Kasi ya utendaji ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa inatufuta machozi wazalendo

Huyu anafanya kazi kwa ajili ya kujionesha, Hana uchapakazi wowote, Ni one man show, kwanini wasiweke mfumo? Ni one man show ya kutafuta sofa, Majaliwa hafai
Na watanzania tuko addicted na drama kama hIzi
Badala ya kuweka mfumo wa kusimamia watu , tumekazania foka foka na one man show , ambayo imeshaprove failure .
 
Watumishi wa wizara wanajilipa posho za mabilioni wakati sisi huku vijijini hatuna zahanati, shule mbovu na hazina vifaa, maji, barabara, nk, na hakuna anayetujali, ukiwemo wewe!
Mi kwangu wanyonge Ni watu wasio na akili, Kama hamna akili mna faida gani nchini bora mfe tu. tuombe watu kutoka nchi zinge wenye akili waje tuwape uraia ili tujenge nchi
 
Tatizo ni bosi wake too slow....too dhaifu
Mkuu kunywa kinywaji chochote ntalipa maana umeongea point nzuri

Yaan sir100 ni dhaifu hanibariki, ila sishangai kwani nifamilia chache sana ambazo mama ikiwa ndo muendeshaji huwa na maendeleo ya kutisha, mara nyingi wengi wao huwa ni too short sighted, utakuta anawaza nguo mpya, kiatu kipya, mtoto atavaaje.....

Kwa mwanaume, mtoto nguo moja, baba nguo hiyo hiyo kiatu kimepinda,, akipata hela anajibana na kununua mashamba, kuwekeza kwenye assets mbali mbali kwa manufaa ya kesho isiyojulikana,, same to the late magu,,,

"Ukiona wasifiwa na wengi wanakuchekea ujue kuna sehemu unalegezwa bila kujua"

Mungu ibariki Tanzania, mungu wabariki wazalendo, mungu libariki jeshi letu tukufu.
 
Huyu anafanya kazi kwa ajili ya kujionesha, Hana uchapakazi wowote, Ni one man show, kwanini wasiweke mfumo? Ni one man show ya kutafuta sofa, Majaliwa hafai
Mfumo nao si watu, kwa ujinga wako unadhani hakuna mfumo? hata kukawa na mifumo mizuri aina gani lakini kama hakuna utashi na uthubutu ni kazi bure, wewe ndio hufai,tutaenda na Majaliwa 2025 akomeshe mijizi .
 
Huyu anafanya kazi kwa ajili ya kujionesha, Hana uchapakazi wowote, Ni one man show, kwanini wasiweke mfumo? Ni one man show ya kutafuta sofa, Majaliwa hafai
Ufuatilliaji, usimamizi na ukali ndo asili ya utendaji kazi wa KM tangu akiwa Naibu Waziri TAMISEMI enzi za JK.

Wala hafanyi hayo kwa kutaka kujionesha au kumfurahisha mtu au kusifiwa kama alivyokuwa Magufuli, bali Majaliwa ni mtu serious kwenye utendaji wa serikali sema alikuwa anapata vikwazo katka kuwachukulia hatua watendaji wateule vipenzi wa Hayati Rais Magufuli.

Kwa mfano utakumbuka alivyowakoromea Mkurugenzi wa Bandari Kakoko kwa matumizi mabaya ya gedha na Magufuli hakumchukulia hatua yoyote hadi alipoingia Bimkubwa.

Alimkoromea Engineer Mfugale kwa kukiuka maelekezo yake ya kumuondoa Meneja wa TANROADS Mkoa wa Moroforo kwenye sakata la usimamizi wa ujenzi wa daraja lililokuwa limevunjika kwenye barabara kuu ya ya Morogoro-Dodoma. Ninaimanimajaliwa angekuwa na mamlaka angemtumbua Mfugale lakini Magufuli akachukulia poa.

Kumbuka pia alivyokoroma kule Mwanza kuhusu sakata la Wakurugenzi kujinunulia ma-VX-VR. Nina imani ingekuwa imetokea enzi enzi hizi za Bimkubwa ambapo hata Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu, anaweza kuwasimamisha kazi Wakurugenzi wa Halmashauri, Majaliwa angewatumbua lakini Hayati Magufuli akaja ku-dilute kwa kumrejesha yule aliyekuwa aliyemsimamisha kupitia Jaffo.

Kiufupi watendaji wengi wanvetumbuliwa na Majaliwa enzi za Magufuli sema alishindwa kwavile ni wateule wa Magufuli ambaye hata angefanya hivyo Rais mwenyewe ange-dilute na kuwarejesha.
 
Reactions: tyc
Huyu anafanya kazi kwa ajili ya kujionesha, Hana uchapakazi wowote, Ni one man show, kwanini wasiweke mfumo? Ni one man show ya kutafuta sofa, Majaliwa hafai

Acheni kukariri mambo, mnaonesha ni namna gani upeo wenu wa kuchanganua mambo ulivyo mdogo

Unaposema kwann wasiweke mifumo,, kwani hio Tanesco si ni taasisi ambayo ina mfumo kamili!?

Hizo TPA, UDART, TRA, BOT si ni mifumo tosha yenye mamlaka kamili lakini bado utendaji wao kwa baadhi ya nyakati unakuwa ni mbovu na zenye kuhitaji ufatiliaji na uangalizi wa jicho la ziada

Wananchi wanapopiga kelele kulalamika utendaji mbovu wa taasisi fulani let say TRA ni kwann mwisho wa siku wanawasilisha malalamiko yao kwa Waziri, PM au President ilhali hio taasisi ina mkurugenzi mkuu!??

Au mlitaka mifumo ya namna gani iwekwe ndio ionekane ni mifumo
 
Au mlitaka mifumo ya namna gani iwekwe

Ni kweli mkuu

Binafsi namkubali sana PM wetu

Nakumbuka pía alishawahi kufanya ziara mkoani Morogoro kule Ulanga akakuta kuna mgogoro kati ya Mkurugenzi na DC,,, akafokea sana na mwisho akawaliwasilisha kwa Jpm, kisha jioni yake DC na Mkurugenzi wakatenguliwa
 
Kuna uwezekano rais hapendi hii kasi ya jembe hili...
Tungekua na rais Hussein mwinyi kisha waziri mkuu majaliwa mambo yangekua bambam...
 
Huyu anafanya kazi kwa ajili ya kujionesha, Hana uchapakazi wowote, Ni one man show, kwanini wasiweke mfumo? Ni one man show ya kutafuta sofa, Majaliwa hafai
Wivu utakuuwa....
hiyo mifumo itaongozwa na panya!!?
 
Anatimiza majukumu yake mkuu, hizo habari zenu za uzalendo ziacheni tu.
Uko sahihi kabisa mkuu. Raisi anatakiwa kupata muda wa kutosha kutuliza akili yake ili kudeal na masuala makubwa ya nchi na kimataifa siyo kushughulika na petty issues kila siku na matamko ya ajabuajabu.

Shughuli za kila siku za serikali husimamiwa na waziri Mkuu. Tatizo,nchi hii imekuwa na wajinga wengi sana! Waziri Mkuu anapotekeleza majukumu yake,wanaona yeye ndiye mchapa kazi kuliko raisi. Mitizamo ya ajabu kabisa!
 
wakumpongeza ni Raisi samia kutuchagulia wazi mkubwa huyu,mama aongezewe mi5 tena
 
Unasumbuliwa na mfumo dume na malezi mabaya!

Kule ujerumani kuna mwanamama anitwa Angel Merkel anawapeleka puta wababa kama wewe hawana hamu nae kabisa!

Mama Samia ni raisi shupavu na mwerevu. Yeye ni kiongozi sio mtawala. Vumilieni tu mtaelewa what it means to be a leader.
 
Vitendo vinaongea sauti kubwa kuliko maneno ila mtu anayepiga kelele Sana katika nyumba ndio mdhaifu Sana. Kuwa makini Sana na wanasiasa wa kitz wanaongea na kutenda ila maneno na vitendo vyao ni kwaajili ya kujitengenezea njia wao na familia zao sio kwa ajili ya wananchi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…