Kasi ya Rais Samia yawapoteza CHADEMA katika ramani ya siasa, hakina tena ushawishi kwa Watanzania

Kusema ule ukwel chadema nchi hawaitaki wenyewe tu ila huu ndo ulkua wakati was kuchukua nchi wakae chini watuletee mgombea makini tupate mabadiliko kama wakimleta mgombea kama tundulisu tena ntaamini wao ni tawi la sisiemu
 
Na wewe unategemea uteuzi hivi karibuni?
 
Mzee wa Ichenjezya, Wewe ni Kengele ipigayo bila kusukumwa, badala ya kujenga hoja ukieleza mafanikio ya Umsemayo katika eneo lako na ukitupa mifano ya madaraja, hospitali, madawati,mioundombinu ya kilimo ama biashara ambavyo kabla viko hali mbaya .Unakuja na Uchawa usiona maana yoyote kwa Ndugu na jamaa zako kule Bushi. Utu wema ni pale unatetea wananchi katka eneo lako na sio utetezi wa tumbo kama huu.
 
Nani kakwambia Mimi wa ichenjezya, kwani wewe huoni mafanikio ya mh Rais katika kila secta hapa nchini?
 
Nilini wameshindanishwa na vyama vingine kwenye medani ya kisiasa?ikiwemo mikutano ya hadhara nk
 
Umeongea ukweli ,mtupu huu uzi inatakiwa uprintiwe uwekwe kwenye ofisi za chadema kweli Rais Samia Suluhu amekaba kila kona yani ndani ya siku 572 za utawala wake hakuna sekta inayomgusa direct mwananchi imekosa maendeleo watanzania tunajivunia kua na Rais Samia Suluhu
 
Kusema ule ukwel chadema nchi hawaitaki wenyewe tu ila huu ndo ulkua wakati was kuchukua nchi wakae chini watuletee mgombea makini tupate mabadiliko kama wakimleta mgombea kama tundulisu tena ntaamini wao ni tawi la sisiemu
Hata wakimleta nani 2025 Rais Samia Suluhu hana mpinzani
 
Acha makasiliko jamaa kaongea fat sana Rais Samia Suluhu amegusa kila sekta inayomlenga mwananchi direct amepunguza gharama za kilimo, ameboresha sekta ya elimu, miundombinu, maji mpaka vijijini pia anatoa mikopo ya mashart nafuu kwa vijana tutake nini tena watanzania Rais Samia Suluhu anaupiga mwingi
 
Ila weye jamaa una udumavu wa akili.Kwa hiyo Samia anafanya kazi kwa kuwafanyia CHADEMA?Lijinga kweli weye.
 
Hata MAGUFULI MLIMSIFU HIVI HIVI MATOKEO YAKE AKATAKA KUIUA CHADEMA AKAFA YEYE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…