Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #61
Acha uongo wako hapa, kwa ubavu gani walio nao chadema Hadi wajenge ofisi mikoani? Makao makuu yamewashinda kujenga licha ya mamilioni kwa mamilioni waliyokuwa wanapokea Kama ruzuku lakini wakaishia kuzitafuna Kama mchwa, au unasema zile ofisi za nyumba za watu walizokuwa wanapiga Bavicha huku zimeandikwa kwa makapeni?Ajabu chadema wako kimya wanaendelea na mipango yao bila ruzuku wanajenga maofisi nchi nzima wanasajiri wanachama wakifanya makongamano yao ni kishndo cha kutisha. Halafu machawa ya ccm yako humu kila saa chadema chadema mpk wanawachagulia chadema mgombea urais wanawafundsha namna ya kuongoza chama. Ndo maana jambaz jiwe alikuwa anachukua vjana toka chadema anawapa na uwaziri maana alijua ccm kuna mavilaza sn kama hli fala yaan wewe kila ukiandka ktu n kusfia ccm na samia na kuwaponda chadema. Fala wewe.