James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Haina tofauti na maelezo ya Shivji yeye alieleza nchi ktk muktadha wa state na country na akaongezea kuhusu nation. Ndiyo maana huyo jamaa aliposema kuwa kuna nchi mbili Tanzania na Zanzibar nikajoke kuwa nimeishia kusoma hapo kwa maana kuwa alichanganya.Zanzibar is not a country. It ceased to be a country in 1964. A country needs sovereignty to interact with other countries, Zanzibar does not have this. No country recognizes Zanzibar as a country.
It is a semi-autonomous state within the state and country of Tanzania.
Tanzania ni muunganiko wa nchi mbili huru kuunda nchi moja (dola) kwa sasa ukisema kuna nchi Tanzania halafu kuna nyingine Zanzibar naamini utakuwa unakosea. Maana ardhi, mipaka, na dola vyote vinajumuishwa ndani ya URT