Kasi ya China kuendelea kukua kiuchumi duniani. Wamejenga mji mpya kabisa uitwao Xiongan ndani ya miaka 7 tu.

Kasi ya China kuendelea kukua kiuchumi duniani. Wamejenga mji mpya kabisa uitwao Xiongan ndani ya miaka 7 tu.

Dola Milioni $580
Mkuu angalia desa lako vizuri, USD580 mil. ni pesa ndogo sana kukamilisha mradi mkubwa kama huo. Hiyo ni sawa trilion 1 na chenchi kadhaa kwa pesa ya madafu.
 
Ngoja tumalize hili la Katiba Mpya kisha tutakuja na ajenda kama hii.
 
Mkuu dola milioni 580 ndio ijenge mji, reli,barabara na mazagazaga yote itakuwa umekosea mzee.
 
Dola Milioni $580
Hii hela sio Mkuu,,, haiwezi jenga mji mpya ni ndogo sana yaani...Daraja la Busisi linajengwa kwa thamani ya over $350Ml...yaani over 700BL..TZS...,,, mji kama huo uujenge kwa like 1.3 T..TZS...unatania aisee...Misri nao wanajenga mji wao mpya kwa hela ndefu vibaya yaani....pls chek your sources...kuna mahala umekosea kunakili.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Hivi kweli inawezekana hapo ulipofikia thamani yake ikawa ni Dola M580 tu?
 
Uku uki dakwa una leta ufisadi ni kunyongwa tu hawana mbamba
 
Mradi huu unashabihiana na wa bakhresa ule wa fumba ingawaje wenyew hauna reli
 
Back
Top Bottom