
CCM MBELE KWA MBELEBUNGE jana limeibua Kashfa ya upigaji wa zaidi ya trilioni 1.5 kwenye mradi wa bwawa la nyerere lakini tangu jana tuhuma hizo zimeibuliwa bungeni na mbunge wa kisesa, luhaga mpina nilitegemea zito kabwe ungetoa tamko juu ya suala hilo.
Ukimya wa Zitto Kabwe kwenye mambo mazito kama haya yanapotokea nchini kwetu inaleta tafasiri gani kwenye mustakabali wa demokrasia ya nchi yetu au wizi na ufisadi sio ajenda ya wapinzani?
Naomba tujadili hoja hii ya Zitto kujitoa kwenye mambo mazito kama haya.
Kama weweZitto ni mwanasiasa Malaya
Mchumi Nguli ZZK anajihoji afanyeje wakati BUNGE jana limeibua Kashfa ya upigaji wa zaidi ya trilioni 1.5 kwenye mradi wa bwawa la nyerere lakini tangu jana tuhuma hizo zimeibuliwa bungeni na mbunge wa kisesa, luhaga mpina nilitegemea zito kabwe ungetoa tamko juu ya suala hilo.
Ukimya wa Zitto Kabwe kwenye mambo mazito kama haya yanapotokea nchini kwetu inaleta tafasiri gani kwenye mustakabali wa demokrasia ya nchi yetu au wizi na ufisadi sio ajenda ya wapinzani?
Naomba tujadili hoja hii ya Zitto kujitoa kwenye mambo mazito kama haya.
Prof naye ni 0 tu! Aliulizwa ana Kwa ana na huyo usiyempenda, mbona alinywea.?Mwizi namba moja ni mungu wa Chato 1.5 Trillion mpaka leo kwenye repoti ya CAG Profesa Assad hatujaambiwa ziko wapi.
Zito ahoji nini wakati ACT wamejengewa ofisi na hao majizi. Wakati wa Magufuli alihoji maana Magufuli alipiga 1.5t akagawana na sukuma gang wenzake, akamtosa yeye.anavyojadili mambo mengine huwa anakuwa Mbunge hili ni jambo la kitaifa anatakiwa atupe maoni yake kuhusu jambo hili
Inashabgaza! Kwa nini asimuulize Lusinde, Msukuma au Mdee na wale C18 wenzake?Zitto ni mbunge?
Analamba asali huyo,tujipambanie wenyewe,hawezi mzodoa wa dini yake na kipara mshikajiBUNGE jana limeibua Kashfa ya upigaji wa zaidi ya trilioni 1.5 kwenye mradi wa bwawa la nyerere lakini tangu jana tuhuma hizo zimeibuliwa bungeni na mbunge wa kisesa, luhaga mpina nilitegemea zito kabwe ungetoa tamko juu ya suala hilo.
Ukimya wa Zitto Kabwe kwenye mambo mazito kama haya yanapotokea nchini kwetu inaleta tafasiri gani kwenye mustakabali wa demokrasia ya nchi yetu au wizi na ufisadi sio ajenda ya wapinzani?
Naomba tujadili hoja hii ya Zitto kujitoa kwenye mambo mazito kama haya.
Mkuu, hilo ni la mwaka upi kulingana na mtoa mada?Mwizi namba moja ni mungu wa Chato 1.5 Trillion mpaka leo kwenye repoti ya CAG Profesa Assad hatujaambiwa ziko wapi.
Thibitisha madai yako au uzae hiyo mimba ya magufuli uliyonayoMwizi namba moja ni mungu wa Chato 1.5 Trillion mpaka leo kwenye repoti ya CAG Profesa Assad hatujaambiwa ziko wapi.