Tommy 911
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 600
- 510
kam ilivyo usa et useme los Angeles ni nchi😂😂😂Hiyo umetoa kulingana unavyoelewa binafsi.
Lakini Umoja wa Mataifa hauitambui Dubai kama nchi, bali ni sehemu ya UAE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kam ilivyo usa et useme los Angeles ni nchi😂😂😂Hiyo umetoa kulingana unavyoelewa binafsi.
Lakini Umoja wa Mataifa hauitambui Dubai kama nchi, bali ni sehemu ya UAE.
bwana umenichekesha mbebq tofqri 🤣🤣Rais Magufuli yuko salama anachapa kazi.
Kwa mantiki yako, mtu ambaye hajaoa hana marital status. Kwa sababu hajaoa.Dubai haina status ya nchi.
Kwa hiyo hatuwezi kusema "kwa nini status ya Dubai kama nchi ni muhimu."
Nadhani ungekubali tu kwamba swali lako linakosewa tungeweza kusonga.
Tayari tunajua - dunia inajua that is - kwamba Dubai sio nchi, kwa hiyo hatuwezi kusema "kama Dubai sio nchi kwa nini..."Kama Dubai si nchi, kwa nini Dubai
Waarabu wanataka kulipiza kisasi kwa Tanganyika, kwa kuwa ni watanganyika ndiyo waliwafurusha waarabu wenzao kule zanzibar.Kabisa, Dunai sio nchi, eti nchi ya Dubai?!
Pia ikumbukwe...
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Irrelavant analogyKwa mantiki yako, mtu ambaye hajaoa hana marital status. Kwa sababu hajaoa.
Hujui kwamba mtu ambaye hajaoa ana marital status.
Anaweza kuwa na marital status single, hata kama hajaoa.
Unamshanga nini Majaliwa ? Huyu mkuu wangu ni muhongo ,alisema mwendazake yupo busy na majukum , na Majaliwa yampasa elewa nimembeba kama sio kubebana kwenye baiskeli akiwa mwalim mimi nikiwa wa kawaida mpaka leo , ajue pale ukweni kwetu Songea ni majirani sana karibu na Halmashauri , ila hawezi kuwa rais wa nchi hii hataki basi aje ni mbebe kwenye baiskel yetu ile ipo sijauzaKutokana na upotoshaji ambao umekuwa unaendelezwa na viongozi wetu, binafsi kama raia nimeshindwa kuvumilia.
Hii imekuja baada ya leo kumsikia tena Mh. Kassim Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu, kusema kilichopitishwa na bunge ni makubaliano kati ya nchi mbili. Nchi ya Tanzania, na nchi ya Dubai! Huu ni upotoshaji ambao hatupaswi kuufumbia macho kabisa kama raia.
Kwa hili nilichogundua ni kwamba viongozi wetu kwa sehemu kubwa hawana upeo mkubwa wa kuelewa na kubaini mambo endapo suala dogo tu la kubaini Dubai ni mji na wala siyo nchi limewashinda. Na hapa tunaongelea kiongozi Mkuu wa shughuli za serikali Bungeni!!
Kwa bahati mbaya pia, hata Mkuu wa muhimili wa Bunge; Mh. Tulia Acson, amekuwa anairejelea Dubai kama nchi na siyo Mji!! Na hapa tunamzungumzia msomi wa ngazi ya PhD!
Kwa kweli, kwa haya yanayozidi kujidhihirisha, inabidi taasisi yetu nyeti ya TISS, iwe inajiridhisha kwanza na upeo wa viongozi wetu kwanza kabla ya kuaminiwa kupewa majukumu makubwa.
Maana hii ni hatari sana kwa Taifa, kuongozwa na viongozi wenye upeo finyu wa mambo.
Nimalizie kwa kusema kuwa; Dubai ni mojawapo ya majimbo 7 yanayounda Taifa la Umoja wa Falme za Kiarabu (United Arab Emirates). Makao makuu ya UAE yapo Abu Dhabi kama ambavyo yetu yako Dodoma. Hivyo endapo viongozi wetu wakishupaza shingo, basi nchi yetu ya Tanzania itakuwa inaingia makubaliano kati yake na mji mmojawapo wa nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Niko pale, nasubiri marekebisho kama kuna sehemu nimekosea.
Ee Mwenyezi Mungu, sisi watoto wako wa Tanzania huwa tunakosea wapi linapokuja suala la kuchagua viongozi wetu?!
Amina.
Tena akiwa msikitini kayasema hayo ya Magufuli yuko chimbo anapiga kazi kwa nguvu kumbe Rais kanyooka siku tatuUnamshanga nini Majaliwa ? Huyu mkuu wangu ni muhongo ,alisema mwendazake yupo busy na majukum
Kwa nini ni irrelevant? Hujaeleza.Irrelavant analogy
Wewe huelewi hata abstract thinking ni nini.Tayari tunajua - dunia inajua that is - kwamba Dubai sio nchi, kwa hiyo hatuwezi kusema "kama Dubai sio nchi kwa nini..."
Kubali umekosea basi. Mbona unakuwa mgumu kukubali umekosea ?
Kwani ukikubali kwamba umekosea ili tusonge mbele utapungukiwa na nini ?
Unless hukubali kwamba Dubai sio nchi au unatuambia hujui kama ni nchi au la.
Don't be too harsh and aggressive.Bila shaka ???? Kwa hiyo huna hakika, hujui. Mjadala wa bandari ni nyeti, mkataba umeleta shida kubwa, na umeligawa Taifa, kama huna hakina kaa kimya.
Hebu twende taratibu...Dubai sio nchi.
Is that only evidence that justifies that Dubai is not a "country?"Kama ambavyo Zanzibar sio nchi. Zanzibar haina kiti UN.
Dubai ni nini sasa? Ni nini mamlaka ya Dubai?Zanzibar haina Rais wa nchi, ndo maana Rais wa Zanzibar anaitwa "RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR," kama alivyo Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa UDOM, Rais wa Chama cha Walimu wa Chekechea na Rais wa Ruvu Shooting Football Club.
Even you, sometimes you lie, right..?PM Majaliwa anajua Dubai ni nini lakini anadanganya. Kasim Majaliwa is the most brazen liar in the world. Anadanganyia misikitini.
..............halafu?Nimeishia kusoma aya ya nne mstari wa kwanza.
✔️Endelea mbele zaidi kuelimisha wasiojua ili wajue. So, tell us;Issa Shivji ambaye watu wanamponda humu alishaelezea kuhusu Zanzibar kuwa nchi ama si nchi miaka kadhaa iliyopita. Alieza kisheria kuwa Zanzibar ni nchi (country) pia ni taifa ( nation) lakini siyo dola (state).
Dhana ya nchi kwa kiswahili inabeba vitu vingi na watu wengi wakisema nchi kwa kiswahili huchanganya hayo maneno matatu yote kwa pamoja.
Wewe unakirije kwani?Marekani Ina nchi ngapi
Country - ardhi yenye mipaka[emoji3581]Endelea mbele zaidi kuelimisha wasiojua ili wajue. So, tell us;
1. What is a country?
2. What is a nation?
3. What is a state?
[emoji3581]What is the differece between those terms? And, is Dubai a nation, country or state? You can also say, Dubai is all............a country, state and nation...
[emoji3581]Mwisho sema kitu kuhusu position ya Dubai katika context ya IGA kati DP World na Tanzania au sovereign state yoyote...
Nakushukuru sana mkuu wanguTena akiwa msikitini kayasema hayo ya Magufuli yuko chimbo anapiga kazi kwa nguvu kumbe Rais kanyooka siku tatu
Na juzi Arusha Jumapili siku ya Bwana karudia uongo wa mkataba Arusha Kanisani.
Jana Ijumaa siku ya Mun Nyazi Mngu kayarudia ya Dubai ni nchi msikitini. Uongo wake ni misikitini. Kufuru.
Astakafullulilah ladhim
Na Usbillilah midhalika
Ma adha la
Duuh... Mzee, kama uliyoyasema yote ndivyo yalivyo, si bure. Tutakuwa tumepigwa na kitu kizito tena kisichoonekana kabla ya kuukubali. Inauma lakini hadi nachekaKabisa, Dunai sio nchi, eti nchi ya Dubai?!