Jesusie
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 1,466
- 766
NailedWell saidi PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NailedWell saidi PM
Daaahsiasa chafuchafu, siasa za propaganda, siasa za kijingajinga, siasa takataka... NCHI HAIWEZI KUENDELEA KWA KUENDELEA KUACHA PUMBAVU ZILIPIGA PIGA KELELE NA SIASA ZA HOVYOHOVYO.....
😀😀😀Mh Ndugai hawezi kwenda kujibia Kanisani kwani?
DaahKaa nyumbani usijishughulishe na siasa utakuja kuitwa siku moja kwamba umechaguliwa uwe Rais wetu ??!! Hii misemo inaleta contradiction sana !!
Yap anajua muda wake umefika na kweli ataitwa soon kuapishwa !!atakaa madarakani miaka 12!!source Tumiaakili!!Daah
Jamaa anajua kabisa wakati wa yeye kuwa umefika!!!!tunasubiri tu siku yake ya kutiwa wakfu!Kaa nyumbani usijishughulishe na siasa utakuja kuitwa siku moja kwamba umechaguliwa uwe Rais wetu ??!! Hii misemo inaleta contradiction sana !!
Conspiracy ??!!!Yap anajua muda wake umefika na kweli ataitwa soon kuapishwa !!atakaa madarakani miaka 12!!source Tumiaakili!!
Stay tuned!!Conspiracy ??!!!
Well !!Stay tuned!!
Mlawa wa Kigogo mkuu?Mlawa anajifagilia njia kuwa rais 2025.
DaaahJamaa anajua kabisa wakati wa yeye kuwa umefika!!!!tunasubiri tu siku yake ya kutiwa wakfu!
Ukiwa Rais utaweka mambo sawa tuNimepiga ramli dah!hadi najionea huruma!!
Busara za PMKatika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais,
===========
Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani.
Hata ukilazimisha kutaka nafasi hiyo, huwezi kama mwenyezi Mungu hajasema nenda na wala usitumie njia yoyote ya kumuathiri mwenzako ili apate madhara eti atoke hapo wewe uende, nani amekwambia wewe utakwenda hapo?
Tuache tabia ya kuacha viongozi ya kuwaacha viongozi wafanye kazi yao ya kuwahudumia watanzania na kuwatengenezea migogoro kila siku tena mingine ni ya kusingizia tu.
Kama mwenyezi Mungu hajasema hutakuwa, utatumia mihela mingi itapotea tu, utakwenda na mambo mengine ya giza huko hutamudu, mwenyezi Mungu amesema huyu ni huyu.
Tuheshimu walioko kwenye nafasi za kuwatumikia watanzania wafanye kazi yao kwa weledi.
Uongozi wa sekta yoyote ile unaongozwa na mwenyezi Mungu, unaweza kupambana sana unataka ukae, ukakuta haukai anakaa mwingine.
Kwahiyo utaanza kuwaathiri wote hao wanaokaa hapo kwasababu wewe unataka kumbe mwenyezi Mungu hataki, lazima tujue kwamba, madaraka yoyote yanatolewa na Mwenyezi Mungu.
>>Msikilize kwa makini<<<
View attachment 2064822
Kazi njemaBusara za PM
😀😀😀Conspiracy ??!!!
Hana uwezo wa kuongoza bado.Ebu muangalie Dr Mwinyi uongozi wake zanzibar utaona hapa hamna kitu.Nafikiri anaweza kuondolewa.Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,
Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,
Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,