Kashfa ya Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere mbona Zitto Kabwe uko kimya kulikoni?

Mtumishiwetu

Senior Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
196
Reaction score
346
BUNGE jana limeibua Kashfa ya upigaji wa zaidi ya trilioni 1.5 kwenye mradi wa bwawa la nyerere lakini tangu jana tuhuma hizo zimeibuliwa bungeni na mbunge wa kisesa, luhaga mpina nilitegemea zito kabwe ungetoa tamko juu ya suala hilo.

Ukimya wa Zitto Kabwe kwenye mambo mazito kama haya yanapotokea nchini kwetu inaleta tafasiri gani kwenye mustakabali wa demokrasia ya nchi yetu au wizi na ufisadi sio ajenda ya wapinzani?

Naomba tujadili hoja hii ya Zitto kujitoa kwenye mambo mazito kama haya.
 
Hiyo hoja ya Zito isubiri kwanza!

Umesema 1.5t zimepigwa kwenye mradi? Kipindi kipi hicho? Cha dhalimu au mfungua nchi?

Naona watu wanaringishia matumizi yao mitandaoni kwa kasi sana siku hizi, ndo hizo nini?
 
Mwizi namba moja ni mungu wa Chato 1.5 Trillion mpaka leo kwenye repoti ya CAG Profesa Assad hatujaambiwa ziko wapi.
 
mdini ambaye akili yake haisemi chochote kwa mwenye dini mwenza, haaminiki, hayuko rational, mdini hatari
 
BUNGE jana limeibua Kashfa ya upigaji wa zaidi ya trilioni 1.5 kwenye mradi wa bwawa la nyerere lakini tangu jana tuhuma hizo zimeibuliwa bungeni na mbunge wa kisesa, luhaga mpina nilitegemea zito kabwe ungetoa tamko juu ya suala hilo.

Ukimya wa Zitto Kabwe kwenye mambo mazito kama haya yanapotokea nchini kwetu inaleta tafasiri gani kwenye mustakabali wa demokrasia ya nchi yetu au wizi na ufisadi sio ajenda ya wapinzani?

Naomba tujadili hoja hii ya Zitto kujitoa kwenye mambo mazito kama haya.
CCM MBELE KWA MBELE
 
ti BUNGE jana limeibua Kashfa ya upigaji wa zaidi ya trilioni 1.5 kwenye mradi wa bwawa la nyerere lakini tangu jana tuhuma hizo zimeibuliwa bungeni na mbunge wa kisesa, luhaga mpina nilitegemea zito kabwe ungetoa tamko juu ya suala hilo.

Ukimya wa Zitto Kabwe kwenye mambo mazito kama haya yanapotokea nchini kwetu inaleta tafasiri gani kwenye mustakabali wa demokrasia ya nchi yetu au wizi na ufisadi sio ajenda ya wapinzani?

Naomba tujadili hoja hii ya Zitto kujitoa kwenye mambo mazito kama haya.
Mchumi Nguli ZZK anajihoji afanyeje waka
 
Mwizi namba moja ni mungu wa Chato 1.5 Trillion mpaka leo kwenye repoti ya CAG Profesa Assad hatujaambiwa ziko wapi.
Prof naye ni 0 tu! Aliulizwa ana Kwa ana na huyo usiyempenda, mbona alinywea.?
 
anavyojadili mambo mengine huwa anakuwa Mbunge hili ni jambo la kitaifa anatakiwa atupe maoni yake kuhusu jambo hili
Zito ahoji nini wakati ACT wamejengewa ofisi na hao majizi. Wakati wa Magufuli alihoji maana Magufuli alipiga 1.5t akagawana na sukuma gang wenzake, akamtosa yeye.
 
Nyeti kama hizi wanafunuliwa waliopo bungeni ili wakazianike, yeye Zito hayupo huko ndio mana hakupewa yeye
 
BUNGE jana limeibua Kashfa ya upigaji wa zaidi ya trilioni 1.5 kwenye mradi wa bwawa la nyerere lakini tangu jana tuhuma hizo zimeibuliwa bungeni na mbunge wa kisesa, luhaga mpina nilitegemea zito kabwe ungetoa tamko juu ya suala hilo.

Ukimya wa Zitto Kabwe kwenye mambo mazito kama haya yanapotokea nchini kwetu inaleta tafasiri gani kwenye mustakabali wa demokrasia ya nchi yetu au wizi na ufisadi sio ajenda ya wapinzani?

Naomba tujadili hoja hii ya Zitto kujitoa kwenye mambo mazito kama haya.
Analamba asali huyo,tujipambanie wenyewe,hawezi mzodoa wa dini yake na kipara mshikaji
 
Mwizi namba moja ni mungu wa Chato 1.5 Trillion mpaka leo kwenye repoti ya CAG Profesa Assad hatujaambiwa ziko wapi.
Mkuu, hilo ni la mwaka upi kulingana na mtoa mada?
 
Back
Top Bottom