James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Issa Shivji ambaye watu wanamponda humu alishaelezea kuhusu Zanzibar kuwa nchi ama si nchi miaka kadhaa iliyopita. Alieza kisheria kuwa Zanzibar ni nchi (country) pia ni taifa ( nation) lakini siyo dola (state).Mkuu, Zanzibar ni nchi. Rejea kwenye Katiba ya Zanzibar.
source: zanzibar constitution.
YESU NI MASIHI
Dhana ya nchi kwa kiswahili inabeba vitu vingi na watu wengi wakisema nchi kwa kiswahili huchanganya hayo maneno matatu yote kwa pamoja.