Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu ni uthibitisho wa ubovu wa Katiba ya 1977


sasa wewe na baba yako, babu yako kwa nn msiwe waziri wakuu?


kuwa na akili ndogo tu.....

Katiba ni interpretation pia
 
Taarifa zinaonyesha kwamba ndiye PM wa kwanza duniani kuhakikisha wagombea wa vyama vingine wanatekwa ili apite bila kupingwa
 
Taarifa zinaonyesha kwamba ndiye PM wa kwanza duniani kuhakikisha wagombea wa vyama vingine wanatekwa ili apite bila kupingwa
Kwa kweli huyu ceremonial pm ameikanyaga demokrasia kwa kiwango Cha juu Sana.

Ndiye waziri mkuu wa kwanza tangu Tanzania ipate uhuru kupokwa majukumu yote akabakia na maswala ya maafa tu
 
Mi nimechoka eti raisi Samia,anaapishwa,anamteua makamo wake wa raisi,anateua baraza la Mawaziri,huku Majaliwa akiwa bado waziri mkuu,.....vichekesho hivi
Kifo cha rais huondoka na serikali yake yote, na pindi anapo apishwa rais mpya huteua baraza jipya la mawaziri, akianza na waziri mkuu. Majaliwa kuendelea na uaziri mkuu kwa kiapo cha Magufuli ni moja ya mapungufu ya katiba mbovu iliopo.
 
ila dikteta alikua mshamba..

imagine hata mtu hiyo wiki ya kuelekea tarehe 28 ukituma SMS ya neno "Tundu Lissu" inakua regarded as spam...

na chamani fomu ikachapwa 1 na yeye akadanganya kapita bila kupingwa
 
Mkuu Kitimoto nimefuatilia comments zote ambazo ume-dislike ktk uzi huu nyingine zinakinzana. Sasa hueleweki unataka nn. Tafadhali funguka.
Hujamjua vizuri huyo mbuzi katoliki? Yeye kila post anadislike hata kama amei-like. Ndio kawaida ya nyama tamu ilishushiwa na bia
 
Hayo mengine unaweza kuyaongelea wewe maana mapungufu ni mengi kuliko faida zinazotekelezeka chini ya hii katiba iliyozeeka.Ndo maana kila mtu anaongelea anachokiona kinahitaji mabadiliko.alafu ni ujinga kuwaza kua yoyote anayetaka katiba mpya anatokea vyama vya upinzani na anayepinga ni Ccm.toka uko kwenye hilo giza alafu fikiria miaka 50 mbele.
 
Kweli huo ni udhai mwingine wa katiba
 
Ulienda kulinga uteuzi wa Majaliwa Mahakama Kuu?
Unapiga kelele tu hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…