Gwallo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 3,713
- 5,328
Malizia basi..quotes za Bible haiandikwi kifupi...Yesu alipofika karibu aliuona mji
Malizia basi..quotes za Bible haiandikwi kifupi...Yesu alipofika karibu aliuona mji
Safi sana... Mtu ukishafika cheo fulani na unajua huwezi kuvuka zaidi unapumzika kwa heshima. Siyo kuendekeza tamaaWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, mkoani Lindi, baada ya kuliongoza kwa takribani miaka 15 mfululizo tangu mwaka 2010.
Soma, Pia: Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa akiaga Bunge
Vyanzo vyetu vya habari kutoka kwa wandani wa Waziri Mkuu Majaliwa vimeieleza Jambo TV kuwa, akiwa jimboni kwake Ruangwa kwa siku kadhaa za mashauriano na wananchi na wazee wa eneo hilo, Majaliwa amefikia uamuzi huo baada ya tafakari ya kina na ushauri wa wadau mbalimbali na amewashukuru Wanaruangwa kwa kipindi chote cha miaka 15 ya kumpa ubunge na kuwawakilisha vyema.
Hatua hiyo imekuja siku chache tu baada ya Majaliwa kutangaza Bungeni, Juni 26, 2025, kuwa anapanga kugombea tena ubunge wa jimbo hilo, akisisitiza kuwa anaendelea kuhitaji ridhaa ya wananchi. Hata hivyo, kauli hiyo sasa imebadilika rasmi.
"Ninatambua wakati mwingi nimekuwa nje ya jimbo nikilitumikia taifa lakini wana Ruangwa wameendelea kuniunga mkono. Nitumie nafasi hii kusema asanteni sana na ninamuomba Mwenyezimungu azidi kuimarisha mshikamano uliopo kati yetu sote. Ninaomba kuwajulisha kuwa ninakuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa yenu tena.", alinukuliwa bungeni.
Uamuzi wa Majaliwa umepokelewa kwa hisia tofauti, huku baadhi ya wachambuzi wa siasa wakiutaja kuwa ni uamuzi wa busara na wa kiungwana, hasa baada ya kumaliza kipindi chake cha miaka 10 cha Uwaziri Mkuu tangu alipoteuliwa mwaka 2015.
Hatua hii pia inakuja wakati chama chake, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa katika harakati za ndani za uteuzi wa wagombea wa nafasi za udiwani na ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Zoezi hilo limeanza Juni 28 na linatarajiwa kukamilika Julai 2, 2025.
Chanzo: Jambo TV
kama ana nguvu za kutumikia taifa, basi abadili sekta. Kilimo bado kinahitaji watu wenye nguvu ila apitie Veta akapate ujuzi kwanza.Jambo la msingi sana ajiandae kuchukua form y urais sasa
Hapana ilikua namna tu ya kuituliza kanda ya ziwa baada ya Magu kuondoka.Huyu washauri wake wako sahihi sana, ile kupewa naibu wake, wakati cheo hiko hakipo kabisa ktk katiba, ilikua ni dharau na matusi kwake. Ilitakiwa ajiuzuru punde tyuuh.
Kila la kheri kwake, ktk maisha ya ustaafu wake.
Hicho kijitabu kimetoa mamlaka makubwa sanaHakipo kikatiba lakini pia katiba inamruhusu Rais kuanzisha nafasi yoyote ya kiuongozi kwa jinsi atakavyoona inafaa
Mbwa hii imekurupuka ikanijibu. Nimesema endapo reforms zikifanyika. Maana yake mifumo ya uchaguzi itakuwa mizuri na chadema itashiriki uchaguzi. Kama huna akili uwe unasoma tu comments za watu.Akili matope, nchi gani wanachukua ambao hawashiriki uchaguzi? Hao red brigade ndo wa kuchukua nchi?
wewe ulimuona Ndungai alivyokuwa baada ya kushuka kutoka uspika?Kwani ukiwa mbunge wa kawaida kunaubaya gani
Hongera kwa kujishindia tuzo ya mtu alieandika comment ya kipumbavu zaidi jfTena..?
A big twist. But hii ina maana gani?
Chura Kiziwi nje kwenye u - Rais?
Absolutely...
Kassim Majaliwa - U - Rais
Akishinda - Nchimbi Emmanuel Dr, Prime Minister
These are just my speculations..
Awali Aliwahi kutangaza kugombea sema itakuwa ameamua Kwa shingo upande maana miaka 15 tuu Bungeni ila 10.kama PM alipewa ngekewa.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, mkoani Lindi, baada ya kuliongoza kwa takribani miaka 15 mfululizo tangu mwaka 2010.
Soma, Pia: Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa akiaga Bunge
Vyanzo vyetu vya habari kutoka kwa wandani wa Waziri Mkuu Majaliwa vimeieleza Jambo TV kuwa, akiwa jimboni kwake Ruangwa kwa siku kadhaa za mashauriano na wananchi na wazee wa eneo hilo, Majaliwa amefikia uamuzi huo baada ya tafakari ya kina na ushauri wa wadau mbalimbali na amewashukuru Wanaruangwa kwa kipindi chote cha miaka 15 ya kumpa ubunge na kuwawakilisha vyema.
Hatua hiyo imekuja siku chache tu baada ya Majaliwa kutangaza Bungeni, Juni 26, 2025, kuwa anapanga kugombea tena ubunge wa jimbo hilo, akisisitiza kuwa anaendelea kuhitaji ridhaa ya wananchi. Hata hivyo, kauli hiyo sasa imebadilika rasmi.
"Ninatambua wakati mwingi nimekuwa nje ya jimbo nikilitumikia taifa lakini wana Ruangwa wameendelea kuniunga mkono. Nitumie nafasi hii kusema asanteni sana na ninamuomba Mwenyezimungu azidi kuimarisha mshikamano uliopo kati yetu sote. Ninaomba kuwajulisha kuwa ninakuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa yenu tena.", alinukuliwa bungeni.
Uamuzi wa Majaliwa umepokelewa kwa hisia tofauti, huku baadhi ya wachambuzi wa siasa wakiutaja kuwa ni uamuzi wa busara na wa kiungwana, hasa baada ya kumaliza kipindi chake cha miaka 10 cha Uwaziri Mkuu tangu alipoteuliwa mwaka 2015.
Hatua hii pia inakuja wakati chama chake, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa katika harakati za ndani za uteuzi wa wagombea wa nafasi za udiwani na ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Zoezi hilo limeanza Juni 28 na linatarajiwa kukamilika Julai 2, 2025.
Chanzo: Jambo TV
Ni ujinga ulkua Wazir mkuu,misafara ulkua nayo unapita ving'ora kila sehem alaf unastaafu unaanza Tena kupanga folen umpishe Wazir mkuu apite ww na ww unaelekea bungenKwani ukiwa mbunge wa kawaida kunaubaya gani
Amesoma vyema Karata ya Mpango .Amesoma mchezo kaohopa lawama bado mzee Ndugai
No reform No Election
Mimi nashauri ajipange kwa mwaka 2030 kutokana na miiko ya ssm waliyojiwekea japo sio kwamba nitampigia kura, hilo nalisema kwa ajili ya uhai wa chama chaoJambo la msingi sana ajiandae kuchukua form y urais sasa
Unanistaajabisha sana siku hizi!Huyu washauri wake wako sahihi sana, ile kupewa naibu wake, wakati cheo hiko hakipo kabisa ktk katiba, ilikua ni dharau na matusi kwake. Ilitakiwa ajiuzuru punde tyuuh.
Kila la kheri kwake, ktk maisha ya ustaafu wake.
Alishindwa kusoma alama za nyakati na kwa taarifa yake ni kwamba VETA hatutakwenda tenaMchezaji mzuri ni yule anayejua muda wa kuondoka jukwaani.
Kwahiyo madam umefurahia baada ya yeye kukubali kukaa pembeni?Alishindwa kusoma alama za nyakati na kwa taarifa yake ni kwamba VETA hatutakwenda tena
Yaani hili tu ndo limekufanya unitukane "mpumbavu?"Hongera kwa kujishindia tuzo ya mtu alieandika comment ya kipumbavu zaidi jf