Hujakosea,upo sahihi
Kuna lingine hili la kutamkwa kila mara na viongozo wetu :Eti tunamshukuru Rais kwa kutujengea hospitali , mara Tunamshukuru Rais kwa kutuletea fedha na maneno mengine mengi yanayofanana na hayo.
Rais hatoi wala hajengi miradi ya maendeleo kwa fedha zake binafsi, zile ni kodi zetu.
Wao walipaswa waseme serikali ya CCM chini ya Rais Samia imetoa ama imetujengea hospitali.