Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Sio kazi ya NFRAMie ndo nimekuelewa hivyo labda unifafanulie,
Kwenye swala la kilimo , mkulima wa chini ameachwa mkiwa , ataabike kulima kukopa mbolea , 2akati mwingine apate hasara kutokana na uhaba wa mvua na risks kibao, Muda pekee mkulima anakuwa kwenye spotlight za serikali ni pale anapofanikiwa kuvuna salama.
Ndipo hapo zinapojitokeza mamlaka kadhaa kuja na sheria zake .
Kama kweli tunatakq kuuza proceed maize , swala linatakiwa lianze na kum support mkulima anapopambana kueweka mazao shambani.
Unalima kwa ajili ya NRFA?Pesa za ziada za tozo zielekezwe huko, hatuwezi kuacha tani zote hizo zibaki mikononi mwa wakulima, msimu ujao watalima vipi, na kwa kipindi hiki wataishi vipi?! NFRA iongezewe fungu haraka sana!!
Dhima ya kuanzishwa NFRA ni ili kuweka hifadhi ya chakula pale endapo mvua zinakuwa za kutosha na mavuno yanakuwa mengi kuliko mahitaji, ili endapo msimu ujao kunatokea upungufu wa mvua, basi NFRA wanauza chakula kwa bei ya soko ili kuziba pengo, na endapo uzalishaji utaendelea kuwa mkubwa msiku unaofuata basi utaratibu unafanyika kukiuza chakula nchi jirani zenye uhaba wa chakula kama Kenya , Uganda na Sudan kusini.Unalima kwa ajili ya NRFA?
Hapa unatunga wewe ,sio jukumu na huwa hawanunui kila mwaka kwa taarifa yako.Dhima ya kuanzishwa NFRA ni ili kuweka hifadhi ya chakula pale endapo mvua zinakuwa za kutosha na mavuno yanakuwa mengi kuliko mahitaji, ili endapo msimu ujao kunatokea upungufu wa mvua, basi NFRA wanauza chakula kwa bei ya soko ili kuziba pengo, na endapo uzalishaji utaendelea kuwa mkubwa msiku unaofuata basi utaratibu unafanyika kukiuza chakula nchi jirani zenye uhaba wa chakula kama Kenya , Uganda na Sudan kusini.
Hivyo basi, ni jukumu la NFRA kulinda wakulima kwa kuwahakikishia soko ili wapate nguvu na uwezo wa kulima mwaka hadi mwaka, hilo ndio jukumu la NFRA.
Sijasema wananunua kila mwaka, nimesema wananunua endapo uzalishaji ni mkubwa kuliko mahitaji. Na yes, ni jukumu lao kununua ziada, kama kununua ziada ya chakula si jukumu lao, then what is?Hapa unatunga wewe ,sio jukumu na huwa hawanunui kila mwaka kwa taarifa yako.
NFRA ipo kwa ajili ya usalama wa chakula, wakulima wakalima kwa wingi na wakakosa pa kuuzia, basi msimu ujao watashindwa kulima au la ukatokea ukame na tukawa hatuna hifadhi itatokea njaa. Wakulima ni lazima walindwe, nchi zote hukinda wakulima zake.Hili swala serikali iachane nalo na kama lina ulazima wanunue kwa ajili ya hifadhi ya chakula tuu sio eti kuwa soko la wakulima.
Nimeona wakulima wanapiga a vikumbo malalamiko kibao kana kwamba Serikali ndio ikiwaambia walime mahindi itanunua au serikali ndio imeshusha bei za mahindi.
Huko Kanda ya Ziwa jiandaeni pesa tuu Southern Highlands hatutawaangushaTMA yatabiri joto kali na ukame
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kuna uwezekano mkubwa wa kutokea kwa ukame kutokana upungufu mvua unaotarajiwa kutokea katika kipindi cha mvua za vuli zinazotarajiwa kuanza kunyesha hivi karibuni. Imebainishwa kuwa katika kipindi cha mvua za Oktoba hadi Desemba mikoa mingi...www.jamiiforums.com
Halafu NFRA mnawapa bilioni 15 kweli, are we serious? Hizo tozo zote mnafanyia nini??!!!!!