Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Kwa madai yako Dubai ni jimbo, contrary to the fact; hiyo ni sovereign state under a federal constitution yao.Sijakuelewa unamaanisha nini na dhumuni la kuandika hivyo ni nini katika muktadha wa mazungumzo haya.
Mfano wa NY unaweza kuwa tofauti sana na mazungumzo haya, kwa sababu serikali kuu ya Marekani ina vizuizi sana kuzuia majimbo yake kuingia mikataba ya kimataifa, kwa njia ambayo serikali ya UAE haina vizuizi hivyo.
Mabilionea wengi wanakimbia NY kwenda Florida kwa tax avoidance, si tax evasion.
There is a big difference.
So is NY it’s a state under US federation constitution na ina miji yake.
Part of devolution matters za US all states can determine personal income tax matters. Federal government inahusika kwenye corporate tax only.
So if you have a business which you receive divided income kila state ina mamlaka yake ya kuamua their taxes.
That’s the US constitution Federal matter. Lakini ukienda nchi yenye unitary constitution; sheria zozote za central government ni moja on personal and corporate taxes throughout the land.
Ndio maana nakuuliza under what rights; kila state ina uhalali wakujiamulia personal income? Kiasi kwamba matajiri waone sababu za kutafuta permanent residency states zingine wakati biashara zao zipo NY especially those who own incorporated businesses.
Where does the right of states to decide otherwise from federal government come from?