GE2025 Kassim Majaliwa atangaza ghafla kutogombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Safi sana... Mtu ukishafika cheo fulani na unajua huwezi kuvuka zaidi unapumzika kwa heshima. Siyo kuendekeza tamaa
 
Nyani katema bungo. Hamkani si shwari tena huko mbogamboga.
 
Jambo la msingi sana ajiandae kuchukua form y urais sasa
kama ana nguvu za kutumikia taifa, basi abadili sekta. Kilimo bado kinahitaji watu wenye nguvu ila apitie Veta akapate ujuzi kwanza.
 
Itifaki inasemaje kuhusu maslahi yake ya u ex-PM akiwa mbunge wa kawaida?

Atapokea mshahara wa u ex-PM pamoja na ubunge?
 
Jamaa alikua hajiongezi ndo maana akaweka nia ya kuendelea kugombea ubunge, Ma Ccm na machadema yanauchu sana na madaraka
 
Huyu washauri wake wako sahihi sana, ile kupewa naibu wake, wakati cheo hiko hakipo kabisa ktk katiba, ilikua ni dharau na matusi kwake. Ilitakiwa ajiuzuru punde tyuuh.

Kila la kheri kwake, ktk maisha ya ustaafu wake.
Hapana ilikua namna tu ya kuituliza kanda ya ziwa baada ya Magu kuondoka.
 
Akili matope, nchi gani wanachukua ambao hawashiriki uchaguzi? Hao red brigade ndo wa kuchukua nchi?
Mbwa hii imekurupuka ikanijibu. Nimesema endapo reforms zikifanyika. Maana yake mifumo ya uchaguzi itakuwa mizuri na chadema itashiriki uchaguzi. Kama huna akili uwe unasoma tu comments za watu.
 
Tena..?

A big twist. But hii ina maana gani?

Chura Kiziwi nje kwenye u - Rais?

Absolutely...

Kassim Majaliwa - U - Rais
Akishinda - Nchimbi Emmanuel Dr, Prime Minister

These are just my speculations..
Hongera kwa kujishindia tuzo ya mtu alieandika comment ya kipumbavu zaidi jf
 
Awali Aliwahi kutangaza kugombea sema itakuwa ameamua Kwa shingo upande maana miaka 15 tuu Bungeni ila 10.kama PM alipewa ngekewa.

Sasa anarudi back bencher kutoa ushauri.

Biteko kama ni raia basi u PM ni wake.
 
Jambo la msingi sana ajiandae kuchukua form y urais sasa
Mimi nashauri ajipange kwa mwaka 2030 kutokana na miiko ya ssm waliyojiwekea japo sio kwamba nitampigia kura, hilo nalisema kwa ajili ya uhai wa chama chao
 
Huyu washauri wake wako sahihi sana, ile kupewa naibu wake, wakati cheo hiko hakipo kabisa ktk katiba, ilikua ni dharau na matusi kwake. Ilitakiwa ajiuzuru punde tyuuh.

Kila la kheri kwake, ktk maisha ya ustaafu wake.
Unanistaajabisha sana siku hizi!

Sio kuchambana tu, kumbe hata kuchangia vitu kwa logic unaweza.
 
Alishindwa kusoma alama za nyakati na kwa taarifa yake ni kwamba VETA hatutakwenda tena
Kwahiyo madam umefurahia baada ya yeye kukubali kukaa pembeni?

Mimi binafsi naona tunapoteza kiongozi mzuri na mzalendo, huyu anafaa hata kuwa Rais wa nchi hii.
 
Hongera kwa kujishindia tuzo ya mtu alieandika comment ya kipumbavu zaidi jf
Yaani hili tu ndo limekufanya unitukane "mpumbavu?"

Huu ni mjadala tu na mimi nimeandika ninachofikiri tena nimesema specific kuwa "these are my speculations" halafu wewe unanitukana, why..??

Sikia bwana Lucha. Hilo tusi likurudie wewe mwenyewe kichwani mwako na familia na watoto wako...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…