Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu ni uthibitisho wa ubovu wa Katiba ya 1977

Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu ni uthibitisho wa ubovu wa Katiba ya 1977

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kwa mujibu wa Katiba yetu hii mbovu ktk ibara ya 52 (2).

(..)Rais atamteua mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika Jimbo la Uchaguzi, kuwa waziri Mkuu (..)

N.B. Kila kwenye (..) kuna maneno nimeyaruka.

Sasa huyu mhe Majaliwa alichaguliwa na wananchi ktk Jimbo lake? Jibu ni HAPANA hakuchaguliwa na wananchi. Bali alipita bila kupingwa (maneno batili kabisa ktk demokrasia)

Hata kama alikuwa mgombea pekee ilipaswa wananchi wapige kura kumkubali ama la! Lkn haikufanyika hivo. Kwahiyo wananchi hawakushiriki kabisa katika kumchagua mtu huyu ambaye ndiyo waziri mkuu wa JMT. Pathetic!

Sasa kwann mhe Majaliwa amekuwa Waziri Mkuu ikiwa hakutimiza vigezo vya kikatiba? Jibu ni rahisi tu. Katiba yetu ina mianya mingi ya kupenyeza maovu yanayotokana na uvunjifu wa katiba.

Ndiyo maana tunaitaka katiba mpya itakayo ondoa ujinga huu katika demokrasia.
 
Utuambie wewe kwanza una elimu gani Bila kusahau umri wako.
Kazana zaidi kwenye physics lakini pia basic maths, haya mengine utayakuta ukikua
Mkuu mustakabli wa taifa ni muhimu kuliko masomo. Nisipo pambania katiba nitahitimu masomo halafu mishemishe yangu itakwama.
  • Nitalima atatokea mpuuzi akataze kutoa mahindi nje ya wilaya, mkoa au nchi.
  • Nitafungua duka atatokea mpuuzi atume task force kukusanya Kodi
  • Nitafanya umachinga atatokea mpuuzi avunje Kibanda changu.
  • Nitapewa kibali na mamlaka kujenga nyumba yangu karibu na barabara atatokea mpuuzi avunje nyumba yangu.
 
Mkuu mustakabli wa taifa ni muhimu kuliko masomo. Nisipo pambania katiba nitahitimu masomo halafu mishemishe yangu itakwama.

-Nitalima atatokea mpuuzi akataze kutoa mahindi nje ya wilaya, mkoa au nchi...
Ndo ulivyoaminishwa hayo sio? Watu wabaya yaani wakitaka yao basi watafanya kuwapanga mpaka watu wanajaa. Katiba haitakupa mahindi wewe fanya maswala ya msingi kwanza.
 
Utuambie wewe kwanza una elimu gani Bila kusahau umri wako.
Kazana zaidi kwenye physics lakini pia basic maths, haya mengine utayakuta ukikua
Ndo ulivyoaminishwa hayo sio? Watu wabaya yaani wakitaka yao basi watafanya kuwapanga mpaka watu wanajaa. Katiba haitakupa mahindi wewe fanya maswala ya msingi kwanza.
Basi unajiona mwenyewe umeandika bonge la point! Kumbe matope tu.
 
Mwenye kura nyingi ndio atakuwa mshindi - hicho ndio kigezo cha mtu kushinda uchaguzi Tanzania. Haijaelekezwa nyingi ni ngapi ingawa kimazoea, kuanzia kura 2 tayari ni nyingi. Kwa hiyo mtu anaweza kupata kura 5 tu na akawa mbunge wa kuwawakilisha watu laki 1 jimboni kwake
 
Utuambie wewe kwanza una elimu gani Bila kusahau umri wako.
Kazana zaidi kwenye physics lakini pia basic maths, haya mengine utayakuta ukikua
We kondoo kweli,,,yaani mtu kazungumza concrete matters alaf we unasema cjui physics na basic math's ,unadhani huyo ni form two kama wewe,,,,inaelekea ndio unavunja ungo wewe,,,ideas zako ni za form two kabisa nyumbu is your head.
 
We kondoo kweli,,,yaani mtu kazungumza concrete matters alaf we unasema cjui physics na basic math's ,unadhani huyo ni form two kama wewe,,,,inaelekea ndio unavunja ungo wewe,,,ideas zako ni za form two kabisa nyumbu is your head
Ndiyo taifa letu lilipofika mkuu. Tuna watu wa ajabu ajabu nchi hii. Sijui nani kaliroga taifa hili!!!?
 
Kwa mujibu wa Katiba yetu hii mbovu ktk ibara ya 52 (2).

Rais atamteua mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika Jimbo la Uchaguzi.......kuwa waziri Mkuu ......

N.B. Kila kwenye......kuna maneno nimeyaruka.

Sasa huyu mhe Majaliwa alichaguliwa na wananchi ktk Jimbo lake? Jibu ni HAPANA hakuchaguliwa na wananchi. Bali alipita bila kupingwa. ..(maneno batili kabisa ktk demokrasia).

Hata kama alikuwa mgombea pekee ilipaswa wananchi wapige kura kumkubali ama la! Lkn haikufanyika hivo. Kwahiyo wananchi hawakushiriki kabisa ktk kumchagua mtu huyu ambaye ndiyo waziri mkuu wa JMT. Pathetic!

Sasa kwann mhe Majaliwa amekuwa Waziri Mkuu ikiwa hakutimiza vigezo vya kikatiba? Jibu ni rahisi tu. Katiba yetu ina mianya mingi ya kupenyeza maovu yanayotokana na uvunjifu wa katiba.

Ndiyo maana tunaitaka katiba mpya itakayo ondoa ujinga huu ktk demokrasia.
Una matatizo binafsi. Unahitaji msaada wa haraka
 
Una matatizo binafsi. Unahitaji msaada wa haraka
Matatizo gani binafsi? Katiba iliyopo ni mbovu. Inaengua wagombea wa upinzani kwa hila, na kuwafanya wagombea wa ccm kama huyo majaliwa kupita bila kupingwa!

Huu upuuzi haukubaliki hata kidogo kwa wapenda demokrasia ya kweli nchini.
 
Back
Top Bottom