Kassim Majaliwa: Tuache tabia ya kuwatengenezea viongozi migogoro, unaweza kupambana sana ukitaka ukae ukakuta anakaa mwingine

Kassim Majaliwa: Tuache tabia ya kuwatengenezea viongozi migogoro, unaweza kupambana sana ukitaka ukae ukakuta anakaa mwingine

naona wewe uliyepo nje ya ccm una nyege sana zaidi ya wenye ccm yao akina nape,makamba na ndugai

majaliwa mwenyewe anashindwa kupambana na wanao mdiss mama kwa uwazi anajificha ficha....na yeye ni anti-mama....now you know!

sasa wewe endekeza hizo nyege kama hutaishia kupiga nyeto
Ni hivi wewe diss ila magogoni ni kwa mama ,jipangeni 2030
 
Ila tukubali au tukatae haya Maneno ya majaliwa ni kweli kabisaa!!!! Sikuzote MUNGU anampa amtakaye hata ufanye vipi juhudi haishindani na KUDRA
Sabaya je? Muacheni Mola wa watu yuko busy na wagonjwa na yatima
 
Ameshindwa kubadilisha maisha yako na wanachadema wenzio ndio maana mnalia Lia hovyo.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kina reflect aina ya wanachama ilichonacho.

Kwa wastani watu wenye maisha magumu kiuchumi, watu wenye upeo mdogo wa kufikiri, watu wenye elimu za kuunga unga na majambazi wa mali za umma wanapatikana ndani ya chama cha mapinduzi kilichoasisiwa mwaka 1977.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajua makundi yote mawili ccm hawamtaki mama

hilo mama naona hajalitambua vizuri

kundi la magu wanataka ndugai awe rais..kundi la akina Nape wanataka Makamba

Mama haihitajiki popote..hawataki rais mwanamke...pona yake ni handshake na opposition ndio gateway yake ya kutoka na kua rais tena

otherwise,hiyo 2025 kwenye debe hatakuwepo
Unadhani akihamia cdm atashinda??
Kuitoa CCM pale kwenye kiti sidhani kama ni kazi ndogo.

Pona yake ni kupambana asimame tena 2025 huko huko CCM hata kwa kuforce.
Lakini akisema ahame ndio kabisa hatapata chochote.
 
kaanza utawala zbar ambayo ni ndogo kama mkoa wa kilimanjaro

plus ccm hardliners hawamtaki...hawataki mtu wa zanzibar wala hawataki mwanamke

sasa,laleni au msimame,the choice is yours!

handshake tu ndio itamtoa...otherwise kwenye debe wazee wa fitina wa ccm hawamuweki na wameshaanza kumsema waziwazi na hawezi wajibu anawaogopa

lazima wamtoe damu
Unakomalia mbeleko,hakuna mbeleko mtapata mkuu,Rais ni Samia .. swallow this
 
Kwa sasa ukiwasikiliza hawa wanasiasa unaweza hisi ni watu wa maana, hususani hawa waliopita bila kupingwa kipindi cha uchaguzi 2020.
Mwanasiasa sio mtu wa kumuamini hata kidogo.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
mama na baba yako wasingekua malaya ungezaliwaje?

kwanza mama yako aliolewa akiwa na bikira?

kamuulize baba yako halafu ndio ulete majibu hapa kwanza....

otherwise shut your butt up and go on with the program!
Moto wa Malaya umerithi umalaya kutoka kwa Mama yako, unabwata kama malaya
 
Back
Top Bottom