Kasi ya wanaume kununua dada poa imeongezeka miaka ya hivi karibuni

Kasi ya wanaume kununua dada poa imeongezeka miaka ya hivi karibuni

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Habarini,

Nlikuwa mahali kwenye sehemu wanapopatikana maafisa utamu, ndani ya Moja ya majiji makubwa yanayopatikana hapa nchini, nikizuga napata kilaji aloo, kwenye gesti wanazojiuza madada poa wanatoka watu wazima na vijana ambao kwa muonekano wa nje hawafananii kabisa, ukiwaangalia utasema ni watu wenye heshima zao kwenye jamii, kumbe ni wanunuzi wa maafisa utamu. Ukiingia ndani ya hizo lodge wanakiojiuza madada poa, sometimes utakuta watu wamepanga foleni, maana vyumba vinakua vimejaa.

Sometimes chumba kimoja unakuta mnashea watu wanne, mfano wewe ukikamua dada poa kwenye Kona mwingine anakamua dada poa kitandani, huaga naishia kucheka tu

Sijajua future ya mahusiano huko mbeleni itakuaje, ina maana mtu ukija kuoa, kuna high chance utakua umeoa ex dada poa, wanaume wengi sahivi wanaanza kununua makahaba, badala ya kuji drone drake.
 
Afisa Utamu,
Je ukijua idadi ya Afisa utamu wa kisirisiri, undercover prostitutes, si utashangazwa? Hao ndio wengi zaidi, wadangaji wa kimyakimya au friends with benefits, no strings attached, bff, mmalizaupwiru, f#ck mate, F#ck buddy, upwirumate, pesa yako tu (PYT), kusaidiana, sponsor, kifurushi/bundle, massage, sauna, spa, jogging, marathon,gym



Noma sana
 
Back
Top Bottom