Kasi ya utendaji ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa inatufuta machozi wazalendo

JANUARY MPAKA LEO ANAJIFANYA HAJAONA RIPOTI YA CAG
 
Tunataka matokeo ya uongozi wake
 
Tarehe 28/5/2021 anafanya ziara ya kushtukiza wizara ya fedha, anakuta watendaji wa wizara hiyo wakijilipa posho ya zaidi ya billioni 1.6 kwa kazi zisizochukua hata nusu saa, anawasimamisha kazi watendaji wakuu saba.
Kwani unadhani kazi yake ni nini ? Kama kaanza hivi karibuni ametuibia kwa miaka yote iliyopita...

Alafu... yaani alikuta hao watendaji ndio wanajilipa posho au alijua kabla hapo alikwenda tu kulitaarifu taifa ?
 
Tu assume upo sahihi, unataka tumtoe sub Ronaldo tumuweke Kisinda😂😂 small minded
 
Kuna viumbe vikisikia Majaliwa vinapata taabu sana. Et anapwaya atatemwa😂😂. Watapata taabu sanaa hadi mwisho wa dunia
##CCM MBELE KWA MBELEE
### MAMA SAMIA HADI 2030
### R I P JPM MWAMBA WA AFRICA
 
Tutashitakiwa MIGA
 
Huyu alipaswa kuwa rais wa hii nchi.
 
Huyu anafanya kazi kwa ajili ya kujionesha, Hana uchapakazi wowote, Ni one man show, kwanini wasiweke mfumo? Ni one man show ya kutafuta sofa, Majaliwa hafai
Toa sababu kwanini hafai?
 
Kwani unalia kwa sababu gani hadi ufutwe machozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…