Kassim Majaliwa: Tuache tabia ya kuwatengenezea viongozi migogoro, unaweza kupambana sana ukitaka ukae ukakuta anakaa mwingine

Navyomjua yule Bw hatokubali kushindwa, atasubiri wakati wa vikao wa bunge aandae wajumbe wapenzi wa hayati waibagaze sirikali hadi ikome kumjibu.
Ni Kama utabiri utatimia,Labda wasiojulikana watamfunda.
 
Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais,

===========

Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani.

Hata ukilazimisha kutaka nafasi hiyo, huwezi kama mwenyezi Mungu hajasema nenda na wala usitumie njia yoyote ya kumuathiri mwenzako ili apate madhara eti atoke hapo wewe uende, nani amekwambia wewe utakwenda hapo?

Tuache tabia ya kuacha viongozi ya kuwaacha viongozi wafanye kazi yao ya kuwahudumia watanzania na kuwatengenezea migogoro kila siku tena mingine ni ya kusingizia tu.

Kama mwenyezi Mungu hajasema hutakuwa, utatumia mihela mingi itapotea tu, utakwenda na mambo mengine ya giza huko hutamudu, mwenyezi Mungu amesema huyu ni huyu.

Tuheshimu walioko kwenye nafasi za kuwatumikia watanzania wafanye kazi yao kwa weledi.

Uongozi wa sekta yoyote ile unaongozwa na mwenyezi Mungu, unaweza kupambana sana unataka ukae, ukakuta haukai anakaa mwingine.

Kwahiyo utaanza kuwaathiri wote hao wanaokaa hapo kwasababu wewe unataka kumbe mwenyezi Mungu hataki, lazima tujue kwamba, madaraka yoyote yanatolewa na Mwenyezi Mungu.

>>Msikilize kwa makini<<<

View attachment 2064822
Yuko wapi kwanza huyu siku hizi
 
swallow blah blah?

wanamtukana vingunge wa ccm na hana cha kuwafanya amekaa tu?

hana lolote

haugwi mkono na group lolote ndani..na yapo mawili

yote mawili hayamtaki

anatukanwa left and right hawezi jibu lolote maana ccm sio yake

2025 makundi ndio yataamua nani na wala sio yeye

hana lolote bwana

pona yake aweke katiba huru kama ya kenya,then afanye handshake na CDM then ccm wafe na lichama lao...
Na wewe mtukane uone moto,utaishia kujisemesha hivi hivi
 
Navyomjua yule Bw hatokubali kushindwa, atasubiri wakati wa vikao wa bunge aandae wajumbe wapenzi wa hayati waibagaze sirikali hadi ikome kumjibu.
Tutamnyoosha alafu alete sababu zake za kitoto kwamba ni UGOGO wake asituaibishe wagogo..
Nakomenti nikiwa hapa Bambalaga dom
 
hahahhaa

checki hili taahira

wewe unadhani kila alieoko serikali anapata hela yeyote ya maana na ni lazima awe ccm kama wewe?

pumbavu wengi walioko serikali kama wewe hawana vipato vya maana

yaani mtu unafanya kazi serikalini unajisifia kwa lolote kweli?

mojawapo ya watu wa maisha ya chini tanzania hii ni wafanyakazi wa serikali

wafanyakazi wa serikali ndio wanaongoza kwa kudaiwa na mabenki

wanaongoza kwa kupanga

wanaongoza kwa kujenga makazi yasiyo rasmi

wanaongoza kwa kusomesha matoto yao kwenye shule duni za serikali,na matibabu duni kwenye mahospitali hovyo ya serikali

wanaongoza kwa kua na benki accounts zisizo na hela kabisa

pumbavu nyie..masikini wakubwa
Hili povu ni stress za njaa kali,Ndio unavyojidanganya? Utajifariji Sana mkuu, maana kwa ulalamishi huu sipati picha.

Pale Maskini anapodemka wakati hata bima hana 😆😆
 
hahahhaa

checki hili taahira

wewe unadhani kila alieoko serikali anapata hela yeyote ya maana na ni lazima awe ccm kama wewe?

pumbavu wengi walioko serikali kama wewe hawana vipato vya maana

yaani mtu unafanya kazi serikalini unajisifia kwa lolote kweli?

mojawapo ya watu wa maisha ya chini tanzania hii ni wafanyakazi wa serikali

wafanyakazi wa serikali ndio wanaongoza kwa kudaiwa na mabenki

wanaongoza kwa kupanga

wanaongoza kwa kujenga makazi yasiyo rasmi

wanaongoza kwa kusomesha matoto yao kwenye shule duni za serikali,na matibabu duni kwenye mahospitali hovyo ya serikali

wanaongoza kwa kua na benki accounts zisizo na hela kabisa

pumbavu nyie..masikini wakubwa
Bora umemjibu! heri ya mwaka mpya mkuu
 
Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais,

===========

Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani.

Hata ukilazimisha kutaka nafasi hiyo, huwezi kama mwenyezi Mungu hajasema nenda na wala usitumie njia yoyote ya kumuathiri mwenzako ili apate madhara eti atoke hapo wewe uende, nani amekwambia wewe utakwenda hapo?

Tuache tabia ya kuacha viongozi ya kuwaacha viongozi wafanye kazi yao ya kuwahudumia watanzania na kuwatengenezea migogoro kila siku tena mingine ni ya kusingizia tu.

Kama mwenyezi Mungu hajasema hutakuwa, utatumia mihela mingi itapotea tu, utakwenda na mambo mengine ya giza huko hutamudu, mwenyezi Mungu amesema huyu ni huyu.

Tuheshimu walioko kwenye nafasi za kuwatumikia watanzania wafanye kazi yao kwa weledi.

Uongozi wa sekta yoyote ile unaongozwa na mwenyezi Mungu, unaweza kupambana sana unataka ukae, ukakuta haukai anakaa mwingine.

Kwahiyo utaanza kuwaathiri wote hao wanaokaa hapo kwasababu wewe unataka kumbe mwenyezi Mungu hataki, lazima tujue kwamba, madaraka yoyote yanatolewa na Mwenyezi Mungu.

>>Msikilize kwa makini<<<

View attachment 2064822
Hapo alikuwa anamzungumzia "Mropokaji" Lissu
 
Hawa Jamaa wanatuona Watanzania ni wabwege..... Yaani wanataka Watanzania waamini kuwa wao wamewekwa hapo na Mungu.

Sasa kama Mungu ndiye anawapa hivyo vyeo kwa nini wanamchafua chaguzi zetu.....!!?
 
Majaliwa hapaswi kumhusisha Mungu katika masuala ya kijinga.

1.Hii katiba mbaya Mungu kahusika Vipi ?
2. Wizi wa kura 2020 Mungu kahusika Vipi ?
3. Wale wabunge 19 wasiokuwa na chama Mungu kahusika Vipi ?.
4. Kumtandika Lissu risasi Mungu alipanga?
5. Kumfungulia Mbowe Mashtaka ya kuchonga Mungu kapanga?
6. Tume mbovu ya uchaguzi Mungu kaichagua na kupanga.

Mungu hahusiki kabisa na mipango mibaya / ovu.
Wanataka kuwaaminisha watu kuwa wao ni Wateule wa Mungu.... Cheap propaganda Larne ya 21.
 
Abaongea point sana isipokuwa achelew kuwekwa kikaangon maana naona Kigogo amepost hyo maneno huku akisema uwezi kuwa raisi hapo ndipo jajiuliza Yule Kigogo wa cdm Leo ypo ccm why
 
watu jaman kwa kutafuta wasomaji kwa aliyesikiliza ile clip hajataja Ndugai na alikuwa anakemea mgogoro wa viongozi kwenye msikiti wakati alipokuwa anauzindua [emoji23][emoji23][emoji23] wabongo wameconnect dots.
 
Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais,

===========

Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani.

Hata ukilazimisha kutaka nafasi hiyo, huwezi kama mwenyezi Mungu hajasema nenda na wala usitumie njia yoyote ya kumuathiri mwenzako ili apate madhara eti atoke hapo wewe uende, nani amekwambia wewe utakwenda hapo?

Tuache tabia ya kuacha viongozi ya kuwaacha viongozi wafanye kazi yao ya kuwahudumia watanzania na kuwatengenezea migogoro kila siku tena mingine ni ya kusingizia tu.

Kama mwenyezi Mungu hajasema hutakuwa, utatumia mihela mingi itapotea tu, utakwenda na mambo mengine ya giza huko hutamudu, mwenyezi Mungu amesema huyu ni huyu.

Tuheshimu walioko kwenye nafasi za kuwatumikia watanzania wafanye kazi yao kwa weledi.

Uongozi wa sekta yoyote ile unaongozwa na mwenyezi Mungu, unaweza kupambana sana unataka ukae, ukakuta haukai anakaa mwingine.

Kwahiyo utaanza kuwaathiri wote hao wanaokaa hapo kwasababu wewe unataka kumbe mwenyezi Mungu hataki, lazima tujue kwamba, madaraka yoyote yanatolewa na Mwenyezi Mungu.

>>Msikilize kwa makiniB]

View attachment 2064822
Mgogo katupiwa kitu kizito [emoji16][emoji1787]
 
Back
Top Bottom