Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu ni uthibitisho wa ubovu wa Katiba ya 1977

N.B. Katiba nzuri huwa inaogopwa na watu
Nimekuuliza maswali hujajibu.

Ila naomba niulize na hili pia...

Unaposema hivi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
N.B. Katiba nzuri huwa inaogopwa na
Bila shaka tunatafsiri kuogopwa endapo katiba hiyo itafuatwa na watu.

Lakini kiuadilifu tunaona kabisa kuna mambo katiba inafuatwa bila utata na watu wote wanaona kwamba hapa katiba imefuatwa...

Haya baadhi ya mambo yanayofanywa kwa mujibu wa katiba hatuna haki ya kusema kwamba katiba inaogopwa kwa mambo haya ?
 

mapungufu unaishi na kunya na kezeekeana tu
ungekuwa porini unakimbizana na mabomu saa hizi
 
Huyu PM aliteuliwa na magufuli, lakini hadi leo yupo madarakani pamoja na kwamba hatujashuhudia uteuzi wake na rais aliyepo madarakani......ni mwendo wa kupuyanga tu.
 
Mleta mada umesahau sentensi Moja "anayetokana na Jimbo la uchaguzi."
 
Hili jambo niliwahi kulisema.

Katiba imeainisha wabunge.

Hakuna aina ya wabunge waliopita bila kupingwa.

Lakini, ukishangaa hilo, utaona kichekesho zaidi pale watu waliokataliwa na chama chao kuwa wabunge katika bunge lunalolazimisha uwakilishi wa chama.
 
Sijaiona hoja iliyokuwa na Mashiko hapo..
Kwa mujibu wa tume ya Uchaguzi wagombea wenza walishindwa kutumiza vigezo kutokana na Taratibu za tume ya Uchaguzi wamejiondoa wenyewe kwenye mbio za kugombania..
Labda mtoa uzi una hoja binfsi ya kudai katiba Ila tafuta njia Nzuri ya kuwakilisha na sio njii hi ya kukurupuka na kumchafua Viongozi wa Serikali..
Alafu ukitaka kutafuta nyoka anzia Miguuni kwako Naomba tumkumbushe Mbowe haache kubaka katiba ya Chadema..
#MajaliwaKiongoziMakini
 
Sijaiona hoja iliyokuwa na Mashiko hapo..
Kwa mujibu wa tume ya Uchaguzi wagombea wenza walishindwa kutumiza vigezo kutokana na Taratibu za tume ya Uchaguzi wamejiondoa wenyewe kwenye mbio za kugombania..
Labda mtoa uzi una hoja binfsi ya kudai katiba Ila tafuta njia Nzuri ya kuwakilisha na sio njii hi ya kukurupuka na kumchafua Viongozi wa Serikali..
Alafu ukitaka kutafuta nyoka anzia Miguuni kwako Naomba tumkumbushe Mbowe haache kubaka katiba ya Chadema..
#MajaliwaKiongoziMakini
 
Kama ni hivyo na ni kweli hayo usemayo na ni sahihi as per our Constitution of 1977, basi nakushauri, kwa vile umekereka sana na suala hili, NENDA MAHAKAMANI. Huko wewe na sisi na Rais SSH na wateuliwa wake wote, TUTAJUA MBIVU NA MBICHI. Badala ya kujipa unnecessary pressure humu JF.
 
Tatizo la Michadema Ni kukurupuka
Mbowe kavunja katiba ya chama wapo kimyaa Kama misukule...

Kwa hiyo mtoa hoja inamaana tume Ni wajinga walivyotunga Taratibu??
Kwa hiyo unataka kusema vyama vya siasa havikushirikishwa kwenye kutunga hizo Kanunu??
Inamaana Chadema wajinga wakae kimya kwenye hili??

Chukii Binafsii ndio naiona hapa
Au tatizo Ni cheo ndio kinawatoa Nyongo
 
Kupita bila kupingwa ni heshima kubwa, hakuna haja ya kuharibu makaratasi, hivyo alichaguliwa bila kupingwa na anastahili heshima ya waziri mkuu. Kupita bila kupingwa ni kuchaguliwa kwa heshima ya pekee.
 
Maswali ya kindergarten haya, lkn acha niyajibu kwa ufupi tu.

Nimesema mara nyingi sana humu kwamba katiba yetu inampa umungu mtu rais. Hivyo anaweza kufanya lolote, muda wowote na kwa namna yoyote (hata inayovunja katiba) na asiadhibiwe kwasabb ana kinga.

Wabunge 19 wako pale kwasabb ya matakwa ya rais ambaye anaitweza na kuiamuru mihimili mingine kiasi cha kulazimisha wale wabunge waendelee kuwa pale. Hata kqma kwa kufanya vile katiba imevunjwa utqmshitaki nani, mahakama ipi ?
 
Kwa hiyo mtoa hoja inamaana tume Ni wajinga walivyotunga Taratibu??
Hatuongelei taratibu hapa wewe lumumba mwenye akili ndogo kama uduvi. Tunaongelea katiba ambayo ilifanyiwa marekebisho ya mwisho mwaka 1977 kabla ya kuanza kwa mfumo wa vyama vingi na chadema ikiwemo 1992.
 
Ulienda kulinga uteuzi wa Majaliwa Mahakama Kuu?
Unapiga kelele tu hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia jinga jingine hili hapa. Aliyemteua ni nani? Huyu aliyemteua anashitkiwa kwa mujibu wa katiba hii? Jinga kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…