passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Ndani ya serikali hiiMkuu, hilo ni la mwaka upi kulingana na mtoa mada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndani ya serikali hiiMkuu, hilo ni la mwaka upi kulingana na mtoa mada?
Huyu mwamba ni bonge la mnafiki. Ukitaka kujua basi gazeti liandike uchafu wa awamu ya 5. Atasema kwa msisitizo sana ila likitamka uozo wa awamu hii ya asali, mdomo na mikono vinatiwa pingu hakuna kuwa movableBUNGE jana limeibua Kashfa ya upigaji wa zaidi ya trilioni 1.5 kwenye mradi wa bwawa la nyerere lakini tangu jana tuhuma hizo zimeibuliwa bungeni na mbunge wa kisesa, luhaga mpina nilitegemea zito kabwe ungetoa tamko juu ya suala hilo.
Ukimya wa Zitto Kabwe kwenye mambo mazito kama haya yanapotokea nchini kwetu inaleta tafasiri gani kwenye mustakabali wa demokrasia ya nchi yetu au wizi na ufisadi sio ajenda ya wapinzani?
Naomba tujadili hoja hii ya Zitto kujitoa kwenye mambo mazito kama haya.
Hivi hyo ilipotelea wapi? Ikulu ama wapi maana naiskia tu!!Mwizi namba moja ni mungu wa Chato 1.5 Trillion mpaka leo kwenye repoti ya CAG Profesa
Siamini mwanasiasa yoyote. Hata aje na maneno mazuri kiasi gani. Ntajiuliza anataka kunipiga wapi?Zitto ni mwanasiasa Malaya
ndio maana ACT wameanza kumsakamaZitto ni mwanasiasa Malaya
Itakuwa alizikwa nazoMwizi namba moja ni mungu wa Chato 1.5 Trillion mpaka leo kwenye repoti ya CAG Profesa Assad hatujaambiwa ziko wapi.