Kassim Majaliwa, elewa Dubai siyo nchi, bali ni Mji

Kassim Majaliwa, elewa Dubai siyo nchi, bali ni Mji

Kwa kweli hatoshi kwa nafasi kubwa kama hii tu ameonekana kupwaya kiasi hiki.
Akiwa Rais, tutarajie nchi kupitia hali mbaya zaidi kuliko inayopitia sasa.
 
Hujakosea,upo sahihi

Kuna lingine hili la kutamkwa kila mara na viongozo wetu :Eti tunamshukuru Rais kwa kutujengea hospitali , mara Tunamshukuru Rais kwa kutuletea fedha na maneno mengine mengi yanayofanana na hayo.
Rais hatoi wala hajengi miradi ya maendeleo kwa fedha zake binafsi, zile ni kodi zetu.
Wao walipaswa waseme serikali ya CCM chini ya Rais Samia imetoa ama imetujengea hospitali.
 
Mpaka sasa sijapata jibu kwa nini suala la Dubai ni/si nchi ni suala muhimu katika muktadha wa makubaliano haya.

Naona kama watu wanajadili distraction tu badala ya the real issue.
 
Back
Top Bottom